UDSM | Men’s health | Work Smart | Matrix is real

New York, USA
CHANZO ACCOUNT YANGU KUFUNGIWA; Watu wakubwa ikiwemo @FabrizioRomano & @UEFA wanahusika. UZI 🧵 Kuna Funzo kubwa hapa.
131
110
820
173,647
Dear wafalme, Unaweza kupigana na Simba ukashinda, ila huwezi kushinda vita dhidi ya mwanamke. Unachotakiwa kujifanya ni kujiondoa vinginevyo utampiga risasi ya kichwa. Usibishane, kimya, ONDOKA Huwezi kushinda kwa maneno, nahau wala hisia japo una nguvu kumzidi. Mwisho.
3
12
88
1,603
Dear wafalme, Hii ni challenge ya Oktoba. -Epuka soda -Epuka kubeti -Epuka ugali & sukari -Epuka kuvuta & pombe -Mazoezi japo x3/wiki -Kula mayai japo 6 -Epuka kupiga punyeto -Epuka kununua nyapu -Epuka video za ngono -Fanya sprinting x1 Kwa siku 30 tu. Tupo pamoja king?
1
5
38
799
Dear wafalme, Hii ni challenge ya Oktoba. -Epuka soda -Epuka ugari -Epuka sukari -Epuka kuvuta -Epuka pombe -Epuka kupiga punyeto -Epuka kununua wanawake -Epuka kuangalia video za ngono Kwa siku 30 tu. Tupo pamoja king?
2
6
60
1,415
Dear wafalme, Zingatia kabla hujamuoa: -Anakuheshimu & kutii -Anapika -Anajua usafi -Anapenda shoo zako -Ana akili -Anakili kosa & kusamehe -Anapenda amani -Sio mgonjwa -Ana aibu -Si mfuja mali -Anaheshimu wazazi wake -Anajistiri -Hataki sifa mtandaoni -Anakusapoti -Anashukuru
12
104
2,014
Dear wafalme, Mpaka unafika miaka 30 hakikisha una; 1. Leseni 2. Passport 3. Smart phone 4. Account ya benki iliyo-active 5. Japo 15 milioni ya akiba 6. Japo mtoto hata kama hujaoa 7. Chanzo cha kipato cha uhakika 8. Chanzo cha kipato nje ya ajira Umekamilisha nini?
45
33
406
19,267
Dear wanawake, Sikiliza nyimbo hizi: Zuchu - I love you, Skyline, Mwizi, Makonzi Nandy - Wasikudanganye, Ninogeshe, Hazipo Vanessa Mdee - Niroge Mimi mars - La La Ray C - Uko wapi, Unanimaliza Jaydee - Nakutaka Ruby - Ntade Maua Sama - Sisikii Tunza Feminine Energy.
1
25
1,064
Dear wafalme, Vyakula 10 zitakavyokugeuza mnyama kitandani: 1. Mbegu za maboga 2. Parachichi 3. Mayai ya kienyeji 4. Samaki wenye mafuta 5. Pweza & Chaza 6. Spinach 7. Beetroot 8. Pomegranate 9. Kitunguu swaumu 10. Weupe wa tikiti Hakuna shule itakufundisha hii.
11
89
1,877
Mfalme👑🇹🇿 retweeted
LABDA WAMUUE MUNGU, WE ARE MOVING tiktok.com/@ommyfitness_?_r=…
2
3
340
Dear wafalme, Hizi ni njia za kuwa vizuri dhidi ya wanawake: -Usiwe mrembo, kuwa msafi -Yape maisha yako kipaumbele -Usitume text zaidi ya mbili -Epuka kumnyenyekea kila manzi -Hakuna tuzo ya ukitombi -Ongea bila kuficha -Usiogope kukataliwa -Usiruhusu mwanamke akutawale
3
19
158
3,208
Dear wafalme, Epuka wanawake masikini, Epuka wanawake kutoka familia masikini, Epuka wanawake waliolelewa na mama pekee. Mwisho.
1
6
89
1,518
Mitazamo ni mingi, wengine ndoa mbaya, wengine wanaume sio muhimu, wengine sihitaji mwanamke lakini tunahitajiana sana.
7
40
1,653
Damnit
This woman went missing after saying this in 2009
1
10
1,005
Dear wafalme, Wanawake wa kubembelezwa, kupendwa bila kikomo, kusikilizwa na kutuzwa kama watoto ni hawa wanaotii, kunyenyekea na kuheshimu nafasi yako kama Mwanaume. Hawa fem!nist, 50-50 nenda nao jino kwa jino akikupiga kofi, mchape mawili Mkumbushe kukaa kwenye nafasi yake.
1
1
59
1,819
Dear wafalme, Wanawake wanapenda wanaume wanaosikiliza sana kuliko kuongea. Siku hizi kila mtu anashindana kutaka kusikilizwa. Usiwe aina huyo wa Mwanaume. Akianza kuongea mwanamke msikilize tu. Ukimsikiliza mwanamke humfanya kuhisi anaeleweka na atakupenda zaidi.
2
6
106
2,327
Dear wafalme, Hizo ndoto kubwa unazozifukuzia zinahitaji uwe makini sana na wanawake unaolala nao, Kuna roho za watu nzito. Mwisho.
5
15
176
3,789
Dear Ladies, Kama upendo wa Mwanaume unaupima kadri unavyokupatia hela ni sawa. Lakini usimuite mwanaume bahili kwa sababu hajakupa hela. Sikia, vuta pumzi, Nenda katafute kazi, ukipata, fanya kwa mwezi mmoja, ukilipwa gawa hela zote. Halafu nenda kafanye kazi tena. Mwisho.
9
94
2,059
Dear wafalme, Epuka mahusiano na wadada wanaopatikana kwenye app za ku-date. Wengi wanajiuza na hawatafuti mahusiano ya maana. Watakuibia, watakuharibia na watakuumiza kama wasipokuua. Mwisho.
1
6
65
1,346
Dear wafalme, Itumie mitandao kujifunza, kuumba na kukua. Epuka kumtukana mtu usiyemjua hasa mtandaoni. Wengine wanaishi na maumivu na hawajui kupotezea. Ataamua kuacha kila kitu, kukuwinda, atakupata na ataitoa roho yako.
4
46
1,104
Dear wafalme, Wanaume wasiowaelewa wanawake wanadhani wanawake ni: -Wagumu kupatikana -Sio rahisi kuwavutia -Wanapenda hela, urefu na misuli tu Wanaume wanaowaelewa wanawake wanajua hivyo vitu sio muhimu sana.
5
61
1,345
Dear wafalme, Mahusiano mazuri humchosha mwanamke, Mpe chochote anachokitaka ila ukimpa mahusiano yaliyonyooka, atakuacha Kwa sababu, Mahusiano mazuri yanaboa, na mwanamke anataka excitement. Mwisho.
2
2
96
2,153