''Nimemuona mtu mmoja (Harmonize) yupo Ghana kule, ule Moshi unavyotoka ni kama wa Bangi, na tayari nimesha ongea na rafiki yangu Gavana wa Ghana pale, wanisaidie kumfuatilia Harmonize, anatumia bangi au sigara? na kama atakuwa anatumia bangi akitua hapa tu lockup''-Paul Makonda