I’ve been thinking about starting a political/advocacy podcast. 🎙️
A weekly show featuring different guests from around the world, bringing together diverse perspectives, experiences, and voices on politics, human rights, democracy, and global issues.
I’d love to hear your ideas and advice. Like. what should I call/name the podcast?
I’m open to name suggestions!
I still can’t believe that just a few years ago, you couldn’t have paid me to make a video where I had to speak. I was so uncomfortable with my stutter and constantly worried about how I sounded.
Now? You couldn’t pay me to stop making speaking videos, as I have become more comfortable with my stutter.
The dilemma: I can’t decide whether the podcast should be in English or Swahili.
If I do it in Swahili, I feel like I’d be limiting it primarily to Tanzania and Kenya. But if I do it in English, the potential audience becomes global, but the reality is that many Tanzanians aren’t fully comfortable or fluent in English.
So now I’m wondering: Should I narrow my target audience and focus on reaching Tanzanians and East Africans more deeply, or use English to give the podcast a truly global reach?
SWAHILI
Nimekuwa nikifikiria kuanzisha podcast kuhusu siasa na utetezi wa haki. 🎙️
Itakuwa kipindi cha kila wiki, kikiwa na wageni tofauti kutoka sehemu mbalimbali duniani, tukileta pamoja mitazamo, uzoefu na sauti mbalimbali kuhusu siasa, haki za binadamu, demokrasia na masuala ya kimataifa.
Ningependa kusikia mawazo na ushauri wenu. Kwa mfano, niite podcast hii jina gani?
Niko tayari kupokea mapendekezo ya majina!
Bado siamini kwamba miaka michache iliyopita, usingeweza kunilipa nifanye video ambayo nilipaswa kuzungumza. Nilikuwa najisikia vibaya sana kuhusu kigugumizi changu na nilikuwa na wasiwasi muda wote kuhusu jinsi nilivyokuwa nasikika.
Lakini sasa? Huwezi kunilipa niache kutengeneza video za kuzungumza, kwa sababu nimekuwa comfortable zaidi na kigugumizi changu na nimejifunza kukikubali.
Sasa kuna dilemma: Siwezi kuamua kama podcast iwe kwa Kiingereza au Kiswahili.
Ikiwa nitafanya kwa Kiswahili, nahisi nitakuwa nailenga zaidi Tanzania na Kenya. Lakini ikiwa nitafanya kwa Kiingereza, potential ya audience ni kubwa zaidi na inaweza kufika duniani kote. Tatizo ni kwamba ukweli ni kuwa Watanzania wengi hawako comfortable sana kuzungumza au kusikiliza maudhui marefu kwa Kiingereza.
Kwa hiyo sasa najiuliza: Je, nipunguze target audience yangu na kulenga kuwafikia Watanzania na Waafrika Mashariki kwa undani zaidi, au nitumie Kiingereza ili kuipa podcast hii nafasi ya kufikia audience ya kimataifa? 🤔🎙️