❤️🦅🌏✈️✈️

Burundi Bujumbura 🇧🇮
Naomba kuongea na mwanangu hata kama wewe haunitaki ila hiyo ni damu yangu 😂😂😂
37
53
360
19,772
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Kabla hujafanya maamuzi ya kuoa waza kwa jacho la tatu la uchumi kwanza..😎
6
3
23
452
Nikiwa ninajaribu kushikilia maisha yangu yasiporomoke😂😂😂
5
15
258
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Mzeee mzima ana niambia me bado mdogo sana kuchoshwa na maisha nimemjibu we mbona mkubwa sana kwa kuendelea kuishi kifo hukioni ety anafoka .🚮
6
17
26
284
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
🚨EXCL: Jina la kocha wa zaman wa simba Fadru Davis linatajwa kama mbadala wa kocha wa yanga manqoba mngqith Manqoba amekalia kuti kavu ndani ya club ya yanga kwani hadi sasa anahesabiwa mechi tu Wanayanga mjiandae kumpokea mwanafainali wa kombe la shirikisho akiwa na simba
1
5
7
234
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Mnaapowapa boda boda siri zenu kuweni makini maana wakikaa masikani wanahadithiana.
7
9
13
314
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Usiaaminii ya mitandaooniii🎶 Unaemuona Kanona kumbe Yuko hoii🎶 Jiji oooh jijiii🎶🎶 Ukiendekeza tamaa utaolewaaa🎶🎶
5
6
17
369
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Kwahiyo sisi vipaumbele vyetu sio huduma bora za afya, elimu, miundombinu, utalii na uwekezaji wenye tija. Vipaumbele ni michezo na utamaduni. Ndio maana tunanunua magoli kwa pesa nyingi na sio kujenga madarasa na kuwapatia wanafunzi mazingira bora ya kupata elimu 🤔
3
11
20
293
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Hakuna kazi ngumu kama kuamini kua simba ni moja ya vilabu vikubwa baran afrika Ushindi walioupata dhid ya yanga imekua kero kana kwamba ndio mara ya kwanza wanaifunga YANGA Azam msimu jana kaigunga yanga TRA msimu jana kaifunga yanga Hawakueka bango lolote Simba wajitathimin
7
8
10
1,204
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Kwani Marioo Kaachwa 🤣🤣
9
22
34
519
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Ni kitu gani unatamani kukiacha ila ndio hivyo unajikuta unazidi kukifanya kila kukicha.
2
10
21
367
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Hakuna kitu kinaharibu Baraka na neema zako vibaya kama UVIVU,utakufanya uwachukie hata watu wanaokuja kama baraka maishani Mwako.
1
7
14
246
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Ugomvi wote matusi yote ila matusi kwa wazazi ukinitusi nakushusha vyeo vyote.
3
5
11
207
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Kuna Mtu Kaview Profile Yangu Mara Nne au Kuna lihusiano Nishalivamia Nini…!!😂😂
5
8
29
428
Ukiwa na moyo mzuri usiwe mjinga Wema ni tabia nzuri lakini kuweka mipaka ni hekima ✍️✍️✍️
4
14
24
309
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Nakuomba namba unanipa fresh kabisa - nakuomba nachohitaji unanambia wewe ni kama dada yangu sasa namba ulinipa yanini?. Sasa kama umenikataa siuseme moja kwa moja sio unazunguka tu mara dogo. Utoto huu! Dadeq.
12
18
31
532
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Ukiwa kwenye utafutaji kipi bora, kununua chakula restaurant au kujipikia ngwea?
1
4
8
63
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Unakutana na tweet ya pro hapa imekula uzi wakushiba unavutiwa na IQ yake na kuanza kumuheshimu ,Then unaitazama kwa makini unagundua ni (Rt)🤣inatia huzuni sana.
3
7
9
267
Trevor Placide🇧🇮 retweeted
Women Get Horny When: 1. Ovulating. 2. When you smell good. 3. After a deep conversation. 4. About to start their period. 5. When they actually like you. 6. When they feel emotionally safe. 7. You hold eye contact a little longer. 8. You pull her close with confidence. 9. After spending quality time with you. 10. When they admire your arms/hands/veins. 11. When they like the way your voice sounds. 12. You kiss her forehead, then look into her eyes.
10
14
32
705
JE, MWANAUME ANAWEZA KUKAMATWA KWA KUFANYA MAPENZI NA MKE WA MWANAUME MWINGINE? NAMAANISHA UNAWEZA KUKATIWA RB KISA MKE WA MTU!?? 😎🤔
3
12
34
1,329