Nilisahau nipo kwenye tuzo jamani 😂😂😂 wenzangu watakua wameniacha mbali sana Naombeni kura nicatch up 🤲🏾

Jan 5, 2025 · 2:52 PM UTC

97
258
1,061
161,202
Sort replies: Relevant Recent Liked
Replying to @YourFrenchFry
Coco kumbe sauti yako ndio tulikuwa tunaisikia kwa Mke wa Cardo 😂😂😂🙆‍♂️ I didn't know... Lazma nikupigie hii
3
1
25
5,030
Ahsante 😂😂😂
6
3,262
Replying to @YourFrenchFry
Kumbe sauti ya Alyana ni wewe? my mom and grandma ilikua mda wa brothers huwambii kitu na hivyo ilionyeshwa for years mpka nyumba nzima ilibdi tuwe tunaangalia tu😅
2
1
26
4,439
Ahsantee 😍😍😍
1
1
9
3,217
Replying to @YourFrenchFry
Kura yangu unayo ila siku ukipata tuzo ongea na mmeo aache ufala
2
12
2,197
😂😂😂😂 Thank you 🥰
1
6
2,047
Replying to @YourFrenchFry
Naaam nakupa kiroho safiii
1
10
2,235
Ahsante saaana
1
5
2,129
Replying to @YourFrenchFry
Mamaangu humwambii kitu . mwenyewe anaiita KADO😂😂
1
1
7
3,610
😂😂😂 msalimie mama
1
3
1,617
Replying to @YourFrenchFry
Ndio nimejua leo kuwa uliingiza sauti ya Alyana kwenye Brothers 😊 Nitakupigia ✅
1
1
7
2,499
Ahsante ❤️
3
1,640
Replying to @YourFrenchFry
Afu unacheka😂😂😂
1
5
2,374
Poster nimetumiwa tangu 20th Dec ndo nakurupuka leo 😂
1
11
2,347
Replying to @YourFrenchFry
Na kupiga kura ni hela?
1
3
1,492
1,000/= Tshs kwa kura moja
1
1
3
1,487
Replying to @YourFrenchFry
kura moja ni 1000?
2
5
4,038
Yes 🥹
2
4
3,907
All the best❤️🙏🏽
1
1
3
2,705
🥰🥰 thank youuu
1
1
2,289