Sneakers white zinafaa kusafishwa kwa toothpaste na brashi.
Eh, toothpaste ile unayotumia kusugulia meno, yani dawa ya mswaki.
Usitumie bleach au ile inaitwa dye.
inaharibu rangi.
100,000 Tsh
Sep 24, 2026 · 4:17 PM UTC
1
3
185




