BeXmart Founder👨🏻‍💻 //Forextrader📈 //Teacher (Chem&Maths)📖 Simba Sc & Liverpool Fc Fan⚽️

Arusha, Tanzania
1. Pole sana Shabash kwa changamoto ya kuhisi kuwa umesnichiwa na mwana😖😖. 2. Kama wewe ndio ulimpa Setup au ulijadili nae hiyo Entry basi TUMA WEWE HIYO YAKWAKO na Withdraw zako kama alivyofanya mwana. 3. Tuma entry zako kama zinafanana na za mwana, Muamala wa Binance na Charts. Mpaka hapo utakuwa umemaliza hii issue kibabe. 4. Unaweza kutuma chart ya Before na After ambayo umejadili na mwana 5. Kosa lako kubwa ni kutuma charts za mtu na kuandika kuwa umeflip. Sisi tutaaminije kuwa charts zingine zote ulizowahi kutuma humu zilikuwa zakwako? 6. All in all nitaendelea kukumbusha kuwa, lastime nilikwambia kuwa humu ukitaka uishi vizuri basi usijikweze, usijipandishe, Usikwaruzane na matrader wenzio kwa kauli za kuwaona hawana vichwa wewe ndio mwenye akili peke yako na wala Usiwa attack attack watu bila kichwa. Trade zako, fanya content zako, Ishi maisha yako. Ila ukitafuta sifa humu hakuna namna utachomoa. Wana watakupata kwenye angle tu na kukubana pua usipumue. NIMEMALIZA.
Huyu kijana nakua natrade nae live almost kila siku ... Ila sawa mimi siongei mengi. Na kuna mda namuelekeza vitu au tuna fanya discussion wote pamoja sana sns America session. Karibu kila siku ya mungu. Ndo ujue binaadamu walivo. Hata hii trade tuli discuss wote.
12
2
33
3,486
Ila unafki😂😂😂🙌🙌
1
180
🤣🤣🤣🤣
28
🤣🤣🤣🤣🤣
15
1. Hii trade sio yakwako, HUJAFLIP WEWE. Next time ukipost kitu cha mtu make sure una mu acknowledge. 2. Hii trade amepost mtu whatsap status ambae una namba zake, na yeye amekusave ukaamua kumuomba hiyo screenshot nayeye akakupa kiungwana akiwa hajui kama unakuja kuianika huku kwa ku MUTE bila ku aknowledge kama kazi sio yako. 3. Hii inatufanya tu-doubt credibility yako na tuanze kukupuuza kwasababu kuna kila dalili kuwa huwenda trades nyingi unazoshare humu UNAOKOTEZA kwa wana. 4. Kama unajiamini kuwa ni yakwako unaweza kuweka Evidence ya Withdrawal yako na mimi nitaambatanisha Withdrawal ya mwenye account hapa chini.
8 usd to 190usd. Flipping.
43
9
50
10,255
Cha kufanya jamaa aombe tu msamaha yaishe
1
6
Replying to @Almalik_Mokiiwa
Yani huyu shabash crypto na niliwa muhisia ndiye alikuwaga anajiita ivyo kumbe ndiyo yeye basi alete screenshot aache maelezo mengi😂😂
4
9
516
Vile @Xauusd_fan anakimbia mjadala...🤣🤣🤣🤣🤣
1
1
48
🤣🤣🤣🤣🤣kaka hadi wewe
41
Kumamake...😂😂😂. Opportunity hizi zisitupite.
1
1
21
Replying to @Almalik_Mokiiwa
Hii mbona sio yake angalia juu kwenye status bar ni mbili tofauti ndio maana alipopost hyo picha kwake akaicrop. F1. Ni screenshot yake status bar yake inavyoonekana F2. Ni hyo aliyochukua akaicrop ukiangalia zinautofauti mkubwa tu 😅😅😅
6
3
14
1,795
F1...Tunda F2... Android Matako yake
1
1
106
Replying to @Almalik_Mokiiwa
Jamaa jau sana.....aje asome tu kiroho safi
294
WACHA NILIPIE KITIKI CHAPU TUJE TU ADDRESS HII CHANGAMOTO HAPA. MAANA SITAWEZA KUANDIKA MAGAZETI BILA KATIKI KA ELON😁😁
8 usd to 190usd. Flipping.
17
3
55
3,893
Unawekaje post bila kumtag flipper..? Oya @Xauusd_fan njoo tuyajenge usiogope hatukupigi...😠😠😠
1
328
Huu mwandiko mbn naujua...🤣🤣🤣🤣🤣
25
Replying to @GuardianRec
Huna haja ya kuwaza kuhusu hilo yaache then baada ya 2weeks mpk mwezi njoo nipe ushuhuda....na utapiga mahindi ya kutosha tu...kikubwa omba Mungu inyeshe yasikauke. Unaweza usiniamini kwa ss ndo maana nkasma we achna nayo then baada ya huo muda utajionea. I speak with experience
1
50
Haya nyie wenye jiji lenu mtuambie maeneo ya hilo jiji kupitia jedwali hili chini 👇
169
51
423
73,750
17.Hanananasifu
115
Unajipindaa mwenyewe kukusanya kidogokidogo and then this happen😒Aiiigh
25
1
50
2,094
Huko ni kujtftia maafa..cha kkmbsha tu...buy and sell if and only if the market is within AOL and has engineered the liquidity. Kwa hrk hrk ukianglia hkn clear strcture ambayo 1H imeishift kuonyesha bulls wamewatoa bears ili tuweze kubuy...mpk hapo bears bado wapo in control
2
35
Kuna Ukweli Wowote Kuhusu Hii Mambo, Twitter Afya?
62
24
458
107,546
Before using & After using
1
1
814