Yule jamaa wa “creativity behind my post” ana cha kujifunza kwa mr apa na hii Ndio creativity kwakua watu wengi wanapenda mpira weka picha ya mchezaji then shusha uzi wako binafsi Mm huwa nasoma izi tweets za story kwa kuvutiwa na picha 🙏🙏🙏appreciation
-Mwanamke anapata siti kwenye daladala za mbezi-Mbagala
-Mwanamke anafuatilia WWE
-Mwanamke anamjua mchezaji mwenye jezi No 7 wa PSG
-Mwanamke ni shabiki wa Boxing
-Hana allege ya vyakula
-kaukalili wimbo wa LIBASE MOTO
-ana apps za betting
halafu wewe unaoa
JITATHIMINI
Rwanda 🇷🇼 hawana viwanda
Rwanda 🇷🇼 hawana bandari
Rwanda 🇷🇼 hawana vituo vya utalii
Rwanda 🇷🇼 hawana madini
Rwanda 🇷🇼 hawana mafuta
Rwanda 🇷🇼 hata biashara si nchi inayofanya sana biashara
Hivi hawa Rwanda uchimi wao huwa unakua kua vipi? Yaani hela wanatoaga wapi?
Msimu wa Cristiano Ronaldo wa 2007/08 akiwa na Manchester United unakimbiza vibaya sana kwenye kura rasmi za B.O.A.T
(Msimu Bora wa Ballon d’Or wa Muda Wote)! 🔥
CR7 anaongoza kwa asilimia 62% dhidi ya magwiji 10 wa soka duniani.
Yupo mbele ya Messi, Ronaldo Nazário na wengine kibao.
Watu wanaweza kusema wanachotaka, lakini ule msimu wa 2007/08 ulikuwa wa maajabu.
Ni msimu uliouonyesha ulimwengu ukubwa wa CR7.
Huo ndio msimu bora zaidi wa Ballon d’Or kuwahi kutokea duniani!
HAZUILIKI KABISA CR7 NDIYE MPIRA WENYEWE! 🐐
Nakubari Kuwa Wewe Una Pesa Lakini Huna Mission Wala Vision Ya Kufanya Uongeze Kipato Chako, Na Mimi Sina Pesa Lakini Nina Mission Na Vision Ya Kukufanya Wewe Upate Pesa Zaidi.
Jamani Mentors Kwenye Biashara Zetu Ni Watu Wa Muhimu Sana Yani.
🚨OKELLO AMETOA YA MOYONI KUHUSU KUTOLEWA YANGA:
“Ni jambo la kushangaza ni kweli akuna atakaye cheza Yanga milele ila Azizi ki nimemzidi vitu vingi sana japo watu wanasema nilikuwa sina nguvu wamesahau mimi Ndio namchango mkubwa msimu uliopita.”
Timu imeshinda 4-0 watu bado wanatoka mapovu, eti timu haichez
Jamani
hivi mnajua maana ya MTOWANO?
MTOWANO haijalishi umechezaje watu wanataka total goals ili wasonge mbele
Wanaolaumu ni wale wenye tabia ya kupenda muandiko mzuri wakati huo huenda kilichoandikwa hakina maana
Unakutana na mtu asubuhi hii umetoka kusinzia, mnasalimiana halafu anakwambia "poleni na kazi" 😁😁😁
Sasa ndugu yangu kazi gani nimefanya usiku huo. Unafikiri kila aliyeoa anakazi wengine wanaratiba kwa wiki mara moja 😁
Mnamfahamu Sani Abacha mmewahi kumsikia Alikuwa Raisi wa Nigeria 🇳🇬
Mwamba alifia geust na pisi alikuwa anachakata mbususu 😅
Legend wetu apumzike salama
-Mwanamke anapata siti kwenye daladala za mbezi-Mbagala
-Mwanamke anafuatilia WWE
-Mwanamke anamjua mchezaji mwenye jezi No 7 wa PSG
-Mwanamke ni shabiki wa Boxing
-Hana allege ya vyakula
-kaukalili wimbo wa LIBASE MOTO
-ana apps za betting
halafu wewe unaoa
JITATHIMINI
🎂Happy Birthday to me!Thank You, God, for the gift of life and another beautiful year. May this new chapter bring me happiness, peace and love, and endless blessings. ✨👑