Tukitoka Campus tuliangukia Kibarua ingine Hapo Pepsi Baba dogo na kazi yetu ilikuwa kuona Chupa imebaki na uchafu after zimeoshwa,So bright lights were used to avoid any mistakes,Ulikuwa unatoka Shift uko partially blind unazindikizwa na Watchmen hadi Stage.