๐—ญ๐—ฒ๐—ฒ ๐—•๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—ผ, ๐—ฃ๐—ต๐—— , Zebedayo โœชInfluencer โœช Content Creator โœช

Tanzania
JE UNAJUA KWA NINI HUFANIKIWI? Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba:- 1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako. 2.Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na maendeleo yako. 3. Una marafiki wengi ambao ni kama kupe, wapo kukutumia tu na hawachangii lolote katika maendeleo zaidi ya kujifanya ndio watu wako karibu lakini kumbe wapo kwa maslahi yao! 4.Umeweka mbele zaidi "watu watanichukuliaje" kuliko kuangalia maisha yako.Watu ndio wanakuchagulia aina ya maisha unayoishi na unajilazimisha kuishi kama wao hata kama huna uwezo huo. 5.Unaongea zaidi ya kasuku lakini vitendo hakuna.Unatamani mafanikio tu moyoni lakini huna mipango ya kuyafikia. 6.Maisha yako yote umeyaweka kwenye mitandao ya kijamii.Huna siri hata moja!Hivyo unalazimika kuishi aina ya maisha ambayo yataendelea kufanana na yale uliyoyaweka kwenye mitandao ya jamii kwa sababu ukibadilika tu watasema "umefulia" 7.Kila aliefanikiwa ni rafiki yako au utasema ni mtu wako wa karibu na unaishia kuwasifia tu na kupiga nao picha lakini hujifunzi kutokana na mafanikio yao na wala hutumii fursa hiyo ya kujuana nao. 8.Upo sahihi kila siku(you are always right). Huambiliki, hushauriki na kila wazo atakalotoa mwenzako basi si zuri ila la kwako ndio sahihi na utataka litekelezwe hilo hilo. Mwisho wa siku kila mtu anakukimbia hakuna wa kukuambia "hapa umekosea" kwa sababu ya ujuaji wako. 9.Hujifunzi maarifa mapya.Mara ya mwisho kusoma kitabu ilikuwa ni "Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe" Tena ni kwa sababu ilikuwa ni kwa ajili ya kujibia mtihani. Hujifunzi "life skills" wala ujuzi mwingine. 10.Unazurura mno mitandaoni bila faida. Kwako wewe intaneti ni kwa ajili ya kuchati tu na kufuatilia habari za mjini ambazo tangu umeanza kuzifuatilia hujawahi kuingiza hata shilingi moja, zaidi unateketeza tu hela yako ya vocha. ISHUSHE hiyo mizigo kama kweli inahitaji kusonga mbele!
83
126
446
223,288
Zee BabaLao retweeted
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚
Dah๐Ÿ˜€
1
106
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifanya mahojiano maalum na Azam Tv katika viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nverere (JNICC) Dar es Salaam ambako kunafanvika mkutano huo utawakutanisha washiriki zaidi ya 1460 kutoka nchi 10
2
6
11
814
Zee BabaLao retweeted
Kitaa kimehama! Na mkwanja umeingia! Fursa Hub hatuna mchezo wewe post na pata followers, alaf kazi ya kukulipa tuachie sisi. Download Fursahub kupitia Play Store au App Store. *AppsStore:* apps.apple.com/gb/app/fursahโ€ฆ *PlayStore:* play.google.com/store/apps/dโ€ฆ #fursahub #kitaakimehamia #tumehamiafursahub #FursaYako
1
3
1,182
Zee BabaLao retweeted
Had a productive meeting with President @SuluhuSamia. Thanked her for championing maternal and child health in #Tanzania and across Africa. @WHO will continue to support this lifesaving effort. We also discussed the impacts of the climate crisis and El Nino on health, as well as the importance to finalise the WHO Pandemic Agreement annex on Pathogen Access and Benefit Sharing.
17
28
62
25,739
Zee BabaLao retweeted
Mkutano mzuri kweli, ila swali langu kila wakati: maamuzi ya COP hii yatafika kwa mtu wa kawaida lini? Bahari ikiharibiwa mtu wa kijiwe ndio analipia gharama ๐Ÿ˜…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifanya mahojiano maalum na Azam Tv katika viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nverere (JNICC) Dar es Salaam ambako kunafanvika mkutano huo utawakutanisha washiriki zaidi ya 1460 kutoka nchi 10 wanachama wa Mkataba wa Nairobi.
1
108
Zee BabaLao retweeted
..๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Dah๐Ÿ˜€
1
111
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifanya mahojiano maalum na Azam Tv katika viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nverere (JNICC) Dar es Salaam ambako kunafanvika mkutano huo utawakutanisha washiriki zaidi ya 1460 kutoka nchi 10 wanachama wa Mkataba wa Nairobi.
7
10
555
Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaoendelea jijini Dar es Salaam
7
12
723
Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaoendelea jijini Dar es Salaam
1
3
9
2,278
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifanya mahojiano maalum na Azam Tv katika viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nverere (JNICC) Dar es Salaam ambako kunafanvika mkutano huo utawakutanisha washiriki zaidi ya 1460 kutoka nchi 10 wanachama wa Mkataba wa Nairobi.
2
7
1,657
Hakuweka password?
Gents: What is your next move after this?๐Ÿ‘‡
1
1
43
14,557
Zee BabaLao retweeted
Kitaa kimehama! Na mkwanja umeingia! Fursa Hub hatuna mchezo wewe post na pata followers, alaf kazi ya kukulipa tuachie sisi. Download Fursahub kupitia Play Store au App Store. AppsStore: apps.apple.com/gb/app/fursahโ€ฆ PlayStore: play.google.com/store/apps/dโ€ฆ #fursahub #kitaakimehamia #tumehamiafursahub #FursaYako
2
2
945
๐Ÿ“ŒHospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma wanakuletea Kambi maalumu ya huduma za ubingwa na ubobezi za uchunguzi na matibabu ya magonjwa, itakayofanyika katika Viwanja vya Soko la Machinga (Bahi Road) kuanzia Oct 8 - 12, 2026, wananchi mnahimizwa kujitokeza kupata huduma
8
11
737
Zee BabaLao retweeted
Dah๐Ÿ˜€
8
30
211
18,478
Zee BabaLao retweeted
#THE GOAT JERSEY๐Ÿ”ฅ๐Ÿ›๏ธ ๐Ÿ‘‰ Size S,M,L,Xl,& XXL ๐Ÿ‘‰Bei 27,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 ๐Ÿ“Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
5
93
107
2,374
Kutoka kwenye mijadala ya kimataifa hadi kwenye maajabu ya asili, wajumbe wa IPU wanaendelea kupata fursa ya kuifahamu Tanzania kupitia vivutio vyake vya kipekee. Ngorongoro, yenye mandhari ya kuvutia na wanyamapori wa aina mbalimbali, ni miongoni mwa hazina zinazoiweka Tanzania kwenye ramani ya utalii wa dunia. #IPU #Ngorongoro #VisitTanzania #TanzaniaTheLandOfWonders #Tourism
2
20
22
1,292
Maadui zangu wakiniona wanachanganyikiwa hawajui washike lipi au waongee nini๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† Ukweli hawaujui na hawanielewi๐Ÿ˜†
29
27
121
5,230