Kumbe Biashara Ya Spare Za Pikipiki Inafaida Kubwa Namna Hii, Mtaji Wa 1Milion Unatoboa Vizuri Tuuuh TAMISEMI Nawapa Miaka 2 Hamtoniona Tena Bakini Na Maposho Yene Ya Semina.
31
42
465
28,282
The Gammar retweeted
Mke wangu ndio kama nilivyokuambia nawahi mechi ya Barcelona.
2
14
27
520
The Gammar retweeted
Watu wa katavi,mara na kigoma kwenye habari za DW radio saa Saba na kutuma ujumbe !!😁😁
10
19
39
525
The Gammar retweeted
Wengine anawapa fresh ila ikifika zamu yako anataka umuoe😂😂😂
93
97
752
35,880
The Gammar retweeted
Garage watu wanapiga hela kwa kutoa kilichopo ndani ya exhaust ya gari hasa gari ndogo we utabaki kulalamika gari yangu haina nguvu kupanda mlima au mlio wa gari yangu umebadilika kumbe fundi garage anajua alichokifanya.
19
32
168
6,648
The Gammar retweeted
If East Africa were to be one United Republic, then Ruto deseeves to be the president
21
16
93
2,427
The Gammar retweeted
Kwa sasa video zinazotrend ni za wanawake wakiwa wamevaa vijora bila nguo zandani wanakata mauno mno tena wanapitisha mkono katikati kusokomezea kijora katikati ya mapanga mawili yatengane kabisa. Kwani imeruhusiwa kwa sasa au ndio kujiamulia mambo?
14
26
50
1,403
The Gammar retweeted
Mpambanaji, mafanikio halisi hayapimwi kwa kulinganisha mafanikio yako na ya mwingine bali kwa maendeleo unayoyafanya wewe mwenyewe. Badala ya kushindana na wengine angalia ulitoka wapi na unaelekea wapi. Kujilinganisha na wengine ni kujiibia furaha yako.
9
29
68
972
The Gammar retweeted
Kesi ishakuwa ngumu hii😂💔..
2
7
44
853
The Gammar retweeted
Mtaani pagumu sana yaani saiv ukimtongoza mwanamke na ukamwambia umeoa hawezi kataa.Jichanganye useme upo single.
5
17
90
2,091
The Gammar retweeted
Ujue mkulima wine unaweza kuinywa hata asubuhi na ukafanya majukumu yako ya kazi vyede kabisa😁🙏🏾
5
12
32
693
The Gammar retweeted
King Parazo kimasikhara sikhara ataanza kula mpaka show kwa nyimbo zisio zake😂😂😂 Nimeona Throne pale crowns tv akitambulisha wimbo ambao sio wake😂😂 Na lijamaa linavibe nalo kama limeimba lenyewe😂😂🙌🏾 King Parazo Shikamoo😂😂🙌🏾
4
28
669
The Gammar retweeted
Tattoo ya asali Hatia V Hatia IV Kesho Wimbo usio Bora Confession of mad son Confession of Mad man Shahidi Money Tribulation Best friend Kibabu na binti Ndoano Kikaoni Siku nikifa Kanisa Achia Jala Kifo The lost one Nyumba ndogo Mwanajua A Muscular feminist Almasi Yule Yule Tega sikio
10
11
98
5,024
The Gammar retweeted
Hello @elonmusk I'm Mreno255 from Tanzania . My goal is to reach 10K followers on X. What advice would you give me to grow my audience organically? Kindly reply 🙏🏿
6
9
18
424
The Gammar retweeted
Kila kitu kinaanza ndani yako,Ni wewe kuamua kuiendesha nje yako.
9
13
270
⤵️Kumekuchaaaaaa 😁😁😁
10
58
673
Naomba Repost🙏 #VIATU BORA🔥🛍️ ✅Size 40/41/42/43/44/45 ✅Bei 100,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo
1
23
27
248
“Paris itaenda kuwa Jiji la Kiislamu hivi punde tu na nilimwambia Rais wao Macron kwamba anapaswa kufunga mipaka yake, nilimshauri Macron kuwa anafanya makosa makubwa sana kuwakaribisha hao.” — Donald Trump, Rais wa Marekani
7
4
47
2,039
The Gammar retweeted
Jamaa anasema ameamka mapema akafanya kazi anazofanya mkewe akitegemea mkewe akiamka atampongeza,ajabu ni kua mke wake alivyoamka amebaki kumulaumu mshikaji kwanini ameosha vyomba hajavifuta na kuweka kabatini kama yeye anavyofanya. Pia ameambiwa leo asiende kuangalia UEFA autumie huo muda kuosha vyombo ili kesho asiwe na kazi nyingi asubuhi.
3
15
24
416
Mimi siyo mwenye roho mbaya ila nikikukopesha hela na ukapotea hata nikikuona nitajifanya nimekosea njia!😂😂😂
4
11
27
565
The Gammar retweeted
Hivi ukianza kutumia dawa za presha kuna time inafika unaacha au unakunywa maisha yako yote.
11
15
78
3,554