Lemme ask a question, IEBC does not issue ID cards, the Government does. So when they encounter a person with a genuine Kenyan ID holder, how are they supposed to know uyu ni mkenya? Ju kama ID zinapeanwa kaa sweets, si anyone can even change to a Kenyan name ama?
Saa chache kabla ya kupeperushwa kwa taarifa hii kuhusu kura za magendo, maafisa wa ngazi ya juu serikalini, wakiongozwa na Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, na Mbunge Robert Pukose, walivuka mpaka kuingia Uganda katika eneo lilelile lililoibua madai ya kutolewa kwa vitambulisho vya Kenya na usajili wa wapigakura.
@FrancisOntomwa
#KTNLeoWikendi