Demokrasia si kubadilisha tu wanaokaa madarakani ni kujenga mfumo unaolazimisha yeyote aliye madarakani kuwatumikia wananchi. Katiba inaweza kubadili mfumo, lakini bila fikra za uwajibikaji, hata mfumo mpya unaweza kuendeshwa kwa makosa yale yale ya zamani.