Dalili za upungufu wa Vitamin D
* Uchovu usioelezeka
* Maumivu ya mwili (misuli na mifupa)
* Kupungua kwa hali ya furaha, (unexplainable low/sad mood, moodswings)
Je, unajua kwamba watu wenye ngozi ya Kiafrika hupungukiwa uwezo wa kunyonya miale ya jua inayotengeneza Vitamin D.