Jesus never fails..

Mara, Tanzania
Chacha Heche retweeted
Forget the titanic, this man could save the world.
Premier League
19
89
1,058
42,733
This is the type of election the killer lady claims to have won by 98%
60
304
1,031
141,256
Chacha Heche retweeted
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti Bara Mhe John Heche Tarime akiingia Uwanja wa Shamba la Bibi
45
280
7,851
Chacha Heche retweeted
Asante sana Tarime .. Nyie ni watu wema sana . Ninawapenda sana . Katiba mpya ni sasa Free Tundu Lissu.
6
138
747
14,645
Chacha Heche retweeted
TUMEKATAA SIASA ZA MASAJI.
Tarime asante sana, Pamoja na kunyeshewa sana mmesimama imara kwaajili ya ukombozi wa Nchi yetu. Tunataka katiba mpya. Tunamtaka Mwenyekiti wetu aachiwe haraka.
5
68
463
7,396
Chacha Heche retweeted
Asanteni sana Tarime ✌️
8
91
533
25,030
Chacha Heche retweeted
Tarime asante sana, Pamoja na kunyeshewa sana mmesimama imara kwaajili ya ukombozi wa Nchi yetu. Tunataka katiba mpya. Tunamtaka Mwenyekiti wetu aachiwe haraka.
19
195
737
23,073
Chacha Heche retweeted
Nakumbuka kipindi kile Mbowe akiwa Mwenyekiti alipopewa kesi ya Ugaidi propaganda ilianzishwa na wakina Duni Haji kwamba Lissu aliekua nje ya Nchi anakula kuku kwa mrija ndo anasababisha MWenyekiti Mbowe ashikiliwe kwa manufaa yake ya kisiasa.
4
69
447
29,095
Chacha Heche retweeted
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn Tarime, Mkoa wa Mara. Heche ni mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara unaofanyika katika uwanja wa Shamba la Bibi.
47
192
4,710
Tarime
2
35
179
1,536
Chacha Heche retweeted
Nyakati zimebadrika sana watu huwaambii kitu kuhusu CHADEMA
Mhe. @HecheJohn akiwaaga wananchi Bunda Mjini baada ya mkutano wa hadhara.
3
25
164
2,491
Chacha Heche retweeted
Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Bunda Mjini, mkoani Mara. Mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche.
2
44
183
10,634
Chacha Heche retweeted
*A MESSAGE TO OUR BROTHERS AND SISTERS OF TANZANIA* Dear brothers and sisters, Hon. Tundu Lissu our brother, father, son and uncle has become a symbol of Tanzania’s struggle for freedom, justice and democracy. When fear tells others to retreat, he stands. When silence is safer, he speaks. When the weak need a voice, he lends them his own. Tanzanians, remember this moment. Remember the faces, the names and the offices of those who wield power and those responsible for injustice today. History must keep a faithful record not for vengeance, but for accountability. No power is eternal. Governments come and go, but the record of what we do with power remains. When the day of accountability comes, let it come through evidence, due process and the impartial rule of law. Let justice answer injustice not revenge. And today, Tundu Lissu calls out to you and to the spirits of your forefathers and foremothers who shaped the land upon which you walk. Their strength surrounds him. Their courage guides him. For he stands for the future of Tanzania and the generations yet unborn. Now is the time for unity. Now is the time for your voices to be heard. Let the world hear your solidarity. Let President Samia Suluhu Hassan, her government, and every observer know that those standing with Tundu Lissu remain unwavering, unbroken and unafraid. From the hills and valleys to the lakes and plains of Tanzania, let the message echo: A people’s yearning for freedom can never be imprisoned. Tundu Lissu does not stand alone. Africa is watching. Africa remembers. Long live Tanzania. Long live justice. Long live freedom in Africa. In solidarity from your African brother in Sierra Leone, Jesmed F. Suma
27
427
1,284
33,521
Madereva wamewakumbusha ninyi wasomi ambao mnasubiri miujiza kuwa umoja NI nguvu
4
13
116
2,067
Chacha Heche retweeted
Katuga alikuwa anaona sifa kuhesabu Matrekta ya @HecheJohn badala ya kuandaa Final Submission ya Jamhuri yeye alifocus kuhesabu matrekta ya mwaume mwenzie. Leo mwanzo hadi mwisho alikuwa anahaingaka kujibu hoja za Final Submission ambayo Mhe. Lissu alifanya na hajafanikiwa Kwa lugha nyepesi ni kama ile Final Submission ya Mhe. Lissu iliwavuruga sana. Ndo maana leo, amejikanyaga sana kuna muda alikuwa anaongea vitu mpaka yeye mwenyewe anashindwa kuelewa alitaka kusema nini sema ndo vile Mahakama zetu zinaendeshwa kwa vimemo ila ingekuwa ni nchi ambazo Mahakama ziko huru Mhe. Lissu angekuwa aliachiwa kitambo sana.
21
137
928
47,186
Chacha Heche retweeted
Madereva tumianeni hii clip ya LISSU huko kwenye magrupu. Kiufupi HII NI NAFASI YA DHAHABU mmeipata kujibiwa matakwa yenu yote. Kazeni wanangu, mpo mwishoni kupata HAKI ZENU. Repost 200
8
201
991
21,344
Kwa submission Ile B unategemea kushinda KESI za kimataifa ?
2
7
19
750
Chacha Heche retweeted
Wakili @PMadeleka unaelewa wanachosema Jamhuri? Nimemjibu Sielewi wanasema nini? Akadai kumbe hatuelewi wote. Tusubiri Hukumu tu. Amenyanyuka na kusepa. Angalau Uhakika nilionao Jamhuri haiwezi kushinda kesi yoyote nje ya mipaka yetu kwa Akili hizi. Huko Kitaa mnaelewa au kavu?
26
130
526
11,680
Nikimwangaliaga huyu baba huwa najikuta nalia tu……. Kwanini mtu ateseke hivi kisa watu wachache waweze kuinyonya nchi? How come 70million people tunashindwa kumsaidia Lissu.? Inauma mpaka kwenye maini….
57
402
2,309
87,958
Chacha Heche retweeted
*MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:* “Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for" Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa. Namalziia kwa neno moja: waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini msiogope kuniachia huru. You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza” Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
62
481
1,477
60,863