Sema ndugu hiti unavuotaka kilinganisha.... Ama anyway basi
Makundi kama Kool & The Gang ama De La Soul wamefanya ngoma 80s & 90s na mangoma yao yanapatikana kwenye Kila digital streaming platform.
Hapa kwetu Kuna watu kama GWM ama Weusi Wagumu Asilia Kupata ngoma zao mpaka upambane sana.
Bongo Flava has a long way ahead.