Lecturer Stella maris Mtwara University College (STEMMUCO)

Dar es Salaam, Tanzania
Josephat Zacharia retweeted
TAMK0: TATHMINI YA MATUKIO YA OKTOBA 29, 2025 BAADA YA MWAKA MMOJA: UKWELI, UWAJIBIKAJI NA HAKI Leo, tarehe 29 Oktoba, 2026, tunawakumbuka waliopoteza maisha katika matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
2
46
104
1,419
Josephat Zacharia retweeted
Hatutasahau na Hatutarudi nyuma mpaka HAKI na Uwajibikaji vipatikane. Tutawakumbuka daima.
2
51
177
2,254
Josephat Zacharia retweeted
#BREAKING: VOCAL AFRICA YAFUNGUA KESI YA HABEAS CORPUS KUFUATIA KUTEKWA KWA MWAIPAYA KENYA. Shirika la Vocal Africa limewasilisha ombi la habeas corpus katika Mahakama ya Milimani, likiitaka serikali ya Kenya kumfikisha mahakamani akiwa hai mwanaharakati wa Kitanzania Twaha Mwaipaya, aliyeripotiwa kutekwa kimabavu katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos, Jumapili Oktoba 25. Akihutubia wanahabari nje ya mahakama, Mkurugenzi Mkuu Hussein Khalid alisema: “Tuko hapa kuiomba mahakama isurutishe serikali ya Kenya imlete Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hii akiwa hai… Mwaipaya ana haki ya kulindwa kama Mkenya yeyote.” Tukio hili limeibua sauti kali kutoka kwa Amnesty International, viongozi wa upinzani na wanaharakati wa haki za binadamu, wakionya kuwa Kenya inageuka kuwa ardhi hatari kwa wakimbizi wa kisiasa. Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo imekosolewa kwa kuendeleza msururu wa unyanyasaji dhidi ya wapinzani na wanaharakati, huku kutoweka kwa Mwaipaya kukichukuliwa kama sehemu ya msako mpana wa kisiasa. Wakati huohuo, serikali ya Kenya imewekwa lawamani kwa kuruhusu utekaji wa kuvuka mipaka, ikikumbushwa kisa cha Novemba 2024 ambapo kiongozi wa upinzani wa Uganda Dkt. Kizza Besigye alitekwa jijini Nairobi na kupelekwa Kampala, pamoja na jaribio la Januari 2025 kumteka mwanaharakati wa Kitanzania Maria Sarungi Tsehai, aliyeachiliwa baada ya ghadhabu ya umma. Sasa, kesi hii imeiweka mahakama ya Kenya katikati ya mzozo wa kikanda, ikipima ulinzi wa kikatiba, uwajibikaji wa serikali na usalama wa sauti za upinzani katika Afrika Mashariki. Jiunge na Mwanzo TV Membership hii leo ili usipitwe na taarifa Kuu za Habari 👉 youtube.com/@MwanzoTvPlus
4
127
447
10,600
Josephat Zacharia retweeted
8
249
1,250
19,831
Josephat Zacharia retweeted
Habari za kutekwa Twaha Mwaipaya zimesambaa Dunia nzima. Tuendelee kumpazia sauti ndugu yetu huenda sauti zetu zikazaa matunda. #FreeTwahaMwaipaya
4
237
705
11,023
Josephat Zacharia retweeted
At around this hour, we received reports of the first fatal shooting, in which one person was killed near Ubungo, Dar es Salaam. Tanzania is never the same again! 29/10💔😭
3
92
429
6,045
Josephat Zacharia retweeted
MAOMBOLEZO YA MAUAJI YA OKT29 YANAENDELEA NCHI NZIMA SIKU YA LEO NA ZIJAZO
8
55
213
15,866
Josephat Zacharia retweeted
Thank you Norway, US and UK for standing with the People of Tanzania You are true partners not emablers of the illegitimate govt @usembassytz @NorwayMFA @UKinTanzania Jamani mataifa yameelewa fika kuwa kwq sasa wanahitaji kusimama na WANANCHI siyo watawala HARAMU #WeShallNeverForget #TanzaniaMassacre #NoJusticeNoPeace #Hatutasahau
11
158
458
9,652
Josephat Zacharia retweeted
#FreeTwahaMwaipaya We keep fighting for his safe release! Hakuna kukata tamaa! #FreeTwahaMwaipaya
6
197
393
9,396
Josephat Zacharia retweeted
Twaha alikuwa kiunganishi muhimu sana cha CHADEMA na WATANZANIA. Ulikuwa unamkuta huko X space za Shangazi Maria. Ulikuwa unamkuta Tiktok kwakina Nuruvazi Kuelimisha Gen Z ukweli wa taifa lao. Ulikuwa unamkuta Club house anaongea na Diaspora. Ulikuwa unamkuta insta akiendelea na mapambano kulingana na Mtandao huo unavyotaka. Ulikuwa unamkuta Facebook anapiga Live za MO29 anawakumbusha watanzania bado tupo msibani. Hakuna mtandao wa kijamii hakuwepo TWAHA. Kazi aliyokuwa anaifanya TWAHA kwasasa hayupo mtu ndani ya CDM anaifanya hata asilimia moja. Ndiomaana juzi niliwamaindi CHADEMA kwa kushindwa kumsaidia TWAHA kwenda mbali na NAIROBI maana alikiunganisha CHAMA na wananchi. Leo account za TWAHA ambazo nazijua zina followers jumla sio chini ya MILIONI 5 kwenye mitandao yote, leo ZIMEZIMA hazisemi kitu. KUMBUKA hizi account ndio zilikuwa zinatumika kuhabarisha habari za CHAMA, subiri uone uhalisia wa mambo CDM wakitangaza jambo lao kwenye mitandao uone kama litaenda kama yalivyokuwa yanaenda wakati wa TWAHA. HILI LA TWAHA SISI WANAHARAKATI NA CDM TUMEPIGWA NA KITU KIZITO, MUNGU AMPONYE NDUGU YANGU KAMA ALIVYONIPONYA MIMI KATAVI.😭🙏🏾 #FreeTwahaMwaipaya
18
229
946
22,095
Josephat Zacharia retweeted
Mwanaharakati na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edson Mwakalebela maarufu kama Sativa, amesema Twaha Mwaipaya alikuwa rasilimali muhimu kwa chama hicho katika kueneza habari, itikadi na misimamo yake kwa wananchi kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kabla ya kutoweka kwake. Sativa ameeleza kuwa Mwaipaya alikuwa kiunganishi muhimu kati ya CHADEMA na Watanzania, akitumia majukwaa tofauti ya kidijitali kufikisha ujumbe wa chama, kuelimisha wananchi kuhusu masuala ya kisiasa na kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika mijadala ya kitaifa. Katika ujumbe aliouchapisha Jumatano, Oktoba 28, 2026, kupitia mtandao wa X, Sativa amesema Mwaipaya alikuwa akishiriki mijadala ya kisiasa katika majukwaa ya X Spaces, TikTok, Clubhouse, Instagram na Facebook, akibadilisha namna ya kuwasilisha ujumbe kulingana na hadhira ya kila mtandao. Amesema katika X Spaces, Mwaipaya alikuwa akishiriki mijadala iliyohusisha Shangazi Maria, huku TikTok akishiriki majukwaa ya Nuruvazi kwa ajili ya kuelimisha vijana wa kizazi cha Gen Z kuhusu masuala ya nchi yao. Pia alikuwa akitumia Clubhouse kuzungumza na Watanzania wanaoishi nje ya nchi, maarufu kama Diaspora, kuhusu masuala ya kisiasa na maendeleo ya taifa. Kwa mujibu wa Sativa, Mwaipaya alikuwa akiendeleza shughuli hizo pia kupitia Instagram na Facebook, ambako alikuwa akifanya matangazo ya moja kwa moja kuhusu harakati za kisiasa na kampeni , akiwakumbusha Watanzania kuhusu hali ya kisiasa nchini. Sativa amedai kuwa akaunti za Mwaipaya katika mitandao mbalimbali zilikuwa na wafuasi wasiopungua milioni tano kwa jumla, akieleza kuwa ukubwa huo wa hadhira ulimfanya kuwa njia muhimu ya kufikisha ujumbe wa CHADEMA kwa wananchi. Sativa amesema kutoweka kwa Mwaipaya kumeacha pengo katika shughuli za mawasiliano ya chama hicho kupitia mitandao ya kijamii, akidai kuwa kwa sasa hakuna mtu ndani ya CHADEMA anayefanya kazi hiyo kwa kiwango alichokuwa akiifanya Mwaipaya. Ameonya kuwa hali hiyo inaweza kuathiri namna ujumbe wa chama unavyowafikia wananchi na kupata mwitikio katika majukwaa ya kidijitali. Aidha, Sativa ameeleza kutoridhishwa kwake na namna CHADEMA ilivyoshughulikia suala la Mwaipaya, akisema alitarajia chama hicho kumsaidia kufika mbali zaidi na Nairobi kabla ya kutoweka kwake. Ameeleza kuwa yeye na wanaharakati wengine wameathirika kutokana na kutoweka kwa Mwaipaya, huku akitoa sala ya kumtakia apone na kurejea salama.
31
235
2,815
Josephat Zacharia retweeted
Uliyemshauri Pambalu alirudi Bongo, ukampa hakikisho la usalama wake kwamba uliongea na Mafwele, akakwambia arudi tu hawana tatizo nae, naomba utambue kwamba umetusababishia matatizo makubwa sana. Kila siku huwa nawakumbusha wapambanaji wenzangu kwamba ogopa sana mtu ambae anaaccess na wewe lakini pia anaaccess na watu ambao daily wanawinda roho zetu. Maana unatakiwa ujiulize inawezakanaje mtu ambae anajipambanua kuwa ni mpigania Haki halafu wakati huo huo kwa mdomo wake anasema Mafwele ni rafiki yake? Unawezaje kuwa na urafiki na mtu ambae Dunia yote inajua kuwa anateka na kupoteza watu na wengine huwa anawabaka na kuwafila, inawezekanaje…??? #FreeTwahaMwaipaya💔
90
214
1,177
118,683
Josephat Zacharia retweeted
#BREAKING: VOCAL AFRICA YAFUNGUA KESI YA HABEAS CORPUS KUFUATIA KUTEKWA KWA MWAIPAYA KENYA. Shirika la Vocal Africa limewasilisha ombi la habeas corpus katika Mahakama ya Milimani, likiitaka serikali ya Kenya kumfikisha mahakamani akiwa hai mwanaharakati wa Kitanzania Twaha Mwaipaya, aliyeripotiwa kutekwa kimabavu katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos, Jumapili Oktoba 25. Akihutubia wanahabari nje ya mahakama, Mkurugenzi Mkuu Hussein Khalid alisema: “Tuko hapa kuiomba mahakama isurutishe serikali ya Kenya imlete Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hii akiwa hai… Mwaipaya ana haki ya kulindwa kama Mkenya yeyote.” Tukio hili limeibua sauti kali kutoka kwa Amnesty International, viongozi wa upinzani na wanaharakati wa haki za binadamu, wakionya kuwa Kenya inageuka kuwa ardhi hatari kwa wakimbizi wa kisiasa. Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo imekosolewa kwa kuendeleza msururu wa unyanyasaji dhidi ya wapinzani na wanaharakati, huku kutoweka kwa Mwaipaya kukichukuliwa kama sehemu ya msako mpana wa kisiasa. Wakati huohuo, serikali ya Kenya imewekwa lawamani kwa kuruhusu utekaji wa kuvuka mipaka, ikikumbushwa kisa cha Novemba 2024 ambapo kiongozi wa upinzani wa Uganda Dkt. Kizza Besigye alitekwa jijini Nairobi na kupelekwa Kampala, pamoja na jaribio la Januari 2025 kumteka mwanaharakati wa Kitanzania Maria Sarungi Tsehai, aliyeachiliwa baada ya ghadhabu ya umma. Sasa, kesi hii imeiweka mahakama ya Kenya katikati ya mzozo wa kikanda, ikipima ulinzi wa kikatiba, uwajibikaji wa serikali na usalama wa sauti za upinzani katika Afrika Mashariki. #FreeTwahaMwaipaya REPOST 200
2
117
515
10,211
Josephat Zacharia retweeted
Tutapoteza wapambanaji wengi sana kwa mihemko unnecessary!! Unapishana mawazo tu na mtu kidogo anaku~attack anakwambia umelambishwa asali. Na watu wanaamini kweli umelamba asali, wakati kiuhalisia sio kweli ni ume adress tu mawazo tofauti na wao. Finally unaona unahukumiwa kwa kosa ambalo hujafanya!! So inakuwa kama ile umefungwa kwa kosa ka kuua mtu, unatumikia kifungo then unatoka unamkuta uliyeambiwa umemuua yuko hai! What next?🤷‍♂️ Tusipunguze wapambanaji…. kwa sababu ambazo zinazungumzika!! Hii vita hatuwezi shinda tukiwa wachache!! SIRI NI NAMBA!!
102
98
921
73,953
Josephat Zacharia retweeted
Wakati Magazeti yote ya Tanzania yameufyata, Magazeti ya Kenya yanaendelea kutusaidia kumpazia sauti ndugu yetu Twaha Mwaipaya. #FreeTwahaMwaipaya
7
261
738
17,666
Josephat Zacharia retweeted
Oktoba 29 imebeba uzito mkubwa na muhimu katika maisha yetu. Tutawaenzi na kuwakumbuka damia maelfu ya mashujaa wote waliouwawa kwa risasi & wote walioteswa, tupwa jela na zaidi kwa amri ya Samia Suluhu. No amount of distractions or whitewashing can ever change this.
Tunaitangaza RASMI na kwa DHATI tarehe 29 Oktoba kuwa SIKU YA MASHUJAA. Tutaiadhimisha kila mwaka. Nuff respect to the fallen Heroes.
66
291
4,416
WHERE IS TWAHA??? FREE TWAHA!! Watanzania tuna kila sababu ya kupambana ili kukomesha huu uongozi haram uliotuua kisha wakaiba uchaguzi siku ta October 29 2025….
8
291
1,100
20,076
Josephat Zacharia retweeted
“Tunaomba Mahakama iweze kushurutisha Serikali ya Kenya kumleta Twaha Mwaipaya mbele ya Mahakama akiwa hai au maiti…”-; @husskhalid Director of Vocal Africa @VOCALAfrica_
4
182
818
22,298
Josephat Zacharia retweeted
" Tuko hapa mbele ya mahakama, kuiomba mahakama iweze kusurutisha serekali ya Kenya imlete Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hii akiwa hai.....tunasema ya kwamba, Twaha Mwaipaya ana haki ya kulindwa kama mkenya yeyote," Vocal Africa, CEO, Hussein Khalid addresses the media outside Milimani Law Courts,shortly after the filing of a habeas corpus calling for the release of Tanzanian activist Twaha Mwaipaya who was abducted in Kenya on Sunday. #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
14
195
625
13,182
Josephat Zacharia retweeted
Media karibia zote Dunia zinazungumza kuhusu tukio la kutekwa Twaha Mwaipaya. Tangu juzi nchini Kenya discussion ni tukio la kutekwa Mwaiapaya. Wakenya wanaendelea kupaza sauti kuhakikisha Mwaiapaya anapatikana akiwa hai ila media za bongo zipo kimya as If hakuna kilichotokea.🚮🚮
37
168
866
30,981