Another sign ya kujua kama couples wataachana haraka ama hakuna mahali wanaenda ni kama huyo bois hajatoa mahari ama kama alitoa ni pesa kidogo sana.
My step siz was engaged back in 2016, and I remember that guy giving our family 5K, imagine 5K pekee bana, na venye alikuja na convoy ingine hatari kama ya mzee wa Charlene. Waliachana after 4 years after disrespect and cheating allegations from the guy.
Usipotoa mahari kuna venye tu hautachukulia huyo dem serious and mtakosana tu eventually. Watu walipe mahari bana.