Aniceth Allina retweeted
“Usi-Like Tu… Changia!” Kushare post ni vizuri. Kulike ni vizuri. Lakini harakati zinahitaji mafuta. Ukiweza toa chochote. Buku yako na jero yake na buku mbili zangu , leo inaweza kufanya kesho iwe tofauti. M-PESA: CHADEMA HQ – 0744446969 NMB: 22606600140 #ToaChako #SioKiasiNiMoyo
7
82
347
2,553
Aniceth Allina retweeted
“Usisubiri Mkombozi, Kuwa Sehemu ya Suluhisho.” Kama unaamini Tanzania inaweza kuwa bora zaidi, usiishie kulalamika. Changia uwezo wako ili kujenga chama kinachosimamia sauti ya wananchi. Mabadiliko huanza na wewe. M-PESA: CHADEMA HQ - 0744446969 CHADEMA NMB: 22606600140
2
45
176
1,659
Aniceth Allina retweeted
“Kila Shilingi ni Kura ya Kuamini Mabadiliko.” Unapochangia, hauchangii fedha tu; unawekeza kwenye maono ya Tanzania unayotaka kuiona kesho. M-PESA: CHADEMA HQ - 0744446969 CHADEMA NMB: 22606600140
1
47
203
1,655
Aniceth Allina retweeted
Utasikia, “Mheshimiwa, tuko pamoja” Kama maneno haya yangekuwa vitendo, CHADEMA ingekusanya Bilioni 1 ndani ya masaa 12. Bilioni 1 ni watu 500,000 wakitoa Sh 2,000 kila mmoja; watu 100,000 wakitoa Sh 10,000 kila mmoja; au watu 100 tu wakitoa Sh Milioni 1 kila mmoja. Tusiruhusu maadui zetu watucheke. Tusimame kwa vitendo, si kwa maneno pekee. Tukiamua, tunaweza kukusanya hata Bilioni 10 ndani ya wiki moja. Impossible is Nothing. M-PESA: CHADEMA HQ – 0744 446 969 CHADEMA NMB: 22606600140
72
253
1,314
45,926
Aniceth Allina retweeted
Chama Chetu, Wajibu Wetu.” Mabadiliko hayajengwi na mtu mmoja; yanajengwa na wananchi. Kila mchango wako, mkubwa au mdogo, ni sehemu ya kujenga CHADEMA imara na huru. Chama chetu, wajibu wetu. M-PESA: CHADEMA HQ - 0744446969 CHADEMA NMB: 22606600140
4
68
366
4,452
Aniceth Allina retweeted
Vijana ndiyo nguvu ya taifa. Tusisubiri wengine wajenge harakati tunazoziamini. Tuchangie kwa hiari, kwa uwazi na kwa uwezo wa kila mmoja. Kila shilingi ni hatua ya kujenga chama imara kinachowajibika kwa wanachama na wananchi. #ChamaChetuWajibuWetu #NguvuYaWananchi M-PESA: CHADEMA HQ - 0744446969 CHADEMA NMB: 22606600140
5
41
192
2,204
Aniceth Allina retweeted
“Mchango Wako, Sauti Yako.” Ukichangia, unakuwa sehemu ya safari ya kujenga demokrasia, uwajibikaji na Tanzania yenye fursa kwa wote. Mchango wako ni sauti yako. M-PESA: CHADEMA HQ - 0744446969 CHADEMA NMB: 22606600140
4
48
194
2,033
Aniceth Allina retweeted
“Nguvu ya CHADEMA ni Wananchi.” CHADEMA haiendeshwi na mfadhili mmoja; inaendeshwa na nguvu ya wananchi. Elfu moja yako, elfu mbili yake, zikikutana zinajenga harakati kubwa. M-PESA: CHADEMA HQ - 0744446969 CHADEMA NMB: 22606600140
8
109
520
16,887
Aniceth Allina retweeted
1
1
67
Aniceth Allina retweeted
Picha hii inastahili REPOST 500 kama salamu kwa mzee wetu TUNDU LISSU kwenye magumu yote anayopitia kuwa tupo nae pamoja.🙏🏾
37
1,822
4,677
52,996