Hao hawana morali na sababu ya kuuuana,subiri utaona Kinshasa inaanguka, Dec 2026 mbali
1
2
61
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha Daaaaaaaa List of the century!!!!! Kijana tuzo upewe Sema nini aaa,nimechekaaaaa
Replying to @DanyeMufasa
Toto Voni Arusha 0695 007270 Kabondei Katam Tanga 0765142678 Hilda Cute Buza 0792630863 Rey Utam Mbeya 0680907233 Mrembo Kino 0689531910 Soph Chamaz 0676440745 Sina Kikubwa Cha Kuwapa Ndugu Ila Pokeeni Hiki Kidogo Ndugu Zangu. 😎 PART TWO INAKUJA 😎
55
Mhhh
Kwa mara ya kwanza nimeweza kuisikia ile sauti watu husema ndio ilimtoa nyoka pangoni. Huyu binti ana kipaji kizuri sana cha uimbaji🙌🏾🫶🏾
41
Ohoooooo
Jamaa height imekataa alafu anaanza kuzua short people and temper🤝😭😂
48
Twitter hatutakupataaa Roho mbaya sasa hiyo pamojana kuwa umeniblock @mangekimambi
swali ni NANI ALITOA AMRI YA WATANZANIA KUUAWA KWA RISASI OCTOBER 29/2026???
1
46
Hili tangazo limefanyiwa maboresho Miaka ni kuanzia 46-57 hukoooooo
Tangazo tangazo kwauma
1
1
4
56
Hiviii Mmoja anielezeee hiiiii
🚨𝐓𝐑𝐄𝐍𝐃𝐈𝐍𝐆 Msikilize Kwa Makini Hapa Mdau Huyu wa Sanaa, na Utuambie Unakubaliana Nae Kwa Asilimia Ngapi…?!🤔 #MeaMswahiliUPDATES
1
1
43
Bado umeniblock, why,kivipi,eeeeeee
Replying to @HildaNewton21
Bi Msumi kaigeuza Tanganyika kuwa mafia state, Watanganyika wananyukuliwa wanaishi kwa hofu simu ikiisha chaji familia, ndugu na marafiki wanaingia viwewe. Katutengenezea magereza ya nje tupo kifungoni, tusimame tuseme kwa vitendo kuwa imetosha.
60
Nataka kujua huyu ni nani Huyu ni mdada mzuri sana Chienyejiiiiii Mtoto hana artificial Intelligence!!!! Mtoto kasimama Mwili mlaini Mwili mzuri Mwili mtamu Hana kinyongo na mtu Halafu watu watamsifia yule uchi chui chui Jamani, nipeni namba yake!
Comments section 😂🙌
1
85
Comments section 😂🙌
23
7
169
39,298
I like this Mazoeziiiiiiii
Improve your balance and find your flow with a personalized Tai Chi plan. 1. Set your goals and focus areas 2. Get a custom Tai Chi practice plan 3. Practice consistently and track your progress Take the test to get started.
22
Aseeeeee,huu upumbavu 💯
1
21
Daaaaaa Duuuuuu What a paaaaaaassssss What a gooooooal
1
1
97
Hii iende mbali zaidi
Kuna Clip kadhaa nimekuwa nikiona za Jamaa wa India wakitengeneza bidhaa mbalimbali katika viwanda vidogo sana—vingine vinaonekana vya kawaida kabisa, lakini ukitazama wanachozalisha unashangaa. Jamaa wana Skills, ubunifu na uwezo wa kugeuza malighafi kuwa bidhaa yenye thamani. Wanaweza kutengeneza mashine, vifaa vya kilimo, spare parts, furniture, vifaa vya umeme na bidhaa nyingine nyingi kwa kutumia mazingira na rasilimali walizonazo. Hapo ndipo ninapojiuliza: Kipi ambacho sisi Tanzania tunakwama? Ni ukosefu wa Skills? Ni mitaji? Ni teknolojia? Ni masoko? Ni mfumo wa elimu unaotufanya tusome zaidi kuliko kutengeneza? Au ni mazingira ambayo hayamsaidii mtu mwenye ubunifu kukua kutoka fundi mdogo mpaka kuwa mmiliki wa kiwanda? Tanzania tuna vijana wengi wenye akili na vipaji. Tuna mafundi wa welding, mechanics, carpentry, electronics na maeneo mengine. Tatizo si kwamba hatuna watu wenye uwezo kabisa. Lakini mara nyingi ujuzi huu haujageuzwa kuwa mfumo wa uzalishaji. India nayo ina changamoto zake, lakini imejenga mifumo inayounganisha skills, small businesses, technology, training na manufacturing. Kuna hata vituo vinavyowasaidia wafanyabiashara wadogo katika product development, machine technology, testing na mafunzo ya vitendo. Tanzania pia ina taasisi kama SIDO zinazotoa mafunzo ya product development, production processes, entrepreneurship, tools na marketing kwa mafundi na wajasiriamali. Kwa hiyo swali si tu “kwa nini Wahindi wanaweza?” Swali kubwa zaidi ni: Kwa nini hatujafanikiwa kuunganisha ujuzi wa Mtanzania, elimu, teknolojia, mtaji na soko ili mtu mwenye kipaji aweze kuanza kwenye karakana ndogo na hatimaye akawa na kiwanda? Labda tatizo letu si kukosa watu wenye akili. Labda tunahitaji mfumo unaowasaidia wenye akili hiyo kutengeneza vitu.
1
1
1
85
Huyu Hilda aliniblock,kwa kumwambia anipe namba,aseee Nilimuona mkorofi,sawa ila hapa naona kuna kapoint anakoooo
Replying to @HildaNewton21
Cha kushangaza wenzie wapo HQ kule wanajadili SIKU ya demokrasia na heche alipomaliza kutoa ushahidi alienda Chadema HQ. Huyu yeye yupo bize na press
92
Ha ha ha ha ha ha Unatusimanga kwanza siooooo
Wapwa najua hamna hela ya kununua bidhaa zangu basi hata ku REPOST Mteja wa perfume anaweza akawa kwenye TL yako nalo mnashindwa !! Mnataka msaidiwe nyie Tu 🤬
1
1
38
Mange wewe akili hauna,kwa hiyo misaada yako pendant na mnataka nini sioooo Yaani mtu kumpa pole mfiwa ni kosaaaaa Aseeee, huo ni upunguwani,
Dada kosa la mtu mmoja tusi attack chama mana tunakuwa tunatimiza hasa malengo ya watesi wetu! Kwanini tu attack chama kwa jambo ambalo mtu mmoja kasema tena angalau angekuwa mwenyekiti au makamu jamani wala hatupo katika hizo nafasi na we ulisema kuna wakubwa washa saliti.
1
3
68
Ifike mbali hiiiiiii Hata Mawinguni
#TajiriLaKihaya Juzi nilimuona Baba Levo akimuomba msaada Waziri wa Kenya, Ali Hassan Joho. Kwa muda mrefu pia tumekuwa tukijadili namna Rais William Ruto alivyo msikivu, mpaka kufikia hatua ya kuandaa majadiliano ya wazi na vijana kupitia X. Ukiangalia kwa ujumla, kuna kitu Watanzania wengi tunatamani kujifunza kutoka Kenya: uhuru mpana wa wananchi, utawala wa sheria, kuheshimu Katiba, taasisi kuwa na nguvu, na viongozi kuwa tayari kusikiliza hata sauti zinazowakosoa. Na tunapozungumzia historia ya mageuzi ya kisiasa Kenya, hatuwezi kupuuza mchango wa Hayati Raila Odinga na wengine waliopigania mabadiliko hayo. Lakini kuna sehemu moja ya historia yao ambayo sisi Watanzania tunapaswa kuitazama kwa umakini sana. Kenya haikufika hapo kwa sababu Wakenya hawakuchukiana. Walifikia hapo kwa sababu, wakati fulani, viongozi wao walitambua kwamba chuki na kisasi haviwezi kujenga taifa. Baada ya uchaguzi wa 2007, Kenya ililipuka. Kulikuwa na ghasia kubwa, watu waliuawa, familia zikavunjika, wengine wakalazimika kuyakimbia makazi yao, na mgawanyiko wa kisiasa ukachukua sura ya kikabila. Na watu wengi waliokuwa pande tofauti za siasa walikuwa mahasimu wakubwa. Lakini mwisho wa siku walikaa mezani. Wakazungumza,Wakafanya compromises,Wakameza baadhi ya ego zao Na wakajaribu kuiokoa nchi kwanza. Mchakato huo ukasaidia kufungua ukurasa wa mageuzi makubwa yaliyofikia Katiba mpya ya Kenya ya 2010. Leo hii, ukiangalia siasa za Kenya, utaona watu waliokuwa mahasimu wakubwa miaka iliyopita wamewahi kukaa upande mmoja wa meza, kufanya kazi serikalini, bungeni au kushirikiana kwenye masuala ya kitaifa. Hii ndiyo point ambayo tunapaswa kuielewa Tanzania. Mpinzani wako wa leo si lazima awe adui yako wa milele. Siasa zinabadilika,Marafiki wanabadilika,Maadui wanabadilika. Lakini taifa linabaki. Ndiyo maana hata kwenye sheria, mahakama huangalia precedents,maamuzi ya nyuma ili kusaidia kuelewa na kuamua mambo yanayofanana. Kwa nini basi sisi tusifanye hivyo kwenye siasa? Kwa nini tusiiangalie Kenya kama case study? Si kwa sababu Kenya imekamilika. La hasha!Wao pia wana matatizo yao. Lakini wamepitia baadhi ya machungu tunayoyaona leo, na kuna mambo wamejifunza kwa gharama kubwa sana. Sisi hatupaswi kusubiri kulipa gharama ileile ili tujifunze. Na hapa ndipo ninapowaambia wanasiasa wetu wote: CCM, CHADEMA na vyama vingine. Serikali na upinzani. Viongozi na wanaharakati. Msiweke ego zenu juu ya mustakabali wa nchi. Msiweke chuki juu ya maridhiano. Na kwa CHADEMA hasa: Msikubali harakati ziwe mbadala wa siasa. Mwanaharakati anaweza kupaza sauti. Mwanasiasa anatakiwa pia kujua wakati wa kukaa mezani, kujadiliana na kutafuta suluhu. Kukaa mezani hakumaanishi umesaliti msimamo wako. Kufanya negotiation hakumaanishi umeshindwa. Compromise haimaanishi umeuza nchi. Wakati mwingine compromise ndiyo njia pekee ya kuokoa nchi. Na kwa Serikali: Kusikiliza upinzani si udhaifu. Kuruhusu ukosoaji si kushindwa. Kuheshimu Katiba si hisani. Kuheshimu haki za raia si zawadi kutoka serikalini,ni wajibu wa dola. MWACHIENI LISSU… Tunapaswa kujenga Tanzania ambayo hata mtu anayekupinga leo anaamini kwamba kesho, akibadilisha msimamo au akishinda uchaguzi, naye atalindwa na mfumo huohuo. Kwa sababu kama tunajenga mfumo wa kumlinda mshindi leo na kumuadhibu mshindwa, kesho mfumo huo unaweza kutugeukia sisi wenyewe. Tusijenge Tanzania ya kulipizana. Tujenge Tanzania ya taasisi. Tusisubiri mpaka taifa ligawanyike ndipo tuanze kutafuta maridhiano. Tusisubiri kizazi kijacho kiulize: “Mlikuwa mnaona haya yote yakija, kwa nini hamkukaa mezani mapema?” Tujifunze kutoka kwa majirani zetu. Kenya haikuwa perfect. Lakini walijifunza kutokana na makosa yao. Na Tanzania pia inaweza kujifunza bila kupitia maumivu yote waliyopitia wao. Mwisho wa siku, CCM inaweza kushinda uchaguzi. CHADEMA inaweza kushinda uchaguzi. Chama kingine kinaweza kushinda uchaguzi. Lakini hakuna chama kitakachoshinda kama Tanzania yenyewe itapoteza. 🇹🇿 TAIFA KWANZA✌️
1
1
61
Duuuuuuu
MSABATO WA TARIME 'JOHN WEGESA HECHE"✍️ 👉Mhe. Lissu: Waheshimiwa majaji shahidi wangu wa tano ni John Wegesa Heche 👉Jaji Ndunguru: Shahidi tuambie majina yako 👉John Wegesa Heche 👉Unaishi wapi?: Tarime na Mwanza 👉Umri: Miaka 45 👉Dini: Mkristo Msabato 👉Kazi: Makamu Mwenyekiti Chadema Bara 👉Jaji Ndunguru tuendelee, 👉Mhe. Lissu: Shahidi umekuwa Makamu Mwenyekiti Chadema Tangu lini? 👉Heche: Nimekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara tangu Tarehe 22 Januari 2025 👉Mhe. Lissu: Makamu Mwenyekiti wa Chadema anapatikanaje? 👉Heche: Waheshimiwa majaji, Makamu Mwenyekiti anapatikana kwa kuchaguliwa kwenye Mkutano Mkuu wa chama wa Taifa 👉Mhe. Lissu: Makamu Mwenyekiti anatumikia nafasi hiyo kwa kipindi cha muda gani? 👉Heche: Waheshimiwa majaji Makamu Mwenyekiti anatumikia nafasi hiyo kwa miaka 5 👉Mhe. Lissu: Waeleze Majaji nani alikiwa mtangulizi wako? 👉Heche: Waheshimiwa majaji kabla ya mimi aliyekuwa Makamu Mwenyekiti ni Mhe. Tundu Lissu ambaye sasa ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa 👉Mhe. Lissu: Kabla ya kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama ulikuwa na nafasi gani ya chama? 👉Heche: Kabla ua kuwa Makamu Mwenyekiti nilikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama 👉Mhe. Lissu: Kamati Kuu ni chombo cha aina gani katika muundo wa Chama? 👉Heche: Kamati Kuu ni chombo cha Utendaji cha Baraza Kuu 👉Mhe. Lissu: Wajumbe wa Kamati Kuu wanapatikanaje kwa ufahamu wako 👉Heche: Kuna wanaoingia kwa nafasi zao ndani ya chama kwa vyeo vyao kwa mfano Makamu Mwenyekiti wa chama kwa maana ya Bara na Zanzibar, Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu ambao mmoja anatoka Bara na mwingine Zanzibar , Wenyeviti wa Mabaraza ya chama, (Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee), Wenyeviti wa kanda za chama, kuna kanda 10 ambazo 8 ni kutoka bara na 2 kutoka Zanzibar, Wajumbe wanaochaguliwa na Baraza Kuu la Chama na Kuna Wajumbe wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa. 👉Mhe. Lissu: Kwa ufahamu wako jumla ya wajumbe wa kamati kuu ni wangapi? 👉Heche: Wajumbe wa kamati kuu wako 29 👉Mhe. Lissu: waeleze majaji majukumu ya kamati kuu ni nini 👉Heche: Kusimamia secretariat ya chama Taifa ambacho ndio chombo cha utendaji wa shughuli za chama za kila siku, kufanya maamuzi ya vikao ya mambo yanayojitokeza au shughuli za utendaji mara kwa mara, kufuatilia shughuli za utendaji wa chama, kupitia mihutasari ya nyuma na kuidhinisha, kupanga vikao vya Baraza Kuu la chama, Kupitisha agenda zinazokwenda kwenye Baraza Kuu la Chama 👉Mhe. Lissu: Waeleze Majaji umekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama kwa muda gani? 👉Heche: Nimekuwa mjumbe wa Kamati Kuu tangu mwaka 2011 hadi sasa ni miaka 15. 👉Mhe. Lissu: kabla ya kuwa mjumbe wa kamati kuu uliwahi kushikilia nafasi gani? 👉Heche: Nimekuwa Katibu wa Tawi la Chadema Students Organisation, Tawi la St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Mwanza kuanzia mwaka 2006 hadi 2009. 👉Nimekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa mwaka 2011-2014, Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti (2016-2019) ambayo ilinifanya kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu pamoja na Mwenyekiti wa BAVICHA ilinifanya kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu pia. 👉Kanda ya Serengeti ni Kanda yenye mikoa mitatu: Mara, Shinyanga na Simiyu 👉Mhe. Lissu: Nje ya uongozi wa kichama waeleze majaji uzoefu wako wa uongozi nje ya uongozi wa chama 👉Heche: Nimekuwa Diwani wa kuchaguliwa mwaka 2008 baada ya diwani aliyekuwepo kufariki wa kata ya Tarime mjini. Nilichaguliwa nikiwa bado mwanafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Augustino Mwanza, nimekuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime vijijini 2015-2020. 👉Mhe. Lissu: Kuna nafasi zingine ndani na nje ya nchi nje ya hizo ulizozisema 👉Heche: Nikiwa Mwenyeki wa BAVICHA nilikuwa mjumbe wa Bodi ya International Young Democratic Union 2011-2014 👉Mhe. Lissu: Naomba uwaeleze waheshimiwa majaji unavyonifahamu mimi , umenifahamu kwa muda gani na mimi ni mtu wa aina gani kwa unavyonifahamu mimi.....

20
164
32,729