Maharage Chande alikuwa na vision nzuri sana kwa Posta, na mabadiliko yalianza kuonekana. Bahati mbaya baada ya kutumbuliwa ni kama wamerudi kwenye comfort zone.
Shirika la Posta liunganishwe na TTCL wajaribu kufanya kazi pamoja, Kwa sasa ni kama linakufa ukiangaalia mabus wanabeba vifurushi na mizigo, Barua kwa sasa ni zimeisha , money exchange banks zimeongezeka.
Wakiwa na TTCL wauze internet na kufikisha mkongo vijijini