wa.me/255747625726 0747625726 || PHONE SELLER & OTHER ELECTRONICS||

dar es salaam
Siku ya Leo nakuletea mambo 5 makubwa ya kuzingatia kabla ya kununua FRIDGE lolote lile, ili uchukue kitu kinachoendana na uhalisia Yako, zingatia sana.!! ๐Ÿค๐Ÿ“Œ 1. BRAND. Cha kwanza zingatia brand ambazo zinafanya vizuri sokoni, hizi hapa ni baadhi ya brand zinazofanya vizuri kwenye upande wa fridge, brand kama Hisense, MR UK, BOSS, ADH & Midea. Zipo na nyingine ila hizo hapo juu ni Top ukiangalia upande wa budget wise. 2. ENERGY SAVING. Kwa watu ambao vipato vyetu ni vya kawaida, hakikisha fridge ambayo unanunua compressor yake Ina energy saving ambayo inasaidia matumizi mazuri ya umeme, fridge za kisasa za siku hizi wameboresha sana upande wa umeme, unaweza washa masaa 24 na likatumia umeme kidogo, hii energy saving inakuwa imebandikwa kwenye fridge ni kama sticker hivi inakuwa ndani ya fridge au nje. 3. UJAZO. Hapa wengi huwa wanajichanganya sana, Kila fridge inakuwa na ujazo wake na kadiri ujazo unavyokuwa mkubwa basi na gharama ya fridge inakuwa Kubwa, na ujazo huu unakuwa umeandikwa kwenye fridge, hivyo anayekuuzia hakikisha anakuambia ujazo halisi wa fridge au unaweza chukua model number husika ukiingiaa hata kwenye AI itakuambia Hilo fridge Lina ujazo Gani interms of LITERS. Fridge la kawaida la ndani minimum atleast lianzie 114L kwenda juu. 4. BUDGET. Sasa hapa nakuonyesha fridge za ujazo kuanzia 118L budget zake. 1. Hisense 120L - 580,000/= 2. MR UK 118L - 510,000/= 3. ADH 138L - 530,000/= 4. Midea 175L - 680,000/= Unaweza pata Sasa picha halisi ya bei za fridge zinavyokuwa, fridge kuanzia 118L sio chini ya 500K, usije kutaka fridge ya ujazo mkubwa kwa gharama ndogo ๐Ÿ˜‚. Zipo zingine za 350K, 320K hizo unakuta zipo za 100L, 108L n.k hizo wanachukuaga wanaoanza maisha ๐Ÿ˜ 5. FROST. Sasa hapa hakikisha unachukua fridge ambayo sio FROST, NON-FROST fridge, Frost ni Ile hali ya fridge kugandisha barafu pembezoni ndani mwa fridge, hivyo kumpelekea fridge kuwa jau ndani ๐Ÿ˜‚. Lakini non- frost hizi zinagandisha kitu kilicho ndani TU na kutoacha mabarafu pembezoni kwa sababu mfumo wake ni imara. Kwa mahitaji ya fridge unaweza nitext Whatsapp au kunipigia 0747625726 Ukiwa dar es salaam delivery ni BURE kabisa Kwa wa mikoani gharama ya usafiri inategemeana na ukubwa wa fridge ๐Ÿ“Œ
9
45
86
16,705
Hiyo โ€œJust watchedโ€ ๐Ÿ™Œ Pure greatnes wallah
2
13
1,823
Bonge moja la panenka kapiga messi jana
Vidssssss
5
6
88
2,958
Enya>>>>>>>>Adele
2
11
432
*BEI MPYA SOUNDBAR [AIWA]* 220 Watts ______ *200,000*. 250 Watts ______ *240,000*. 300 Watts ______ *260,000*. 400 Watts ______ *285,000*. 450 Watts ______ *330,000*. 500 Watts ______ *345,000* 700 Watts ______ *360,000*. 800 watts ______ *380,000*
3
21
35
1,018
Samsung tv OLED models 55โ€ - 2,450,000 65โ€ - 4,600,000 Hii ndo technology ya juu zaidi kwenye vioo vya samsung ๐Ÿ“ž0747625726
1
10
25
709
Kwahiyo wese ndo 4057, haha huu mwaka uishe tu.!! ๐Ÿ˜‚
4
8
36
693
Nikipata hela siwezi nunua Eurpean Cars, Nanunua Toyota au Nissan bado naamini Tanzania inamuhitaji sana Mjapan kulingana na miundombinu yetu , pia magari yao sio complicated sana
21
5
254
12,310
No time to die Skyfall Casino Royale Spectre Katika movie nilizotazama sana, basi ni hizo za James Bond
John Wick is my most-rewatched franchise. Ikifuatiwa na Extraction ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿซก
3
1
26
1,307
Nani yupo maeneonya KEREGE?
8
6
101
2,249
Bony ๐Ÿ“š retweeted
Imagine expecting Harmonize to have senses in his head
30
123
679
21,795
Hii ni Google pixel 10 PRO Used from Dubai 256GB, RAM 16GB e-sim only, haitumii physical sim card 2,780,000/= ๐Ÿ“ž0747625726
1
27
67
1,656
Bony ๐Ÿ“š retweeted
AFCON 2027 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ is calling! Make your Tanzania adventure part of the experience. Take advantage of our special AFCON 2027 offer and turn your trip into an unforgettable safari. Ready to explore? Book your safari NOW! ๐ŸŒ Safarigateway.co.tz | โ˜Ž๏ธ +255 777 232 747
1
21
25
593
Nikiwaga na stress napitia tweet za hivi, ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
What if Nigeria host a world cup? ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌโšฝ
5
1
49
3,372
Kama una 155K, huna budget ya soundbar. Vuta huu mzigo, utakuja nishukuru baadaye.!! ๐Ÿ“ž0747625726
13
47
1,246
MGODI ninaweza kukopa hadi 150K NMB Mshiko Fasta naweza kukopa hadi 250K. 400K fulani hivi ina hang hang ๐Ÿ˜
40
26
510
18,868
Bony ๐Ÿ“š retweeted
Official 17 pro 256G sim + esim๐Ÿ“ถ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”‹93% Official ZA/A 2.780,000 0685292370
1
21
30
566
Kwa nchi yetu, ilimradi tu uwe unapumua vizuri kaka maana kwetu Leadership is for everyone include Idiots
Ntakua Rais wa nchi hii save this tweet wakali.
5
5
40
3,063
Leo nakupeni tena namna ya ku upgrade simu vizuri. 1. Kama unatumia Samsung S20 au S21, upgrade to S24 au S25. 2. Kama una iphone 12 pro au pro max, upgrade to iphone 15 series au 16 series Niambie una simu gani, nikushauri simu ya ku upgrade.!!
80
31
435
22,975
Sawa kaka
Replying to @bonifacejoseph_
Umewahi kuoa mchaga au unataka tu kuchafua kabila la watu? Acha ujinga wako Bony huwajui wachaga kaa kimya acha kujipa umuhimu
52
13
195
16,736
Bony ๐Ÿ“š retweeted
Naomba RT Yako ๐Ÿ™ LOCATION: Kimbiji Beach, Kigamboni, Dar es Salaam SIZE: 700sqm BEI: TSh 55,000,000 TITLE DEED: Available and clean Ready for transfer ๐Ÿš— Site visits available
1
12
17
4,085