The higher you go the cooler it becomes, Geopolitics News /FOOTBALL/ Fan account

New York, USA
Pinned Tweet
Kwanini kila post ya Jeshi letu la JWTZ inakuwa na comments mbaya sana ni Jeshi limepoteza mvuto kwa jamii au shinda ni nini
2
5
18
514
Vunga retweeted
Tunapigwa 4 mpaka na wachimba chumvi Carrick atupishe tu, ni legend wa timu na tulitamani afanye vizuri ila kwa hapa inatosha.
10
7
25
415
Vunga retweeted
馃毃VIONGOZI WETU SISI YANGA WANAMIHEMKO: Wezetu amesajili Dombia anagoli hizo 鉁岎煆綜AF wakati sisi wetu ana ndevu za rangi rangi
4
12
71
1,595
Hii migoli ya doumbia niyakuombea mkopo bank kabisa馃槀馃槀馃檶馃従
3
10
13
179
Vunga retweeted
Kwa sasa PSG ndio wana safu bora ya kiungo... PSG ndio wana kiungo namba 2 kwa ubora duniani, namba 1 ni Jude Bellingham... PSG wanae D茅sir茅 Dou茅 ambaye hapewi heshima anayostahili kwa sababu hayupo kwenye timu zenu. Hivi tukisema kipimo cha PSG kwa sasa kwenye usiku wa Ulaya ni PSG yenyewe, tunakosea? Huenda PSG hawakuwatendea vyema mashabiki wa Barcelona, wametoa kipigo kidogo, coz wao wanasema hii haijawauma... The Special One yupo tu anawasubiri. Kama kuna namna mnaweza kuikimbia mechi, fanyeni leo, Jumapili itakuwa siku mbaya sana kwenu. Niite mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya, kutokea Madrid. Kwangu kuwaona Blaugrana wana furaha ni haramu kama zilivyo haramu nyingine. HALA MADRID! 馃
2
6
15
501
Vunga retweeted
"DOUMBIA kufunga goli leo nimefurahi sana,amekuja kwenye club yenye presha kubwa lakin bado amekubali kuibeba bado ni kijana mdogo anaendelea kujifunza" Steve barker Kocha mkuu wa club ya simba
13
45
614
Vunga retweeted
Leo simba ni furaha tu kwa striker wetu DOUMBIA馃榿
1
7
9
402
Vunga retweeted
WATU WATA IPITA HII KWASABABU HAINA VIDEO NA PICHA ZA NGONO. SIKU NIKIFANIKIWA KUWA RAIS WA HII NCHI. Nitahakikisha narudisha madarasa yale saba au na zaidi ya shule ya msingi. 1. Darasa la awali (Chekechea) linakuwa ni darasa la kugundua kipaji cha mtoto kama ilivyosasa. 馃憞馃徔
4
16
20
380
Vunga retweeted
Kusex ni kosa kubwa sana kuliko kuua?. Adam na Eva walisex kabla hawajaruhusiwa Mungu aliwafukuza kwenye utukufu hakuwaua inakuwaje binadam aliyeumbwa na Mungu anaua anahukumu ili hali yeye mwenyewe si mkamilifu?.
7
10
21
799
Vunga retweeted
Asante sana Azam Kwa kutupa Cancelo Chilambo
3
31
438
Vunga retweeted
Kuna dogo hapa ananambia kapangwa chuo cha UTI. Hiki ni chuo gani kwani na kinahusika na nini? Au dogo ananipanga tu.馃榿
3
10
14
306
Vunga retweeted
Shabiki mwenzangu wa Commo, unaisubiri game yetu na manyumbu ukiwa wapi?馃槀
2
8
11
267
Vunga retweeted
Kuna furaha ambazo huwezi kuzielewa mpaka Uwe na masela wa kweli.. Ndiyo maana goli la Doumbia limewagusa masela wengi kuliko unavyoweza kufikiria. Kuna mwanaume anayeangalia mpira huku akijua kesho anatakiwa kutafuta hela ya kodi. Kuna mwingine anawaza ada ya mdogo wake, kuna anayepambana ili mama yake apumzike na maisha ya shida. Kwa watu hawa, mafanikio ya msela mwingine yana maana kubwa. Unapomwona mwanaume akishangilia goli la Doumbia kwa nguvu zote, usihukumu kwa kile unachokiona. Huenda huyo ni mtu ambaye maisha yamemfundisha kwamba furaha ya mwenzake inaweza kumpa nguvu ya kuendelea na safari yake. Maisha ya wanaume yana vita ambazo mara nyingi hazisimuliwi. Tunatoka kutafuta, tunarudi na kile tulichopata, na tukikosa tunajificha na maumivu yetu ili watu wa nyumbani wasikose matumaini. Leo Doumbia amefunga, lakini huenda kuna mwanaume mahali fulani amepata sababu nyingine ya kuamini kwamba mapambano yake bado yana maana. Mwanaume mwenzangu, usiombe mwenzako azame. Dunia tayari ina ugumu wa kutosha tusigeuzane maadui wakati kila mmoja anapambana na maisha yake. Kama umewahi kubeba majukumu ya nyumbani ukiwa mbali na watu wako, basi unaelewa kwa nini hili goli si suala la mpira pekee. Masela wa hustle, leo ni zamu yenu kuongea. Doumbia alipofunga, ni kitu gani kilipita kichwani mwako mwanangu?
3
17
94
3,525
Bao lililokuwa linasubiriwa na mamilioni ya watu limefika 馃ぉ Ibrahim Doumbiaaaaaaaaaaaaa 馃檶 #TotalEnergiesCAFCL #NguvuMoja
7
18
336
7,102
RT @vistovic17: Bila malezi mabovu tusingeona
21
8
Weka code yako ya mkeka wako wa Leo wa sportsbet tupite nao
1
4
221
Vunga retweeted
Ukiwa huna hela unaonekana hujui mapenzi! 馃挃馃檨
9
20
47
695
Vunga retweeted
Kwanini kila post ya Jeshi letu la JWTZ inakuwa na comments mbaya sana ni Jeshi limepoteza mvuto kwa jamii au shinda ni nini
2
5
18
514