The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)

Dar es Salaam, Tanzania
TAARIFA MWA UMMA. #NguvuMoja
8
4
89
6,116
Siku tatu zimebaki kuelekea mchezo mkubwa nchini. #KariakooDerby #NguvuMoja
6
5
121
4,745
Furaha yetu kubwa haipo mbali. #NguvuMoja
10
7
105
6,664
Michezo sita ya Oktoba, 2026. Mchezo gani unausubiri kwa hamu zaidi? #NguvuMoja
10
17
190
8,345
Familia 🦁 #NguvuMoja
4
22
390
15,097
Semaji Ahmed Ally akitoa taarifa ya kikosi kuanza maandalizi ya Kariakoo Derby. #NguvuMoja
5
7
234
15,146
Mwanzo wa 𝐌𝐀𝐑𝐀𝐓𝐇𝐎𝐍 kubwa zaidi nchini. #NguvuMoja
5
13
233
27,196
Kariakoo Derby ndani ya Uwanja wa Uhuru. #KariakooDerby #NguvuMoja
19
31
711
32,443
🇸🇳🫂🇿🇦 #NguvuMoja
3
13
332
17,374
Tutaonana hivi karibuni Wanasimba 🙋‍♂️ #NguvuMoja
3
10
319
17,954
Star gani wa kikosi chetu unatamani kupiga nae selfie? 🤳🏽 #NguvuMoja
11
12
323
18,390
🛬 Dar es Salaam 🇹🇿 #NguvuMoja
5
9
451
18,658
Safari ya kurudi Tanzania inaanza. #NguvuMoja
5
9
281
13,089
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀𝐓𝐇𝐎𝐍 𝟐𝟎𝟐𝟔 imebamba. #SimbaMarathon2026 #NguvuMoja
5
9
338
16,516
Muda wa kukata wese katika 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀𝐓𝐇𝐎𝐍 𝟐𝟎𝟐𝟔. Unaweza kuangalia LIVE kupitia Simba App au YouTube - Simba SC Tanzania. #SimbaMarathon2026 #NguvuMoja
3
13
247
14,346
Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori akipasha mwili joto kabla ya kuanza kukimbia katika 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀𝐓𝐇𝐎𝐍 𝟐𝟎𝟐𝟔. Unaweza kuangalia LIVE kupitia Simba App au YouTube - Simba SC Tanzania. #SimbaMarathon2026 #NguvuMoja
10
9
379
20,458
Warm up kuelekea kuanza 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀𝐓𝐇𝐎𝐍 𝟐𝟎𝟐𝟔. #SimbaMarathon2026 #NguvuMoja
2
3
202
11,493
Meneja wa Timu, Patrick Rweyemamu akitoa taarifa kikosi baada ya kukamilika kwa kambi ya kujiandaa na mashindano yaliyo mbele yetu iliyofanyika hapa Afrika Kusini ambayo imegharamiwa na Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji. #NguvuMoja
3
8
112
8,734
Zawadi kwa washindi ambao watakimbia 21km na 10km katika 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀𝐓𝐇𝐎𝐍 𝟐𝟎𝟐𝟔. #NguvuMoja
1
4
88
11,048