Nilikua nawatch Tottenham vs Liverpool, game ikiwa dakika ya pili nikapewa. Nilijua tu ni biscuit ya Kawaida, hio game kwangu time haikuwai songa kutoka 40th minute.
Ilikwama hapo, nkajua nachizi aki
What happened when you had weed cookies for the first time ? Leteni stories tucheke 😂