Ukipewa Nafasi Yakuchagua Hekima, Chagua Hekima. Ukikosa Nafasi Yakuchagua, Jifunze Utulivu na Usikivu. #Nevergiveup One day, you'll look back on everything you've been through and thank God for it.
21
79
197
60,138
Eng Msaki retweeted
Rosary Day 7✅
Rosary Day 7✅️
1
2
9
952
Day 7/31 No Alcohol #SoberOctober
3
1
12
321
Rosary Day 7✅️
Rosary Day 6✅️
2
17
1,237
Mwaka huu mambo ya "tunakusikiliza mkuu" hatutaki 😁😁
We both had 12 months, no need to call me boss in December.
6
3
22
458
We both had 12 months, no need to call me boss in December.
18
14
99
8,416
Naam kaka siku zinahesabika na mambo siyo mabaya mkuu!! 🔥 🔥 #Roadtodecember2026💵💳
Weka Akiba #Roadtodecember2026💵💳 God is so good🤲 Bado siku 54... @kajuna_alfred @Aloycemsaki
1
2
8
240
Weka Akiba #Roadtodecember2026💵💳 God is so good🤲 Bado siku 54... @kajuna_alfred @Aloycemsaki
6
8
572
Cheo Kisikupe Dharau, Utajiri Usikutenganishe na Watu, Umaarufu Usikupe Jeuri, Kipaji Kisikupe Majivuno, Yani Chochote Ulichonacho Leo Fahamu ni Kudra Za Mwenyezi Mungu na Kesho Inaweza Kuwa Zamu Ya Mwingine.
1
16
27
488
Eng Msaki retweeted
Leo Mama Kanisa anaadhimisha Sikukuu ya Bikira Maria wa Rozari Takatifu.Bikira Maria ni Mtakatifu kuliko watakatifu wote. Bikira Maria ni kimbilio la waamini katika ulinzi na tunza yake ya kimama. Anatufundisha na kutusindikiza waamini katika utakatifu wa maisha; anatulinda bila kutuhukumu; anatufariji, kutuombea na kututakatifuza kwa uwepo wake mwanana, changamoto na mwaliko kwetu waamini kumkimbilia katika sala, lakini zaidi kwa njia ya tafakari ya Rozari Takatifu.🙏
2
4
19
1,330
Maana mtu akijiona kuwa ni kitu, naye si kitu, ajidanganya nafsi yake. Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake. (Wagalatia 6:3-4)
2
8
28
446
Eng Msaki retweeted
Zaburi 23:1 “Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.”
4
22
51
1,555
Eng Msaki retweeted
Zaburi 1:1–3 “Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki, wala hakusimama katika njia ya wakosaji, wala hakuketi barazani pa wenye mizaha; bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo, na sheria yake huitafakari mchana na usiku.”
3
16
40
1,606
Eng Msaki retweeted
Usidhaki kwamba sababu bado hujaona matokeo, basi Mungu hajafanya kazi. Endelea kupanda. Endelea kuomba. Endelea kufanya kazi. Kuna mambo yanakomaa kabla hayajaonekana. Ikawe kheri leo 🙏🏼
7
35
158
3,272
Eng Msaki retweeted
Milele Amina kumekucha Kaka 🙏 . Day 7/30 rosary
Taifa La Mungu Tumsifu Yesu Kristo.🙏
1
1
1
44
Eng Msaki retweeted
"Yesu alipokuwa mahali fulani akiomba, alipokwisha, mmoja katika wanafunzi wake alimwambia, Bwana, tufundishe sisi kusali, kama vile Yohane alivyowafundisha wanafunzi wake. Akawaambia, Msalipo, semeni: Baba, Jina lako litakaswe, Ufalme wako uje, Utupe siku kwa siku riziki yetu. Utusamehe dhambi zetu, kwa kuwa sisi nasi tunamsamehe kila tumwiaye. Na usitutie majaribuni."(Lk. 11:1 – 4)
1
9
25
2,204
Taifa La Mungu Tumsifu Yesu Kristo.🙏
10
21
47
638
Eng Msaki retweeted
Watu wakijua wewe ni “mtoaji” watakuletea shida zao mpaka ukome. Hukatazwi kutoa maana pesa ni zako ila wema wako usizidi uwezo ulionao. Na watu hao hao uliokua unawasaidia siku ukianguka ndio watakua wa kwanza kukung’ong’a na kukucheka kwamba “kiko wapi”. Ubinafsi ndio Utajiri.
4
22
78
2,548
Eng Msaki retweeted
Niliwahi kumuuliza Mzee mmoja wa makamo kuwa, “Ni ushauri gani angewapa vijana kuhusu maisha?”. Akasita kidogo na kusema, “Kama ningeweza kurudisha miaka nyuma na kuwa kijana, huu ndiyo ushauri ambayo hata Mimi ningeitumia.... Ningekuwa ‘Honest’ kwangu mwenyewe. Ningejiandikia barua, ‘A letter to my Future Self’. Ambayo, ningejipambanua Mimi nataka kuwa nani na kufanya vitu gani. Ningeanisha changamoto, fursa, magumu na mapito ambayo yawezekana kukumbana nayo. Kisha ningechukua hatua madhubuti kumuishi yule ninayemtazamia na kufanya yatakayonifanya kuwa huyo, bila kuogopa nitaonekanaje. Ningemkumbatia, maana ndiyo iDENTITY yangu halisi. Hivyo, kwa kila kijana namshauri achonge KINYAGO chake mapema kuwa anataka kuwa nani na kufanya nini. Kwani, mara nyingi tunajuta siyo tu kwa vitu tulivyofanya bali kwa vile ambavyo hatukufanya, tukiwa na nafasi na muda”. Mwisho wa kunukuu.
1
25
111
5,242
Wakati mzuri wa kesho, tunautengeneza kwa kufanya kinachowezekana leo.
13
54
610