Web, automation & digital systems We Build & Secure Your Digital Presence ๐Ÿ“ฉ Consultations & Projects

๐Ÿ“Tanzania
MAKELELETECH retweeted
Today @tom_watson joins Palantir. Tom has been working tirelessly to deliver better British public services for 40 years. Watch him talk to his new colleagues in London about how they do the same.
36
38
410
38,706
MAKELELETECH retweeted
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tumezindua BetaFund. Kama umewahi kuwa kwenye kamati ya harusi, msiba, send-off, ada ya shule, matibabu au mchango wowote wa kijamii, unajua kazi ilivyo. Mtu mmoja anapewa jukumu la kusimamia michango yote. ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Watu wanatuma pesa kwa simu, wengine wanatoa cash, na screenshot zinatumwa WhatsAppโ€ฆ Halafu kila siku mtu anakaa ku-update majina, tiki, kiasi kilicholipwa, salio na jumla mpya. Kisha anaweka list tena kwenye group la WhatsApp. Na watu huwa wakuja uliza: โ€œMchango wangu umeingia?โ€ BetaFund ni platform tuliyoitengeneza kufanya hiyo kazi kwa niaba yako. Unafungua mchango ndani ya dakika chache, unapata link moja ya kushare, na watu wanaweza kuchangia kupitia: โ€ข M-Pesa โ€ข Mixx by Yas โ€ข Airtel Money โ€ข HaloPesa Kwa wanao toa mchango, hakuna app ya kudownload. Hakuna account ya kufungua. Malipo yakithibitishwa: โœ… Mchango unaingizwa moja kwa moja kwenye rekodi โœ… Status ya mchangiaji ina-update โœ… Jumla inaongezeka yenyewe โœ… Kama umeunganisha WhatsApp group, BetaFund inaweza kutuma updated list moja kwa moja kwenye group lako Michango ya simu (digital payments) inaingizwa baada ya malipo kuthibitishwa. Kila mchango pia una Event ID fupi ya public, ili mtu aweze kuhakiki link aliyotumiwa kabla ya kuchangia. Waandaaji wanaweza pia kuomba event yao ihakikiwe na BetaFund. โœ… (verification) Ukifika muda wa kutoa fedha, organizer anaweza kuwithdraw kwenda kwenye mobile money wallet au akaunti ya benki yoyote hapa Tanzania. BetaFund imejengwa kwa namna ambayo Watanzania tayari tunachangishana: ๐Ÿ’ Harusi & send-off ๐Ÿ•Š๏ธ Misiba ๐ŸŽ“ Ada za shule ๐Ÿฅ Matibabu ๐Ÿ—๏ธ Miradi โ›ช Kanisa & Msikiti ๐Ÿค Harambee na mengine mengi Hatukujaribu kuwaondoa watu WhatsApp. Tumechukua tu kazi ambayo organizers walikuwa wanaifanya kwa mkono, na kuifanya iwe automatic. BetaFund iko both kwa Kiswahili na Kingereza. Kutengeneza mchango ni bure. Nenda ๐Ÿ”— betafund.co.tz Ndio tunaanza. Tunaendelea kufanya kazi kubwa kuhakikisha BetaFund inakuwa rahisi zaidi, salama zaidi na ya kuaminika zaidi kadri tunavyokua. Kama unataka kuijaribu na pia ku-support tunachojenga, tuna fundraiser yetu ya BetaFund ambayo tayari imehakikiwa โœ… ๐Ÿ”— lnkd.in/eqnUDXnm Kwa maoni, maswali na criticism zote tunazikaribisha. Karibu BetaFund. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Req->Repost ๐Ÿงต @0x0256 @99Zaburi @anon_codex @gabyconscious @Issa_Ally_Mdoe @revaycolizer @DadyUtenga @TOTTechs @NjiwaFLow @kimjisena @mafolebaraka @makeleletech @ignasxv @Kibali02 @ankkala @salymdev @Neville983 @Abuumaryami_008 @j_kalebu @iamdastani @gregootz_ @Lonerx_znz @elisha_bulalu @Benji_Fernandes @StanleyMasinde_ #BetaFund #Tanzania #Fintech #MobileMoney #MadeInTanzania
For the past 2 months, I have been working on something new: a platform built for anyone who values their time and wants to automate the manual back-and-forth we've all just accepted as normal. And NO, this has nothing to do with AI. Wrapping up the final technical work now. Big announcement coming soon. ๐Ÿ™‚
8
28
65
4,005
MAKELELETECH retweeted
25
141
464
19,489
AI yenyewe ipo kwenye namna tunavyoijenga, tunavyoisimamia, na tunavyoiamua kuitumia. Kila teknolojia kubwa ilianza kwa hofu. Mtandao. Simu. Mashine. Leo AI. Swali si kama AI itabadilisha dunia. Swali ni, sisi tutabadilika vipi pamoja nayo? Unaonaje, AI ni tishio au ni fursa?
25
MAKELELETECH retweeted
Leo nimezindua rasmi eBook yangu mpya... THE INTERNET ATM Kitabu hiki kitakuonyesha jinsi ya kutengeneza mfumo wa kukuingizia kipato mtandaoni kwa kutumia ujuzi wako, content na AI, hata kama unaanza na mtaji mdogo. Hii si njia ya utajiri wa haraka. Ni blueprint ya kutengeneza asset inayoweza kukulipa tena na tena. Ukimaliza kukisoma, utaacha kuuliza " nipateje hela online?" na utaanza kujenga Internet ATM yako mwenyewe. Kwa uzinduzi, eBook hii ni Tsh 23,000 tu kwa watu 50 wa kwanza. Baada ya hapo bei itapanda hadi Tsh 30,000. Watu wengi wanatumia internet kutumia pesa. Wachache wanaitumia kutengeneza pesa. Swali ni moja tu... Wewe utakuwa upande gani? Pata copy yako hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ shorturl.at/AMVl9
1
7
20
1,461
MAKELELETECH retweeted
Leo nataka niwape somo moja ambalo limebadili namna ninavyo ziona fursa. Watu wengi wanaamini fursa nzuri huwa zinakufuata. Lakini ukweli si hivyo, mara nyingi ni wewe unatakiwa uzifuate. "Fursa ni kama embe, wakati wewe unalisubiri liive lidondoke, wengine wanalifuata mtini likiwa bichi na wanalila kwa chumvi." ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
Made with AI
1
5
15
855
Vitabu vitaongeza thamani kwenye chochote kile, ambacho utawekeza muda kujifunza.
18
MAKELELETECH retweeted
Tarehe 22 Mei 2026, niliweka post hapa nikiuliza kama kuna mtu ana MikroTik router ambayo ningeweza kuazima. Sikutaka kununua โ€” nilitaka kuazima tu. It was for our final year project, Ndio hivyo hii project ilianza. Leo, it's a working WiFi Billing System, na ni Final Year Project yetu pale @udomtheofficial. Inafanya nini: Huu mfumo unageuza MikroTik router yoyote kuwa self-service WiFi business โ€” customer analipa kwa mobile money, anaingia online mwenyewe, na mwenye biashara anaona kila kitu kwenye dashboard moja. Mteja anajiungaje: kuna njia mbili za mteja kuingia. 1. Customer anaconnect, anapelekwa kwenye captive portal, anachagua package, analipa na M-Pesa / Airtel Money / Tigo Pesa / Halo Pesa, anapata mtandao ndani ya sekunde. Hakuna anayemhudumia. 2. Mwenye biashara anagenerate batch ya vouchers, anaziprint, anauza pale counter kwa wanaokuja na cash. Njia yoyote ile, voucher code inatengenezwa na system, inafuatiliwa na system, na inaexpire yenyewe. Na taarifa zote zinaishia kwenye dashboard moja: nani yuko online, voucher zipi zimetumika, zipi bado hazijauzwa, na kiasi gani kimeingia leo. The architecture: hapa tumetumia MikroTik hAP lite inayotumia RouterOS kama hotspot gateway โ€” hii router ni low entry, lakini tulinunua tulichoweza kumudu. On the backend: Node.js inayoshughulikia vouchers, sessions, and reconciliation with the router + a MYSQL database. Payment integration tumetumia Snippe (inamilikiwa na @NeuroTech_HQ ), ime-act kama payment layer ya mobile money na cards. Ugumu wa hii project: sehemu kubwa ya hii project haikuwa coding. Ilikuwa networking, issues kama subnet mismatch iliyokuwa cancel kila request kimya kimya kwa siku 4 mfululizo. Issues za firewall rules zilizofanya kazi kwenye router moja na kuvurugika kwenye nyingine. Issue nyingi zilikuwa networking. Dashboard ilichukua siku kadhaa. Lakini networking ilichukua wiki kadhaa. Shukrani kubwa kwa Joe (@tzniceguy) โ€” router unayoiona kwenye hizi picha ipo kwa sababu yake. Asante sana. (tzniceguy.vercel.app) Na kwa team iliyojenga hii pamoja nami: @Jovination_ , Plensia Lukosi, Pili Sona, na Juma Mzingwa. Tulipitia mengi. Kama una hoteli, hostel, cafรฉ, apartment block au ISP ndogo na bado unauza internet kwa vocha za karatasi na WhatsApp group โ€” hii ndio alternative yako. Lakini kitu ambacho sikutegemea kukigundua nikiwa nai-develop hii project: hii system sio product ya hoteli tu. Ni ya mahali popote watu wanakaa na wanapo wanasubiri. Stendi. SGR. Hospitali. Library. Banking halls. Lodge. Popote penye foleni, au watu wanapo kaa kuna watu wako tayari kutoa elfu moja bila kusita ili wa-enjoy wakati wana subiri โ€” na kuna mwenye jengo ambaye hakusanyi hata shilingi moja kati ya hizo na anatoa WiFi ya bure. Waiting time ndio kitu pekee kila sehemu inauza bure. Kama hilo ni jengo lako, let's talk. Natengeneza vitu kama hivi. DMs wazi. ๐Ÿ“ฉ Checki Kazi zangu nyingine: patrickpaul.co.tz Req->Repost ๐Ÿงต @0x0256 @99Zaburi @ShijaDenis @EsirEid @anon_codex @gabyconscious @Issa_Ally_Mdoe @revaycolizer @DadyUtenga @TOTTechs @NjiwaFLow @kimjisena @mafolebaraka @makeleletech @Kibali02 @ankkala @salymdev @Neville983 @Abuumaryami_008 @j_kalebu @iamdastani @gregootz_ @Lonerx_znz @elisha_bulalu
The ๐• hear me out. Tunafanya Final Year Project (FYP) ya Wifi Billing System... We are in search of a Mikrotik router. (hata ya kukodi) tutimize hiki kipengele. Help!
19
27
78
7,046
Numbers don't lie, Optimize your profile socialmedia zinakupa visibility kwa wateja kuliko website tengeneza systems zitakazo ongeza thamani ya Biashara yako.
1
1
2
151
The idea pekee does not justify the product.
2
30
Leo hii, kila kukicha unasikia wadukuzi this mara that, lakini hushtuki kama hutojifunza kwa yale yanayotokea, watu watajifunza kupitia wewe kwa kutojifunza.
1
20
Sextortion sio kitu kipya, ila ndio tishio kubwa zaidi kwa taifa la kesho.
25
Hakuna anejali kuhusu website yako, Biashara ina taka mauzo mengi zaidi.
24
CCTV camera zimekua nyingi sana lakini hakuna wa kukaa 24 hrs kuangalia footage, kiasi kwamba unakuja kubaki na memories badala ya ulinzi. AI monitoring system is coming ...
24
Mswali matano ambayo lazima ujiulize.
16
The world will call it luck. These walls know the truth. Uzuri aibu utaona ww tu.
20
Lengo halijabadilika ifikapo 2030 tunasimamisha Home Library ya nguvu. ๐Ÿ›๏ธ Kama unatafuta vitabu original na kwa bei nafuu, fanya kazi na @LeanersBookshop . Leo nimepokea vitabu vyangu, 5 in the shelf again.
1
21
MAKELELETECH retweeted
Looking For Talented, Mobile App Developers, there is a deal. ๐Ÿ’ผ DM if Interested ๐Ÿ“Œ Note: Do not send your CV, I am not interested in knowing you yet.... Send your work or portfolio of works... I am interested in what you can do.
12
1
9
513
Kujifunza Cybersecurity mtandaoni kuna changamoto moja kubwa: "Information Overload". Unaishia kupotea kwenye maelfu ya links za Google na YouTube hadi unakata tamaa. Lakini sasa kuna suluhisho la bure na Open-Source lililotengenezwa na mshkaji wangu: Naanzaje ๐Ÿ’ป๐Ÿ”ฅ
1
32
Hii platform inafanya nini? Inakupa Roadmap ya hatua kwa hatua. Inakusanya free courses & vitabu bora sehemu moja. Hakuna malipo wala subscriptions. Iwe wewe ni beginner au una basics, hii ndio starting point yako. Unataka link yake? Comment "NAANZAJE" nikutumie DM.
18