Yani Mungu akupe maono makubwa afu aone we umekazania na mahusiano yasiyoeleweka jua lazima upasuke, Mungu hawezi ghairisha ajenda yake kisa tamaa zako na moyo wako😆🙌🏾
Kazi yetu ni kuhakikisha Tunachunguza na kurekebisha afya ya mnyama wako ili aendelee kufurahia maisha🐕🐈
Tupo Goba center
Tupigie
0765682484
@MalemboLE
Kazi yangu ni ile ile🥰nisapotini jamani, hata kwa RT🙏🏽
For hair & makeup bookings
Call/ Whatsapp 📲 0676335537
📍Mikocheni, Rose Garden Rd
#glammedbyqueeenminah
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amesty International Nchini Kenya limeripoti kutekwa kwa Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Binadamu Mtanzania Maria Sarungi Tshehai leo katika eneo la Kilimani Jijini Nairobi Nchini Kenya.
Taarifa ya Shirika hilo imesema Watekaji hao wamefanya tukio hilo majira ya saa tisa na dakika kumi na tano alasiri wakiwa ni Wanaume watatu wenye silaha wakiwa na gari jeusi aina ya Toyota Noah ambapo Shirika hilo limeomba Watu mbalimbali kupaza sauti zao juu ta tukio hilo ili kumsaidia Maria kuwa salama.
AyoTV na millardayo.com zinaendelea kufuatilia kwa ukaribu tukio hili ili kukuletea taarifa zaidi.
Nafasi za kazi
Wanahitajika Afisa mauzo
Duka la kilimo na mifugo-Nafasi 4
Elimu:Diploma animal health
Jinsia:kike
Wawe wamesajiliwa Vct
Wawe wakazi au wana makazi Dar es salaam
Daktari wa mifugo
Jinsia kike
Elimu:Bvm
Location: dar es salaam
Nafasi:1
0765682484
0620276955
Dear Men,
Walking around na Toothpick
(toospik😁) is NOT a Flex! It’s dirty and disgusting, alafu unaitoa, Mara unailamba,unairudisha mdomoni. This guy, corporate event, in a suit, na toothpick mdomoni… muda wa chakula Bado!
**Attention Graduate Teachers:**
This November, we invite you to participate in our upcoming workshop, where you will have the opportunity to learn from experienced educators. They will share insights on becoming an outstanding teacher and making a positive impact in today's ever-changing world.
This workshop is completely free of charge. Stay tuned for the registration link, which will be provided here soon. We look forward to seeing you there!
If you have a relative whom you wish s/he participates, kindly notify them. Venue and other logistics to be communicated later.