Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, akiwasilisha taarifa kuhusu mafunzo ya kuongeza uelewa wa itikadi ya CCM, Ujenzi wa Chama na Kuongeza wanachama wapya, yaliyohitimishwa leo Septemba 30, 2026, katika chuo cha UVCCM Tunguu, mjini Zanzibar.