Allah is great CEO NISHIKE MKONO FOUNDATION.

Quen of Arsenal
Hii ni project yangu mpya kabisa Inaitwa NISHIKE MKONO ambayo nimewashika yatima na waishio kwenye mazingira magumu. Lengo kuu kabisa ni kuweza kunyanyua vipaji vyao na kutimiza ndoto zao natumaini tutakuwa pamoja katika kutimiza ndoto zao retweet ili tupigane kwa pamoja🙏💕
301
503
1,123
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Aluta continua hapa inapigika vilivyo ingredients ni zote zote 😂😭
21
54
77
958
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Boda :Hii serikali yetu hii Mimi:ukihitaji kunyoa nicheki kaka
6
11
34
466
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Wakali wa location hapa ni wapi ?
1
6
10
199
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Nyie wenyewe mmeshindwa kutunza siri zenu mnataka sisi bodaboda tuwatunzie
Mnaapowapa boda boda siri zenu kuweni makini maana wakikaa masikani wanahadithiana.
2
1
7
212
JE, MWANAUME ANAWEZA KUKAMATWA KWA KUFANYA MAPENZI NA MKE WA MWANAUME MWINGINE? NAMAANISHA UNAWEZA KUKATIWA RB KISA MKE WA MTU!?? 😎🤔
4
12
43
1,723
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Ukiwa na moyo mzuri usiwe mjinga Wema ni tabia nzuri lakini kuweka mipaka ni hekima ✍️✍️✍️
5
18
32
419
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Baada ya takribani miezi miwili leo nitafanikiwa kula mchana hii ni kutokana na maelezo ya Daktari.
4
13
22
304
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Ndugu na marafiki zetu mara nyingi huwa na matarajio fulani kuhusu kiwango cha mafanikio yetu. Unapovuka kiwango hicho, ghafla mafanikio yako huanza kuwa kero kwao.
1
6
53
709
Mnaapowapa boda boda siri zenu kuweni makini maana wakikaa masikani wanahadithiana.
9
15
23
530
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Ni siku nyingine ya kumshukuru Mungu kwa zawadi hii ya uhai. Tuna nafasi ya kubadilisha mambo. Good morning wasakatonge wenzangu
17
32
38
453
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Maandamano ya ufaransa Kuna majanja wanaruka judo kinoma🙌🥷police nahisi watakuwa wanajuta 😂😂
9
18
60
861
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Maisha Yanatawaliwa Na Kanuni Zote Mbili, Za Kiroho Na Za Kimwili. 🌟🙏✨ Kanuni Ya Kiroho Ni Kuwa Na Imani Kwa Kile Unachokifanya Kitafanikiwa. Kanuni Ya Kimwili Ni Kufanya Kila Jambo Kwa Juhudi Zako Zote. Good Morning XUSER.
18
41
55
600
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Hamna kitu kibaya kama kuwa mrefu halafu usiwe na hela, bora nyie wafupi mnaonekana watoto 😂😂😂
17
33
58
733
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Busara haipimwi Kwa sura wala muonekano bali Matendo ambayo husadifu moyo wa Mtu. ~Wazee wa Sumbawanga✍️
12
27
38
476
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Ukubali au ukatae - kama ulimkataa hakikisha hutorudisha moyo nyuma kumruhusu arudi kwako tena - hata afanye nini. Ukimrudisha utakua umefikisha point 75 za kuangushwa, maana hapo harudi kama digidigi hapo atarudi kama nyati aliyejeruhiwa. Sababu kubwa huwa wanarudi na visasi.
14
41
59
1,124
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Kwenye maisha ukipata mtu ambae akikosea unamuelekeza kuwa hili ni kosa na baadae anakiri kuwa ni kosa na anaomba msamaha tambua umefanikiwa kuwa na mtu. Good morning X Familia 👊🏾
36
48
111
1,267
Léo nimeumia sana kuna mzee mmoja kakutwa anamla mate mtoto wa kiume huku anampapasa maziwa😥
5
7
15
294
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
TRUE STORI 😂😂😂 Kuna washikaji walikuwa wanaishi watatu bana katika Getto moja. Wawili walikuwa ni walevi, kasoro mmoja tu. Siku moja, mmoja alilewa bana, usiku mida kama ya saa saba hivi, jamaa aliyelewa akashtuka.👇🏿
14
19
90
11,166
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Ni vile tuu vijana wengi wana mentality ya kutojenga maisha na wanawake ambao tayari wana mtoto. Ila wengi wao wameshaonja joto ya jiwe, wamejua maisha, wamejua struggle, kama wanapata mtu wa kusaidiana naye maisha, wengi wapo tayari kwa unyenyekevu mkubwa. Hii nimewaibia mahali.
44
28
134
5,046
shangazi wa wapwa💫🌺 retweeted
Mwanaume mpumbafu ni yule anaekasirika pindi tu mke wake anapokataza ndugu wa mume wasifike nyumbani kwake.
12
30
67
1,334