premium liquid soap products based in Arusha,We produce high-quality,long-lasting,gentle-on-hands liquid soap for homes, offices,schools &hotels.Bulk & retail

Arusha, Tanzania
Asanteni wote mnaosupport biashara yangu ,Haikua rahisi kufika hapa kusimamisha brand sio kitu kirahisi ,Naendelea kuomba order zenu bila nyie mimi si kitu 🙏🙏🙏❤️❤️Nawapenda
15
54
123
11,024
Fancy cleaning solution retweeted
Unatakiwa kuhakikisha mwanamke wako hahitaji kitu chochote kutoka kwa mwanaume mwingine.Hiyo ni kazi nyepesi tu,kazi ngumu ni kumpata mwanamke wa aina hiyo katika uchumi huu na dunia ya sasa. A beautiful relationship that's God given,it's very rare. Good morning fam.
69
86
141
1,445
Fancy cleaning solution retweeted
Babu yangu alisema mke hatakiwi kujua mali za mumewe akijua zinampa kiburi na ufahari kwa kuamini hata akifa ye ana mali akanambia jifunze kuendeleza familia sio mali
Ukiwa una miliki SHARES sehemu yoyote ile usimfiche mke wako na usiandike majina tofauti ili watu wasijue. Baadae lolote likitokea mbilinge zinakuwa nyingi sana
5
13
30
1,209
Fancy cleaning solution retweeted
Katika madktari nliokutana nao leo @amina_hafidh kajua kunihudumia haka katoto, kamenitoa uoga na kunipa huduma nzuri sana, Sikukosea kuchagua mkwe, Kazuri, Kanatako mwenywe, nianze kwenda hospital kwao ili awe ananilipia nauli kila siku 🙂‍↔️, Mgonjwa napenda mseleleko... 😂
15
10
79
22,629
Fancy cleaning solution retweeted
☕
3
7
38
2,009
Fancy cleaning solution retweeted
Quality material jeans 30-38 35,000 +255 694201676
13
14
1,266
Fancy cleaning solution retweeted
💼 *HP ELITEBOOK 830 G7* ▪ Intel Core i7 Processor ▪ 10th Generation ▪ Speed 1.80GHz Turbo Boost Up To 4.90GHz ⚡ ▪ RAM 8GB ▪ SSD 256GB ▪ 13.3” Display ▪ Non Touch Screen ▪ Backlit Keyboard ✨ ▪ Type-C Port & USB Ports ▪ Strong Battery Performance 🔋 ▪ Slim & Premium Design 💎 ✔ Suitable for Office Work ✔ Best for Students & Business Use ✔ Fast for Multitasking & Internet Browsing ✔ Clean UK Used Laptop 🇬🇧 price 920,000/= @⁨all⁩
5
5
130
Fancy cleaning solution retweeted
Napokea Oda Ya Kofia Ngumu Quality Kabisa Printed Na Details Zako✅ 15,000/= Nakupa Kofia Ngumu Printed 12,000/= Nakupa Reflector Nzito Yenye Mifuko Printed Oda ni kuanzia Reflector Na Kofia 5 ☎️ 0769063447 Sinza Makaburini 📍
1
12
14
261
Unaweza mtafutia mume au mke wako kazi??
4
11
30
584
Fancy cleaning solution retweeted
Quality 🔥🔥 Bei tsh110,000 Call/whatsp 0654 328893 Popote unatumiwa kwa uaminifu Karibu tukuhudumie😘.
2
30
34
435
Fancy cleaning solution retweeted
Nyumba ni furniture na furniture nzuri utapata kwetu NAHYA STORE Furniture nzuri zenye finishing mahiri Call/what's app 0710 398 946 Karibuni sana Ubungo msewe Delivery ipoo
5
67
83
1,583
Fancy cleaning solution retweeted
Happy day to me. Grateful for another year of life, growth, and blessings. 🥂🎂
47
52
98
3,382
Fancy cleaning solution retweeted
Vinicius Jr ??????
12
18
23
358
Fancy cleaning solution retweeted
Wanaume tumekubaliana mwisho wa kulipa mahari ni kitita cha shilingi ngapi nisizidishe hapa.
27
25
157
9,065
Fancy cleaning solution retweeted
Bado tunaendelea usiache kujiunga kama bado, Kuna machaguo mazuri na rahisi, wengine wameweka chimbo wanakula hela wewe unalalamika tu kama una mikosi usiache kujiungaa. #DBbet Huna account? Jisajili👇 Link 👉 bit.ly/45NSoZE 🌺Promocode Andika: MZUNGU
2
20
22
440
Fancy cleaning solution retweeted
Guys kuna hii TCL 43 Android TV imetumika 2 months bado ina box lake bado mpya haina kipengele kama unavyoiona inataka 470,000 tu Call/Whatsapp-0625965198
2
31
64
3,797
Fancy cleaning solution retweeted
Tofauti ya Ordinary Diploma na Diploma ni ipi ? 🤔
20
19
229
25,811
Fancy cleaning solution retweeted
Kuna dogo kamchoma visu mpenzi wake huko Gongo la mboto binti kavuta shuka. Binti huyu alikuwa anasoma udaktari Kampala university huyu dogo aliua ni pharmacist amemaliza mwaka jana. Hii trend ya kuuana kwa sababu ya mapenzi sijui imetoka wapi🙁
25
45
449
19,010
Fancy cleaning solution retweeted
Huu ni msimu wa mvua , hakikisha viatu vyako haviharibiki ukivaa hizi rainy shoecover boots, ni water proof unaweza beba kwenye bag ukatembea nazo Price-30,000 Waiting days -12 days max 0745221288
3
19
18
431
Fancy cleaning solution retweeted
Naomba Repost Yako 🙏🥰 ⌚saa bleclet zake za wadada Tsh.15000 ☎0752777167 📍Mwananyamala popote Tanzania tunatuma
4
52
58
1,259
Fancy cleaning solution retweeted
karibu Sana JI PRINTING SOLUTIONS✨ Branded Travel Mugs ✅ Branded Water Bottle ✅ #SeedCo 📍 Arusha ☎️ 0685294460 🚛 Tunafanya Delivery Pia #PrintYourBrand
3
4
39