Editor, Ujasusi | Intelligence & Security Analysis โ€ข Former Tanzania Intelligence Officer | New Book: SAKATA LA NCHIMBI ๐Ÿ‘‡

Scotland
"Iโ€™m an ex-spy... I donโ€™t pretend to be anything more than that." ~ Carrie
105
110
1,766
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข retweeted
BAVICHA Ngorongoro linaandika barua kukemea kukamatwa na kushikiliwa kwa vijana wanaotokea Wilaya ya Ngorongoro walipokwenda kumtembelea mgonjwa Hospitali ya Selian, Arusha.
1
5
11
287
Hiyo "njia halali ya NASA" hata drug dealers wanaotumia private jets hutumia njia hizo. KINYEMELA because laiti ungesikiliza ripoti kamili ungefahamu kwamba kulikuwa na media blackout huko Zim. Na no media in Tz has reported. So how do you call that in your language? ๐Ÿ™„
1
1,578
.@HildaNewton21 huyu PiEmu wa Mpito amedai hakimiliki ya kiji-clip chake cha ngono. Labda alitaka utamke bayana "filamu hii ya ngono ni kwa hisani ya stering mwenyewe... Mzee wa kukoroma" ๐Ÿค“
1
2
15
1,275
๐Ÿ”ง UJASUSI TOOL WATCH #007 ๐Ÿง  Todayโ€™s tool: Open Human! OpenHuman is an open-source personal AI assistant built around persistent, local-first memory. Instead of starting each conversation from scratch, it can build a searchable memory from your documents and connected services, orchestrate multiple AI agents, create automated workflows and conduct deep research across your data and the web. ๐ŸŽฏ Best for: Researchers, analysts, knowledge workers and anyone experimenting with a persistent personal AI/โ€œsecond brainโ€. ๐Ÿ’ฐ Open source โ€” GPL-3.0 ๐Ÿง  Local-first memory ๐Ÿ”ฌ Deep research ๐Ÿค– Multi-agent orchestration โš ๏ธ Early beta: expect rough edges. [Explore OpenHuman on GitHub](github.com/tinyhumansai/openโ€ฆ) UJASUSI.COM | Intelligence & Security Analysis #UjasusiToolWatch #OpenSource #AI #LocalAI #ResearchTools
317
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข retweeted
Replying to @Chahali
Bonge atakuwa kaipiga sana
1
96
#Jasusi anaweza kutamka pasi shaka kuwa ni mmoja wa watu wachache wanaoielewa Tanzania kinyumenyume. Kwa sababu alipokuwa kitengoni, alipata fursa nzuri ya kuisoma na kuielewa Tanzania na Watanzania. Na bila kupepesa macho, Jasusi anaweza kutanabaisha kuwa chanzo kikuu cha mabalaa yanayoisibu Tanzania yetu ni FAMILIA. Hebu anza kuuelewa vizuri huo mtaa unaoishi. Au jibidiishe kuwaelewa majirani zako. Wafahamu vizuri unaofanya nao kazi/biashara. Na hata humu mtandaoni, jibidiishe kuwaelewa watu unaowafolo. The pattern is clear: mchawi mkubwa wa Watanzania ni Watanzania wenyewe. Na uchawi huo umeanzia ngazi ya familia. Na uchawi wenyewe ni suala zima la MAADILI. Or rather lack of it. Enewei, ukiangalia hiyo video hapo juu unaweza kufanya #DutyToForecast ๐Ÿ”ญ bila kuwa jasusi kuwa future ya hivyo vitoto itakuwa useless. Kuna kitu kinaitwa SiSo: Sh*t in, Sh*t out. Huwezi kupanda mawe shambani ukategemea kuvuna viazi mviringo. Au ukapanda upupu kwenye bustani ukategemea kuvuna magimbi. instagram.com/reel/DeMNooouuโ€ฆ
6
7
34
4,994
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข retweeted
From strutting in the streets Lagos to strutting in an actual runway in Paris ๐Ÿ˜ฑ @giverachelashot has done it! ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ Seven weeks ago, when we interviewed Rachel Ojuromi, she spoke of a dream but on October 5th she walked that dream debuting at Paris Fashion week.
152
1,778
8,520
199,356
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข retweeted
๐Ÿ˜ณ Andrew Tate allegedly had Bestiality porn with horse and eel, videos of minors. Full details: tmz.com/2026/10/06/andrew-taโ€ฆ
6,684
7,575
80,941
26,297,718
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข retweeted
Watu wa #Loliondo wamtekwa nyara na polisi leo! Free Nangei Meitaya, @SalangatM , Ezekiel Kishau na @ClamianT !
5
48
67
2,254
๐Ÿ”ง UJASUSI TOOL WATCH #007 ๐Ÿง  Todayโ€™s tool: OpenHuman OpenHuman is an open-source personal AI assistant built around persistent, local-first memory. Instead of starting each conversation from scratch, it can build a searchable memory from your documents and connected services, orchestrate multiple AI agents, create automated workflows and conduct deep research across your data and the web. ๐ŸŽฏ Best for: Researchers, analysts, knowledge workers and anyone experimenting with a persistent personal AI/โ€œsecond brainโ€. ๐Ÿ’ฐ Open source โ€” GPL-3.0 ๐Ÿง  Local-first memory ๐Ÿ”ฌ Deep research ๐Ÿค– Multi-agent orchestration โš ๏ธ Early beta: expect rough edges. [Explore OpenHuman on GitHub](github.com/tinyhumansai/openโ€ฆ) UJASUSI.COM | Intelligence & Security Analysis #UjasusiToolWatch #OpenSource #AI #LocalAI #ResearchTools
1
1
3
638
Chawa: Mnauliza SAMIA yuko wapi kama hamjui yupo EDA? Also Chawa: Mliuliza SAMIA yuko wapi si huyo ameenda ZIMBABWE? Kwahiyo EDA imeisha? ๐Ÿ™„
1
8
71
4,967