Watu wa kusini mwa Tanzania wanaoishi Daslama asilimia kubwa unawapata kuanzia Mbagala, Mbande, Chamazi mpaka huko Pwani Kongowe, Mwandege na Vikindu. Nafikiri wakiwa huko wanajiona kama wako nyumbani.
Twiter ya Zamani Walio Trend
A
Mpambazi
Madenge
Dk wa manesi
Spana
Big 007
Fazo Boya
Kidudu
Infuluencer Jr
Presenta Noah
Chura
Regan
Njiwa store
Kigogo
Mr Ben
Ndila
X ya sasa
B
Sativa
Taivina
Steph
Rogath
Zed
Mwinshehe
Xs
Tajiri kihaya
Billy mabufa
Kiduku
Bon
Ipi ya moto😁
Unajua kwanini moka zetu zinasifiwa?
Hazina ile harufu ya plastiki, ni ngozi pure.
Ni material yenye viwango vya juu inayokupa heshima unayostahili.
Tuma saizi yako kwa @suma_clever namba [40-45].
Nicheki WhatsApp 0742 517 020
135,000 Tsh
Watu wakijua wewe ni “mtoaji” watakuletea shida zao mpaka ukome. Hukatazwi kutoa maana pesa ni zako ila wema wako usizidi uwezo ulionao. Na watu hao hao uliokua unawasaidia siku ukianguka ndio watakua wa kwanza kukung’ong’a na kukucheka kwamba “kiko wapi”. Ubinafsi ndio Utajiri.
Wauza simu wengi sasa hivi nao wanauza perfume wameona nini ?? upande huu
Na bei zao ziko juu balaa 😅 wanafyatua Tu
GIVENCHY
Gentleman Available ✅
Tsh 264,100/=
WhatsApp☎️ +255719068333
Guys kuna hii TCL 43 Android TV imetumika 2 months
bado ina box lake bado mpya haina kipengele kama unavyoiona
inataka 470,000 tu
Call/Whatsapp-0625965198