In perfect world everyone is blind | @ManUtd |@realmadriden | @blackYellow |@inter_en | @yangasc1935 |Spooky place 134M...

Tanganyika |A-Town |Sokoni one
😎😎😎
17
26
275
✌️🔥🔥🔥🔥🔥
Mhe. @HecheJohn akiwaaga wananchi Bunda Mjini baada ya mkutano wa hadhara.
68
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Mhe. @HecheJohn akiwaaga wananchi Bunda Mjini baada ya mkutano wa hadhara.
3
54
285
4,622
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Bunda Mjini, mkoani Mara. Mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche.
1
26
101
4,100
Arabs
Is it true that Arabs mistreat Blacks worse than Whites?
124
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Rev. Ezekiel Dachomo getting set to meet with Israeli officials and rights advocates in Jerusalem over the massacre of Christians in Nigeria
198
982
3,803
115,303
Thubutu
Wenye 95.5% za kushinda Derby wana gawa tu kama nonsense 🥳😹
135
Huyu Mzee mzinguaji mno
Mzee Selasini @joeselasini as nilivyokwambia kwenye comment na DM ni vyema haya maelezo yako yawe hadharani ili kila mtu ambae alikuwa hajui kama mimi kilichotokea apate uelewa kwa ufupi 📌Ambacho sijaelewa ni kwanini hukutoa ushauri kwa Viongozi wa chama instead ukaita Press?📌
4
231
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Iran has shifted its position from “Death to America” to “Vote Democrat”. 🤦🏻‍♀️
1,207
1,198
6,745
97,052
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Leo tumecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Tanzania katika viwanja vya Gymkhana, Dar Es Salaam na kupata ushindi wa Magoli 2-1 1. Clement Mzize ⚽️ 2. Cheikh Toure ⚽️ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
29
485
8,870
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Magufuli alikuwa akitembelea Hospitali anazungumza na wagonjwa wenye shida anauliza changa moto ya vifaa tiba.Sio Kiongozi unafanya usanii halafu unapita mapokezi imetoka hiyo.Magufuli alikuwa anakwenda mahali kwenye shida kutatua shida za wananchi ndio uongozi.
7
9
94
1,774
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Bottega Veneta Size: 44 [ 10 ] Tsh.65,000 0718007463
1
9
14
947
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Replying to @mackphason
Vingine baadae
1
1
55
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Ukiwa na mwanamke anakupiga tafu kwenye majukumu flani ya domestic una focus kwenye mambo makubwa zaidi. Men are good people wakipata a good supportive system
13
77
623
16,277
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
NCHI imevimba namna hii ikisubiri HUKUMU ya UHAINI wa Lissu halafu tunaletewa haya tena. Jichanganyeni kwenye hukumu hii ndipo mtajua vyombo vya DOLA ni vya NANI na mishahara wanalipwa na nani.
1
8
23
503
🤣🤣🤣
Wakenya wanatuambia hapa walitupiga😂😂💔
155
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
#EUSeries.......
1
12
57
3,166
Kwann alipwi 40?
Msemaji wa Yanga Ali Kamwe anakwambia  Clement Mzize alikuwa analipwa Milioni 40
1
2
388
🤣🤣🤣🤣
Ngedere wapewe nafasi ya kusikilizwa.
3
157
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Ukweli ni kwamba KATIBA ya Tanzania tangu kuundwa kwake Mwaka 1977 haikuwa Msaada kwa Wananchi Bali watawala waliopo madarakani. Wananchi wa Tz wameshuhudia na Kusikia UFISADI Mkubwa katika Taifa lao na bado washukiwa hawachukuliwi hatua zozote.
Katiba ya sasa imefanyiwa marekebisho zaidi ya mara kumi. Nyumba iliyowekwa viraka vingi hivi inahitaji kujengwa upya kwa msingi imara. Tusiendelee kuziba nyufa huku msingi wenyewe ukiwa wa zama nyingine. Tunahitaji Katiba mpya, iliyoandikwa na wananchi wenyewe sasa. #KatibaMpya
1
2
6
134