Mkurugenzi Mtendaji @TAA_Tanzania

Singida, Tanzania
SIJATEULIWA‼️ Nilitia nia kugombea ubunge jimbo la Ikungi Magharibi CCM 2025. Nawapongeza wote walioteuliwa. Nitaungana na yeyote atakayeteuliwa kushindana na vyama Vingine. Watanzania wote naomba Octoba tutiki Rais Dkt @SuluhuSamia Suphian Juma Nkuwi, Kada-CCM Jul 29, 2025
239
13
238
95,331
Suphian Juma Nkuwi retweeted
Uzalendo ni kutunza Mazingira, hii ndio kweli kabisa. Singida kavu tangu zamani, sasa kijani inawezekana. Kazi iendelee 🇹🇿
KAZI IENDELEE…‼️ SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA‼️ TANZANIA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA‼️ Ni katika kudhibiti mabadiliko ya TabiaNchi.
1
1
1
42
Suphian Juma Nkuwi retweeted
Ni wajibu wa kila mmoja wetu kushiriki katika kudhibiti athari zitokanazo na mabadiliko ya TabiaNchi.
KAZI IENDELEE…‼️ SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA‼️ TANZANIA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA‼️ Ni katika kudhibiti mabadiliko ya TabiaNchi.
1
1
31
KAZI IENDELEE…‼️ SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA‼️ TANZANIA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA‼️ Ni katika kudhibiti mabadiliko ya TabiaNchi.
8
4
7
2,229
SIO LAZIMA‼️
Replying to @SuphianJuma
Kwani hujawa DC tu mpaka sasa?😂😂😘
2
850
Tangu nianze siasa rasmi mwaka 2015 sijaona “Mwanaharakati halisi” Tanzania. Ninachoona ni “wachochezi” wa “ugaidi” na “uhaini” wenye lengo moja la kuisambaratisha nchi yetu kustawisha matumbo yao kwa kichaka ongo cha kutetea “Haki za wananchi”. WATIWE ADABU POPOTE WALIPO‼️
117
39
8,659
Jumaa na ikawe kheri sote.
1
1
1,038
Suphian Juma Nkuwi retweeted
It is with great sorrow that I mourn the passing of Zimbabwean businessman Mr Wicknell Chivayo, his beloved wife, and three other people who tragically lost their lives in a helicopter crash in Marondera. Zimbabwe and Africa have lost a young and visionary entrepreneur who touched the lives of many. On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I convey our deepest and heartfelt condolences to His Excellency Emmerson Mnangagwa, President of the Republic of Zimbabwe; the Chivayo family, the families of all those who lost their loved ones and the people of Zimbabwe. May their souls rest in peace. Amen.
1,768
572
4,090
882,180
Mamlaka ya uteuzi ndio inajua lini, wapi na kwanini I mteue nani. Tuwapongeze na kuwatakia kila la kheri wenzetu walioaminiwa na Mhe. Rais awamu hii. Aidha siasa na mwanasiasa huwa haiishii kwenye teuzi tu, hivyo kwa sisi vijana ndoto zetu zinapaswa kuwaza zaidi ya teuzi.
Ni aibu saana mzee umesota CCM. @SuphianJuma miaka na miaka, matusi yote unapokea wewe mitandaoni na mtaani alafu anakuja kiraka kama huyu. Hana qualifications zozooote. I mean zozote kwa hicho cheo alichopewa, kisa ni ndugu tu..
18
5
2,871
Kwenye mawasilisho ya mwisho ya Tundu Lissu mahakamani ameonesha kukata tamaa kushinda kesi, sasa anategemea huruma ya majaji na siyo uimara wa hoja zake kujitetea. Changamoto alijiona mtabe wa sheria akawanyali mawakili wa Serikali, akafanya mizaha ITAKAYOMTUMBUA USAHA si punde.
104
3
36
15,248
Bwana @HecheJohn na CHADEMA tunawaona wanazurura nchini Ila hata kumshukuru Rais Dkt @SuluhuSamia hakuna ila mtashangaa bado wanalalama Rais anaminya demokrasia. Oooops‼️
37
4
3,642
Tundu Lissu, Wanaharakati na wafuasi wao wa CHADEMA kutwa kucha wanahoji alipo Makamu Mstaafu wa Rais, Nchimbi halafu hapohapo kutwa wanadai hawautambui Uchaguzi wa oktoba 29, 2025 wala Serikali ya Rais Dkt @SuluhuSamia iliyomzaa huyo Mstaafu. Hawa viumbe WAMEBALEHE kweli⁉️
2
471
Happy birthday brother @zittokabwe Wapinzani hususani CHADEMA wanalakujifunza kwako; kuacha siasa za “matusi” na kujikita kwenye “siasa za hoja/masuala” kwa pamoja nasi CCM kujenga nchi yetu.
39
16
4,000
Wanaharakati na CHADEMA hawaamini dunia nzima inavyompa kongole kedekede Rais wetu Dkt @SuluhuSamia. Walidhani na kupambana Rais wetu asemwe vibaya kwenye Mkutano uliofanyika Marekani badala yake Tanzania ikasifika kinara wa kudai haki kwa nchi zingine Kama Palestina. Na badoo..
12
2
5
5,368
Lissu na wafuasi wake wanatia huruma. Walidhani hii kesi rahisi sana kama kumsukuma mlevi. Sasa maji yapo juu ya shingo. Wanalia. Nilishauri mapema; Lissu aombe msamaha na msaada kwa Rais Dkt Samia, kesi hii isuluhishwe kisiasa, mkanitusi sana. Kibri sio ushujaa, KITAMWANGAMIZA‼️
141
9
9,634
Suphian Juma Nkuwi retweeted
🇵🇸🇹🇿 “Tanzania is deeply concerned and saddened by the protracted conflict and humanitarian suffering in Gaza and across the Middle East. We continue to call for the protection of civilians, unhindered humanitarian assistance, and renewed diplomacy towards lasting peace. Tanzania remains firmly committed to the two-state solution, with Israel and Palestine living side by side in peace and harmony in accordance with international law and relevant UN resolutions. We reaffirm the right of the Palestinian people to self-determination and believe that lasting peace must guarantee dignity, security, and legitimate aspirations of both peoples. We have been consistent on this for the past 50 years. For us, this is a matter of our foreign principles.”
157
465
1,893
374,608
Suphian Juma Nkuwi retweeted
TANZANIA YATANGAZA RASMI KUGOMBEA KITI CHA BARAZA LA USALAMA LA UN KWA KIPINDI CHA 2029–2030 Tanzania imetangaza rasmi azma yake ya kugombea kiti kisicho cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kwa kipindi cha mwaka 2029–2030, huku ikiahidi kuendeleza mchango wake katika juhudi za kulinda amani na usalama wa kimataifa. Akizungumza katika Mjadala Mkuu wa Kikao cha 81 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 81) Septemba 22, 2026, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema Umoja wa Afrika tayari umechukua hatua ya kutambua rasmi azma hiyo, kabla ya uchaguzi unaotarajiwa kufanyika katika Baraza Kuu la UN mwezi Juni 2028. Akifafanua zaidi Ndejembi amesema, Tanzania inajenga azma hiyo kutokana na uzoefu wake katika masuala ya amani, ikiwemo kuhudumu mara mbili katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kushiriki katika mipango ya kimataifa ya kujenga amani. Ametaja miongoni mwa mafanikio ya Tanzania kuwa ni kupitishwa kwa Azimio Na. 1653 la Baraza la Usalama mwaka 2006 kuhusu eneo la Maziwa Makuu, pamoja na ushirikiano wa Tanzania na Denmark katika kuanzishwa kwa Tume ya Kujenga Amani ya Umoja wa Mataifa. Mhe. Ndejembi ameahidi kuwa, endapo Tanzania itapata nafasi hiyo, itaweka mkazo katika diplomasia ya kuzuia migogoro, utatuzi wa migogoro kwa njia ya amani, ushiriki wa wanawake katika ulinzi wa amani, nafasi ya vijana katika amani na usalama, pamoja na mageuzi katika operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa. “Tanzania itashirikiana na nchi wanachama na kuwasilisha dira yake, huku ikiomba uungwaji mkono ili kuitumikia dunia kwa sauti imara ya Afrika, uongozi wenye misingi na dhamira thabiti ya kulinda amani na usalama wa kimataifa,” amesema. Mjadala Mkuu wa UNGA 81 unaofanyika jijini New York umezikutanisha nchi wanachama kujadili changamoto za kimataifa, ikiwemo amani na usalama, maendeleo endelevu na mustakabali wa ushirikiano wa kimataifa.
3
17
37
3,940
Suphian Juma Nkuwi retweeted
Uko sahihi kabisa. Vijana wasikubali kutumika kwenye agenda za kisiasa zinazoweza kuhatarisha amani na mali zao wenyewe. Maandamano yanaweza kuwa sehemu ya haki za kiraia, lakini uporaji, uharibifu wa mali na vurugu si jambo la kuhalalisha. Tanzania si uwanja wa majaribio.
Wanaharakati akina @mangekimambi wameanza tena kuwarubuni vijana wampindue Rais @SuluhuSamia Oktoba 29 na AFCON. Hakuna maandamano halali yanayopora, kuharibu mali na kuuana. Vijana; Tanzania si ya majaribio ya ugaidi, fanyweni ndondocha mkafe zaidi ya 2025. HAKUNA KUDEKEZANA‼️
1
1
92
Suphian Juma Nkuwi retweeted
Hawa wale wale, wanawatumia vijana kama nyenzo ya kujinufaisha na wao wanakaa salama huko nje. Vijana msijiweke tena mbele, 2025 tuliyaona‼️🚮
1
2
148
Suphian Juma Nkuwi retweeted
atufanyiiii uwo upumbavuu tenaaaaaaa!!! nakuhakikishia hakuna kiumbe atae toa mguu wake watuu walivokufa vile nan atoke tena aisee tunataka Amani tutatumia njia nyingine lkn sio kuandamana nakufanya vurugu
Wanaharakati akina @mangekimambi wameanza tena kuwarubuni vijana wampindue Rais @SuluhuSamia Oktoba 29 na AFCON. Hakuna maandamano halali yanayopora, kuharibu mali na kuuana. Vijana; Tanzania si ya majaribio ya ugaidi, fanyweni ndondocha mkafe zaidi ya 2025. HAKUNA KUDEKEZANA‼️
2
2
3
77