Pisi hazitaki boyfriend zinaji please nama toy friend ilimradi kuenjoy men. Ahahaha!! Mademu zenu hao
3
105
Tunabariki hatutoe tena Laana full Ile Baraka Watengwa ,,
4
90
Take Easy Nigger usiweke stress kumoyo.
2
95
Jinenee Mema ili U'bless your soul bro.
3
111
Tukusa 4(I)🔥🔥
3
106
I love ma tom boy japo ni Demu Lakini akiwa maskani najihisi niko na home boy Sitaki mwingine she is my own choice alembui abani pua Demu ana strong voice.
3
121
Kuna bro mmoja anaitwa Iddy mwanaharamu watu wa Handaki. Sio Jina geni kwao picha linaanza bro ana Album za Wasanii wakitambo wenyewe hawana, an mfano we ndiyo Daz Baba album yako ya Elimu Dunia auna sasa Iddy mwanaharamu anayo. Iddy kweli Mwanaharamu 🙌
3
95
Kuna Beat zinagongwa na Man dvd pale Aznas kwenye session za Aznas link sio poa Wanangu Uyu Man dvd sio Mtu mzuri.🔥
1
112
Babu Bomba retweeted
Ni muda sasa urekebishe list yako ya live performers bora hapa Bongo. Hii sio performance bali ni darasa la performance 😂😂😂
2
12
66
3,220
Babu Bomba retweeted
Jumamosi hii pale Nafasi Art Space, Mikocheni 🔥🔥🔥
Made with AI
1
2
14
267
Babu Bomba retweeted
Kama mixtapes za anti virus zingekuwa zimeuzwa na kuratibiwa mauzo ..nafikiri ndio zinhekuwa zenye mauO ya juu zaisi kwa mixtape kuwahi kutokea tanganyika..but kulikuwa na linka za kudownload bure !
Huwezi amini ukiambiwa kuwa kwenye antivirus alie kuwa kabeba zamana sio Sugu bali alikuwa Mkoloni huwezi kuamini ni vile Mkoloni anaonekana kama mpole kumbe sio mtu mzuri ukizingua. Wengi tumekuwa tukidhani alikuwa Sugu kumbe Sugu aliingi mwishoni kabisa.
2
2
6
592
Huwezi amini ukiambiwa kuwa kwenye antivirus alie kuwa kabeba zamana sio Sugu bali alikuwa Mkoloni huwezi kuamini ni vile Mkoloni anaonekana kama mpole kumbe sio mtu mzuri ukizingua. Wengi tumekuwa tukidhani alikuwa Sugu kumbe Sugu aliingi mwishoni kabisa.
1
8
1,056
Play list yangu ya leo naanza na Rapcha ft Ibbra ngoma inaitwa chini. Ngoma ya pili Boshoo ft Blue ngoma inaitwa Akili mtu wangu. Ngoma yangu ya tatu Nyabingi ft Vanny boy ngoma inaitwa Mbeya. Hizo zingine sikilizeni nyie wanangu.
9
240
Siasa Biashara,mgeni aje mwenyeji akome.Mtawala ameacha ardhi ya Wamasai ipokonywe, mzawa anaishi kama mkimbizi vipi apone walo wezi tuachieni Nchi yetu. 🔥🔥🔥🔥. Jinamizi la Unju
9
162
Karibu kwenye episode ya kwanza ya podcast yetu mpya inaofahamika mwa jina la ‘Kuvi and The Huslaz ‘,hiii nakusudia kukaa chini na wapambanaji wa maisha ambao Mara nyingi kimtaa tunawaita Ma Huslaz wakituelezea👇🏾 Cc @MoruoKing @hamzaalbhanj @1TraVeLA @BabuBomba4 @chapo255
7
39
91
12,847
Nepomatic moja ya wachenguaji bora kabisa. Nilichelewa kumfahamu ila toka nimfahamu pale pale nikampitisha Moja kwa moja . Uta mu enjoy zaidi akiwa kwenye stage full Ile baraka anavyo kiwasha.
1
8
202
Kuna haja ya kupata muda nipitie interview za Picco. Inaonekana bro kapitia mengi imagine anakwambia Ile Tshet white ndiyo ilikuwa ya maana kwake maana kila show alikuwa anapanda nayo.
1
13
192
Nabii Koko kule Unju. Ukisikiliza swali akili ulizwa Unju na alivyo jibu uje urudi kwa Nabii Koko utaona kabisa kuna mmoja ajamuelewa mwenzie. Japo lugha ni kiswahili.
3
3
13
811
Na hili Dundo la Estino ni Noumaa Na switch flow maana nishachana kila ngoma 💯. Wanangu mnaweza pita kwenye account yake kusikiliza ngoma yake mpya like share pamoja na comment iwe kwele. @Thereal_taivina
1
9
237