Maisha yangu ni Rahisi sana..
Ukiongea na Mimi, nitaongea nawe
Ukinyamaza nami nanyamaza pia, tunakutana status
Ukiangalia yangu nami naangalia yako
Energy ileile, Hakuna stress
Nimejifunza kuwekeza Nguvu zangu Mahali ambapo kuna mawasiliano yenye Afya, Heshima na kuthaminiana.