Biblia Kutoka 15:23 "Walipofika mahali palipoitwa Mara hawakupata kuyanywa yale maji ya Mara, kwa kuwa yalikuwa machungu; kwa ajili ya hayo jina lake likaitwa Mara". Good Morning watu wa Mkoa wa MARA
42
123
417
41,379
π‹πŽπ‚πŠ 𝐒𝐂𝐑𝐄𝐄𝐍 𝐖𝐀𝐋𝐋𝐏𝐀𝐏𝐄𝐑 | π‡πŽπŒπ„ 𝐒𝐂𝐑𝐄𝐄𝐍 𝐖𝐀𝐋𝐋𝐏𝐀𝐏𝐄𝐑 πƒπ‘πŽπ π˜πŽπ”π‘π’ 𝐓𝐇𝐑𝐄𝐀𝐃
11
35
41
372
Hiki kijiji kinaitwa ISHINDA kipo Mbeya vijijini. Hapa kama unataka kutuma 100k kwa wakala unaweka na 10k ya wakala, kama hutaki pata gari uipeleke mwenyewe
13
16
264
10,664
Kipaji chako ndio mtaji wa Bosi wako hujagundua tu
6
7
66
894
Timber TZA retweeted
πŸ™Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhaliπŸ₯° πŸ‘‰ Size S,M,L,Xl,& XXL πŸ‘‰Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 πŸ“Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
7
73
77
1,794
Timber TZA retweeted
Wanangu weekend hii mechi za kimataifa zinaendelea kama kawaidaa Uzuri wa @777bet_tz ukiona mambo hayaendi unawahi pesa zako kwa Cash Out. Jiunge na mabingwa kwa link hii 777bet.tz Tumia Code 777SAM #777BetMabingwa #777BetTz
2
2
3
1,239
π‹πŽπ‚πŠ 𝐒𝐂𝐑𝐄𝐄𝐍 𝐖𝐀𝐋𝐋𝐏𝐀𝐏𝐄𝐑 | π‡πŽπŒπ„ 𝐒𝐂𝐑𝐄𝐄𝐍 𝐖𝐀𝐋𝐋𝐏𝐀𝐏𝐄𝐑 πƒπ‘πŽπ π˜πŽπ”π‘π’ 𝐓𝐇𝐑𝐄𝐀𝐃
12
40
48
349
Huku Dsm kuna watu wakarimu sana kuna jamaa ameokota hela hapa ananiambia twende tukagawane.πŸ˜πŸ™
56
44
161
4,313
Timber TZA retweeted
πŸ™Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhaliπŸ₯° πŸ‘‰ Size S,M,L,Xl,& XXL πŸ‘‰Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 πŸ“Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
9
95
107
2,293
Timber TZA retweeted
πŸŒ… Good Morning! β˜€οΈ A new day is a new opportunity to begin again, think positively, and move one step closer to your dreams. πŸ’› Leave yesterday behind, embrace today with gratitude, and make it count. 🌿✨ Wishing you a peaceful, productive, and beautiful day ahead! ❀️
10
25
30
589
Epukana na mtu ambaye mnapoanza kuongea madhaifu ya Bosi wenu anakaa kimya
19
29
221
5,712
π‹πŽπ‚πŠ 𝐒𝐂𝐑𝐄𝐄𝐍 𝐖𝐀𝐋𝐋𝐏𝐀𝐏𝐄𝐑 | π‡πŽπŒπ„ 𝐒𝐂𝐑𝐄𝐄𝐍 𝐖𝐀𝐋𝐋𝐏𝐀𝐏𝐄𝐑 πƒπ‘πŽπ π˜πŽπ”π‘π’ 𝐓𝐇𝐑𝐄𝐀𝐃
8
45
53
499
Idadi ya watanzania kufika Milioni 120 ifikapo 2050 Ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania linatarajiwa kufikia takribani milioni 120 ifikapo mwaka 2050, hali inayotarajiwa kuongeza mahitaji ya miundombinu na huduma muhimu. Fursa kubwa zinaonekana katika ujenzi wa nyumba, barabara, hospitali, mifumo ya maji na miundombinu ya mijini, huku sekta ya ujenzi ikitarajiwa kuwa na nafasi muhimu katika kukidhi mahitaji ya kizazi kinachoongezeka.
2
8
7
381
Timber TZA retweeted
Leo Tanzania tupo uwanjani mapemaaaa ni Taifa Stars vs Guinea-Bissau Unadhani nani ataibuka na ushindi Mimi naona kama Tanzania anashinda leo Weka ubashiri wako mapema kwa odds kali pale @777bet_tz πŸ‘‰ Jisajili sasa 777bet.tz kwa kutumia code 777SAM Upate BONUS kibaoooo #777BetMabingwa #777BetTz
2
6
11
1,705
Nawaombea utafutaji Mwema na Mungu awafanyie Jambo WANAUME wote waliokataliwa na WANAWAKE kisa Umasikini
10
38
570
❝You will never be criticized by someone who is doing more than you, you will only be criticized by someone who is doing less than you, remember that❞ _NIPSEY HUSSLE
17
64
80
765
Timber TZA retweeted
Good morning X family Maisha hayakupi kile unachokitaka kwa urahisi, bali hukupa kile unachokipigania kwa uvumilivu. Kila jasho unalolitoa leo linajenga ukuta wa heshima yako ya kesho. Usikate tamaa, bado upo kwenye mchakato πŸ’ͺ
12
27
31
1,186
Siku mwanamke alipotoa fedha yake ya mshahara na kununua chakula ndani, ndipo mume wake alipoanza kulalamika kuwa ananyimwa unyumba
3
12
77
1,101
17
7
97
29,318
RAIS SAMIA AONGOZA DHAMIRA YA AFRIKA KUTOKOMEZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa uongozi wake mahiri katika kusukuma mbele ajenda ya Afrika ya kutokomeza vifo vinavyoweza kuzuilika vya mama na mtoto, huku bara hilo likikabiliwa na karibu asilimia 70 ya vifo vya akina mama duniani na takribani theluthi mbili ya vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano. Akiwa Kinara wa Umoja wa Afrika katika Afya ya Mama na Mtoto, Rais Samia anaongoza ajenda ya β€œMalengo Matatu ya Sifuri” (Three Zeros) inayolenga kufikia sifuri ya kujifungulia nyumbani, sifuri ya vifo vinavyoweza kuzuilika vya mama na mtoto mchanga, pamoja na sifuri ya watoto wasiopata chanjo. Ajenda hiyo imepewa msukumo katika Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Wakuu wa Nchi kuhusu Afya ya Mama, Mtoto Mchanga na Mtoto, iliofanyika pembezoni mwa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA81), ukiwakutanisha Wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa taasisi za Umoja wa Afrika, mashirika ya kimataifa ya afya na washirika wa maendeleo. Akiwasilisha ujumbe wa Rais Samia katika mkutano huo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema ukubwa wa changamoto unahitaji Afrika kutoka kwenye ahadi na kuelekea katika hatua madhubuti zinazoweza kupimwa kwa maisha ya wanawake na watoto yanayookolewa. Amesema, pamoja na hatua ambazo Bara la Afrika limepiga, Afrika bado inachangia karibu asilimia 70 ya vifo vya akina mama duniani na takribani theluthi mbili ya vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano, huku sehemu kubwa ya vifo hivyo ikiwa inaweza kuzuilika. Makamu wa Rais amesema msukumo wa Rais Samia unalenga kuimarisha mifumo ya afya ya nchi za Afrika, kuongeza ufadhili wa ndani, kuboresha huduma za dharura na mifumo ya rufaa, kuongeza upatikanaji wa wahudumu wa afya wenye ujuzi na kuhakikisha takwimu zinatumika kufuatilia matokeo na kubaini maeneo yanayohitaji hatua zaidi. Akielezea uzoefu wa Tanzania, Makamu wa Rais amesema uwekezaji katika huduma za afya ya msingi na za dharura kwa mama na mtoto mchanga, pamoja na kuimarishwa kwa mifumo ya rufaa ikiwemo M-Mama, unaonesha namna uongozi wa kisiasa, teknolojia na utoaji wa huduma kwa wananchi vinavyoweza kuunganishwa katika kuokoa maisha. Hatua hizo zimekwenda sambamba na kuongezeka kwa wanawake wanaojifungulia katika vituo vya afya kutoka asilimia 51 mwaka 2015 hadi asilimia 81 mwaka 2022, mafanikio yanayoonesha uwezekano wa kubadili mwenendo wa vifo vya mama na mtoto pale uwekezaji unapounganishwa na utekelezaji katika ngazi ya jamii. Makamu wa Rais alisema ajenda anayoiongoza Rais Samia pia inatoa uzito kwa suala la Afrika kujitegemea katika afya, akisisitiza kuwa mafanikio hayapaswi kupimwa pekee kwa uwezo wa bara kugharamia, kuzalisha au kununua mahitaji yake, bali pia kwa uwezo wa kuhakikisha huduma muhimu zinamfikia kila mama na mtoto kwa wakati na mahali wanapozihitaji. Katika kufanikisha hilo, nchi za Afrika zimehimizwa kuimarisha uwajibikaji wa kisiasa, kuongeza uwekezaji wa ndani katika huduma zinazookoa maisha na kuhakikisha rasilimali zinafika hadi katika ngazi ya utoaji huduma. β€œDhamira ni kuhakikisha hakuna mama anayepoteza maisha kwa kukosa usafiri, damu, mhudumu mwenye ujuzi au huduma ya dharura; hakuna mtoto mchanga anayefariki kwa kukosa huduma inayoweza kuokoa maisha yake, na hakuna mtoto anayebaki bila chanjo kwa sababu mfumo wa afya haukuweza kuifikia familia yake,” amesema Mhe. Ndejembi. Makamu wa Rais amesema kulinda uhai wa mama na mtoto si suala la afya pekee, bali ni uwekezaji katika rasilimali watu, uchumi na mustakabali wa Afrika, pamoja na kuwa sehemu muhimu ya utekelezaji wa Ajenda 2063 ya Bara la Afrika.
7
9
747