Mi nimepigwa simu saa 1 usiku Buguruni, Saa 2 usiku Lucca Swahili kapigwa simu mikocheni, Amekuja kuzuia Account ya CRDB tayari wametoa 7M+ mimi sijaibiwa ila wameomba sana hela kwa wanangu wamekusanya sio chini ya 3M.
Vita ya vishandu na wakamaria imepamba moto. 🔥🔥