Cheo Kisikupe Dharau, Utajiri Usikutenganishe na Watu, Umaarufu Usikupe Jeuri, Kipaji Kisikupe Majivuno, Yani Chochote Ulichonacho Leo Fahamu ni Kudra Za Mwenyezi Mungu na Kesho Inaweza Kuwa Zamu Ya Mwingine.
Huwa sielewi watu ambao wakiamka tu asubuhi wanakuwa wanafoka foka like seriously umeamkaje na hasira hivyo jamani?😂 at least wait until it’s 10am🤦🏽♀️
Take my heart, don't break it,
Love me to my bones,
All this time I wasted,
You were right there all along,
You and I stargazing,
Intertwining souls,
We were never strangers,
You were right there all along.
Sisi tumeshaingia Mwaka wa Mbele!
SimBanking imeboreshwa kwa usalama, urahisi na huduma za kidijitali zinazorahisisha maisha yako. 📲
Update au pakua SimBanking App, uingie Mwaka wa Mbele! 🔥
#SimBankingMwakaWaMbele#CRDBBank#Tunakusikiliza
Sijui Nani anataka kuskia !!
Isaya 43:4
“Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu,na mwenye kuheshimiwa,nami nimekupenda;kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.”
Wewe ni wa thamani machoni pa MUNGU. Usikate tamaa.
🫂❤️