Ukute Poshy Queen hakuwa anamjua Chivayo ko akamchukulia poa tu😅...maana huwa wana dm nyingiiiii wanachagua z kujibu🤣..kaka kuona DM baada ya msiba wa mwamba🤣🤣
Kuna jamaa kasema alivyo enda ukweni uchagani kufika kule akakuta mama wa mchumba wake ni single mother yaani mke wake mtarajiwa kalelewa na mama tu. JAMAA akaghaili kuoa .! Mnadhani nyie mnadhani jamaa alikosea au ?
SONY XPERIA 10 II 64GB TSH 250,000/=
SONY XPERIA 10 III 128GB TSH 275,000=
SONY XPERIA 10 IV 128GB 285,000/=
📍Kariakoo mtaa wa ndanda na aggrey
☎️ Call/WhatsApp 0723233337
Wazee tuongezeni umakini sana mida hii nikiwa narudi home vibaka wawili walikuwa wananifuatilia hawakujua nimewashtukia nadhani nia yao ilikuwa ni kunipora hii INFINIX yangu nilichokifanya ni kuongeza mwendo na kuingia kwenye bar moja iliyokuwa karibu na walivoona hivo wakaghairi kunifuatilia, Vibaka wapo tuongeze umakini hasa wale tunaoishi mabondeni
Boss hizi bei uliona wapi😂, Samsung S20fe 128GB kwa Tsh 340,000/= tu..
📍Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na aggrey, nyuma ya jengo la China plaza.
☎️ Call/WhatsApp: 0723233337