GOD CHOICE// Wafilipi 4:13 || @YoungAfricansSC 🇹🇿 & @ManCity

+255
Pinned Tweet
Replying to @ExMayorUbungo
12
50
251
37,395
Mungu atubariki harakati zetu Leo zikajipe 🤲
21
33
79
2,619
Mungu atubariki harakati zetu Leo zikajipe 🤲
19
35
67
1,113
AFUMU retweeted
Namshukuru MUNGU jumapili yangu nimeianza na hii VIDEO hakika watanzania wamefunguka VICHWA SIO MCHEZO. Mjomba anapiga PANAPOUMA KWA LUGHA NYEPESI SANAAAA. REPOST 200
45
449
1,984
74,610
Hakikisha chanzo cha furaha yako sio anguko la mwenzako kwenye maisha.
6
30
45
512
Umewahi kuwa kwenye hali ambayo kila ukikaribia jambo fulani unalo lipanga kila mara halitimii? Uliwezaje kutoka hapo na kwenda mbele?
55
57
539
27,969
Kijana wa Mkulima unaejitafuta. •Ishii uhalisia wa Maisha yako •Fanya kazi •Jipende •Usimuache MUNGU •Kuwa na Mahusiano ila Yasikupoteze Direction yako. •Saidia unapoweza •Ongeza Skills kila Baada ya miezi minne •Mambo unayoweza kuyaepuka kuyafanya yaepuke. •Future yako muachie aliekuleta Duniani.
3
27
106
4,117
Jifunze kuwa na subira, mafanikio ni mchakato.
10
38
171
4,002
HERE WE GO!
288
1,705
12,642
709,699
"Wapo tayari nchi ife, ili wao wabaki madarakani." Mhe. @HecheJohn
2
90
406
18,202
"Kama ninanufaika kisiasa Mwenyekiti @TunduALissu kuwa ndani na wao ndio wanamshikilia, wamuachie ili nikose hayo manufaa." Mhe. @HecheJohn
11
122
502
15,624
Katuni
12
56
712
29,200
Leo alfajiri barabara ya Morogoro-Iringa lori zimegongana hadi kuwaka moto. Mungu awatie nguvu sana
1
13
105
5,992
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
295
1,108
3,385
174,915
I think wanasiasa wote wa upinzani, wanaharakati wote na yoyote Tz ambae hana uhakika na usalama wake ni lazma watumie hii app inaitwa life360. Niliijua hii app kupitia crime show inaitwa 2020. Polisi hapa Marekani walimpata mtu aliemteka na kumuua msichana mdogo wa miaka 16 kwa kutumia hii app. Huyo msichana na rafiki zake close walijiunga na hii app wakawa wana trackiana, alipopotea wenzie wakawapa polisi data zake za kwenye hii app. Polisi wanatumia app kujua the exact moment and location aliyopotea. Mimi naitumia kuwa track watoto wangu 24/7. Kenzo haipendi hii app ila hana choice. Na pia naitumia kwa shemeji yenu kuni track. Hii app inatrack kila kona mtu anapoenda na it’s tuma allert kwa watu waliopo kwenye circle yako. Yani ukitekwa na simu kuzima inaonyesha kabisa ulitekewa eneo gani na simu ilizimiwa wapi na saa ngapi. Na simu ikitupwa pia inaonyesha iliyopita wapi na saa ngapi. Yani kwa kifupi ina track kila sehemu ulipokuwa simu nzima, kila barabara uliyopita, kila sehemu uliposimama mpaka dakika unatekwa inatuma alert kwa watu kwenye circle yako. Hata kama ulikuwa unatembea kwa miguu then ukapandishwa kwenye gari inaonyesha mpaka speed ya gari na mwelekeo wa gari inaonyesha. I wish Polepole au Mzee Kibao wangekuwa na hii app kwenye simu zao, tungejua kwa ushahidi usiopingika walichukulia saa ngapi na exact location waliyochukuliwa na mwelekeo walipoenda. Yani ikiwashwa tu inatuma alert. So muda ule wanakufosi utoe password hii app inaonyesha watu wako mahali ulipo na hata wakiifuta app kwenye simu yako ila tayari alert zimetumwa kwa watu wa circle yako. Hata ukipata ajali ya gari inatuma message kwa watu wako kuwa umepata ajali na eneo ulilopatia ajali. Narudia tena wanasiasa wooote wa upinzani na wanaharakati lazma uwe na hii app kwenye simu then add mtu mmoja au wawili unaowaamini ili lolote likikupata tunajua pa kuanzia. Kwa wazazi, kama unamtoto kaanza ku drive hii app inakwambia mtot anaendesha gari kwa speed gani na hata akigusa simu huku anaendesha inakutumia ujumbe. Jamani naomba tusisikie tena mtu katekwa Tanzania alafu hakuna mtu wake wa karibu wa kutupa hii tracking. Hii app ina save tracking record ya siku 30.
33
261
1,238
78,954
Habari za leo? Naomba unisaidie kupost huenda ndugu zake wakapatikana. Huyu dada yupo maeneo ya Ubungo, Tanesco karibu na kanisa la Gwajima. Mara nyingi ukienda mitaa hiyo utamkuta akiwa na mwanae wameketi hapo. Anaonekana ana changamoto ya afya ya akili. Hana chakula, anasaidiwa na wapita njia. Hana pa kulala analala barabarani. Hakuna anayejua historia yake vizuri maana hapendi kuzungumza. Hujikalia peke yake na ni kama mtu anayetafakari mambo mengi kichwani. Hatujui alipitia changamoto gani mpaka kuwa kwenye hali hiyo. Tunaomba utusaidie kupost huenda ndugu zake wapo mkoani lakini hawajui changamoto anayopitia ndugu yao huku DSM. Kwa yeyote anayemfahamu anaweza kuwasiliana nasi kwa nambari 0718057567 au 0714350556. Asante.! Naomba tujitahidi kushea hii post au kulike na kukoment Ili Facebook waipeleke mbali iweze kuwafikia wengi ndugu wapatikane. Aisee hizi changamoto hizi basi tu.
4
8
41
6,714
AFUMU retweeted
Nimekutana nayo fesbuk
36
26
290
26,060
0762344677
4
57
129
4,963
Katuni
219
642
4,321
114,490
💨 SAMSUNG BRAND NEW ▪️Samsung A06 (4+64) - 250,000 ▪️Samsung A06 (4+128) - 300,000 ▪️Samsung A07 (4+64) - 300,000 ▪️Samsung A07 (4+128) - 330,000 ▪️Samsung A16 (4+128) - 380,000 ▪️Samsung A17 4G (4+128) - 450,000 ▪️Samsung A17 4G (6+128) - 500,000 ▪️Samsung A17 4G (8+256) - 600,000 ▪️Samsung A17 5G (6+128) - 580,000 ▪️Samsung A17 5G (8+256) - 650,000 ▪️Samsung A26 5G (6+128) - 630,000 ▪️Samsung A26 5G (8+256) - 750,000 ▪️Samsung A36 5G (8+128) - 790,000 ▪️Samsung A36 5G (8+256) - 890,000 ▪️Samsung A56 5G (8+128) - 900,000 ▪️Samsung A56 5G (8+256) - 980,000 ▪️Samsung A56 5G (12+256) - 1.1M ▪️Samsung A37 5G (8+128) - 1.05M ▪️Samsung A37 5G (8+256) - 1.2M ▪️Samsung A57 5G (8+128) - 1.25M ▪️Samsung A57 5G (8+256) - 1.35M ▪️Samsung S25 (8+128) - 1.75m uk ▪️Samsung S25 (8+256) - 2m ▪️Samsung S25+ (12+256) - 2.3m ▪️Samsung S25 Ultra (12+256) - 2.63m ▪️Samsung S25 Ultra (12+512) - 2.95m ▪️Samsung S26 (8+256) - 2.4m ▪️Samsung S26+ (12+256) - 3m ▪️Samsung S26 Ultra (12+256) - 3.15m ▪️Samsung S26 Ultra (12+512) - 3.45m ▪️Samsung Fold 7 (12+256) - 3.9m 📍DAR: Tunatazamana na Geti la KKKT Kariakoo utapanda ngazi za njano Floor ya 1 utaingia ndani na kukunja kulia duka limeandikwa NJIWA STORE 📍MWANZA: Roundabout ya Samaki bango limeandikwa NJIWA STORE 📞 0745100757
2
31
47
6,541
Dogo amelelewa bhana🤝🤝🤝!!
Ọ̀gbẹni Tọm
15
57
422
17,863