Ndugu mteja
Kwa sasa utanisamehe tu, sitokuwa napost size wala bei.
Hii imetokana na account yangu (18k followers)
Kufungiwa 😭😂
Sababu nilizopewa ni copyright
Za content nilizopandisha
So, ukiona kiatu umekipenda na unakitaka, uliza kwenye comment nami nitakujibu chap.
Je, unajua kwamba mguu wa mwanadamu unatoka wastani wa bilauri moja ya jasho kila siku ukiwa kwenye kazi?
Ndio maana tunaweka lining zenye breathability ya hali ya juu kwenye raba zetu ili kuzuia fangasi na harufu.
Maumivu ya chini ya kisigino yanasababishwa na kuvaa viatu vyenye soles ngumu mno bila cushioning.
Viatu vizuri vimetengenezwa kulinda afya ya visigino vyako hata ukisimama muda mrefu.
Mkulima Wine tutakuwepo viunga vya Kariakoo hadi saa kumi na moja jioni.
Leo zote Dry na Sweet wine zipo kwa bei ya kizalendo sana📍📌
Karibuni sana maboss🍷
Sio kila moka inafaa kwa jeans. Moka zenye tassels au buckles ni rasmi zaidi (formal), wakati zile plain au suede zinafaa sana kwa casual outfit.
Unatafuta mtindo gani? 👞
Je upo kwenye ujenzi wa nyumba, ofisi au mradi na umefikia hatua ya kumuhitaji fundi umeme?
Usiwaze sana kuhusu hilo, njoo upate huduma nzuri ya ushauri na ufundi ulionyooka kutoka kwetu ili kuepuka hasara na maumivu ya badae, tunakufikia ulipo.
📞 0714361234
#MkonoWaJay⚡
Je, unajua kwamba mguu wa mwanadamu unatoka wastani wa bilauri moja ya jasho kila siku ukiwa kwenye kazi?
Ndio maana tunaweka lining zenye breathability ya hali ya juu kwenye raba zetu ili kuzuia fangasi na harufu.