Wale mnaanza trading, mkuwe makini, tena saaaana.. Kuna sarakasi iko online, hizo video mnaona ya lifestyle ambao ni luxurious sana, kwa minajili hio mjue ni uongo, ukweli ni kwamba Trading ni ngumuuu, inataka commitment kushinda 9 to 5. Ndiposa nasema kuwa makini