#YNWA❤️ #Barbering services ✂️💈 contact : 0623014682 #KAZAULE

DSM, Tanzania
Boda :Hii serikali yetu hii Mimi:ukihitaji kunyoa nicheki kaka
6
11
40
555
Kijiweni ✂️ Mwanangu @og_outfits Ahsante kwa kuja familia Kwa huduma ya kunyoa 📞 0623024682
16
39
105
7,361
Endelea kupumzika kwa amani mzee, sema ulikua mjuaji sana ko hukuwaona wa_Rwanda ukaenda kutuunganisha na wale kizimkazi?😁🙌 #nyerereday
2
6
8
174
Simu ziite wakuu #kaka_kinyozi #0623014682
2
8
12
261
New week, fresh energy, clean cuts💈✂ Naombeni kazi ya kuwanyoa wapwa😁 📍FAKIZ TOWER _Sinza lion Outdoor service inapatikana pia ni simu ziite tu #0623014682
2
25
31
503
Mirako kani hapeni 😂
3
4
15
223
Kijiweni Kwa @cyproTheBarber ✂️🚀
2
14
19
824
@mryuzzoh770 @the_fortuna73 karibuni Tena wakuu Nani anipe kazi ya kumnyoa Leo ☎️0623014682 📍Sinza -lion jengo la FAKIZ TOWER
7
15
17
296
😁
Can I see y’all when you were 21 👀
1
1
7
406
Mnaendeleaje humu Ni muda wa kuzingatia engo😁 ☎️ 0623014682 📍Dsm
3
13
23
1,852
Wapwa ni wikiend nyingine ya usafi , karibuni tuzingatie Engo , 📍Sinza Kijiweni jengo la FAKIZ TOWER, ☎️0623014682 wapwa nilokua mnakuja kimya kimya 😁tumehamisha office kutoka Sinza Makaburini _Sinza Kijiweni
5
26
46
3,369
Goma linatia moyo kama kuna keka unalisikilizia😹😂 @Thereal_taivina ft G nako #wakamaria
4
9
68
5,066
shusheni username wakuu tufololiane @cyproTheBarber
8
8
15
408
potassium ndo bei hivi 😂
19
10
107
5,867
April 📸🗑️😅
April photo dump let’s have it.
4
7
30
1,243
shikamoo dada
Kuna mtu kasema ungekua mweusi ungekua hivi
1
1
100
8️⃣😁
Upload The 5th Photo📷 In Your Gallery, no matter what it is…
1
2
3
147
Leo tena MUNGU BABA🤲🏿
6
6
17
279
My goal is to live abroad while praying for Tanzania
2
11
169
❤️😅
Post a pretty woman.
8
6
39
1,401
ila mapenzi😂😂😂
48
28
248
41,646
Sema kingine Zunye😂😂
Replying to @cyproTheBarber
Kaka mimi huwa nashave kipara kabisa inakuaje? Sasa maana sijawahi ona ukiwashave vipara hapo vipi?
2
2
12
1,223
😂
Mke wangu hataki kunifungulia mlangi guys 😭😭😭😭
1
1
128
Active today 💇💇‍♀️ 📞0623014682 #kaka_kinyozi #loc_Sinza
12
30
38
4,858
Ile ZAGA ukichungulia vizuri unaiona kesho yako😂
1
3
5
286
clean💇💈
1
4
430
Nipeni kazi ya kuwanyoa leo wakuu #Homeserviceavailable Haircut _50k Tzs (Transport fare excluded) ☎️0623014682 Ukija ofsini ni 20k tu😅 📍Sinza #Kaka_Kinyozi
7
21
89
6,369
wangekua wanachukua nyeti za kike kuna watu wangelala njaa😁
19
315
Hawa waiba nyeti wangejua ndo urithi pekee nilionao wasingenisogelea kabisa😹
6
4
62
998
Even after 6 years, I won't be 30😅
3
4
15
491
Unanipa mkono nigonge tano na hatujuani,nyeti zangu nina kazi nazo bado mkuu😁😂
1
3
10
307
😂😂 mimi ni mpya kwenye mapenzi kuna muda nasahau kujibu😁
53
Leo tena nipeni kazi ya kuwanyoa wakuu #Kaka_kinyozi ☎️0623014682 📍Sinza ,home service _hair cutting inapatikana pia @Ugeniaconso sis hizo nywele zako hazijakua tu😅 kwenye zile engo za takitiko sihusiki acheni kunitag😂😹
9
47
73
4,078
Cypro EKITIKE😅 The Beautiful Game ❤️⚽️
Humu ndani nyie huwa hamchezi mpira ni mimi tu?
3
3
13
680
TBT photo dump let’s do it😁 miaka ya 90😅
TBT photodump lets do it 😅😅
1
6
19
598
Madam yupo busy atakujibu baadae😹
1
1
4
128
sijui kwa nini kila nikilala na mwanamke lazima apate kazi
17
15
139
4,815
kunyoosha Engo tu😂
Unafanya biashara gani?
7
18
71
4,095
😂
Sorry ! Hivi kuna umuhimu gani wakujipost kama haujibu comment? Basi za wanaume labda unaona wamesimp hadi wanawake wenzako haujibu? Si uache hiyo picha kwenye gallery?😭😂😂
6
5
28
4,491
Anko challenge accepted 😹black en white let’s go🩶
Black and white thread Drop it
37
25
172
8,938
mchumba kashapata Abaya na hiyo mnaita pashimuna😹😁
1
4
153
Nipeni kazi ya kuwanyoa wakuu nitakula mawe 😁F1&2 mwanangu @Mwipwa45 support yako ni kubwa kaka , kokoto kwa msitari😅✊🏿 ☎️ 0623014682 📍Sinza (1 sinza C) #Kaka_Kinyozi
13
36
49
2,014
Mwanamke akikupenda ahangaiki kushika simu yako😁
3
9
123
Ee Mungu Baba kaa upande wetu leo maana dharau zimezidi no excuse,Bring it on🦁 @SimbaSCTanzania #KariakooDerby
3
1
4
84
Wasio na maisha kama mimi February ya valentine photo dump let’s have it!!!!
1
1
5
346
wakuu ukute mshasahau kama mimi ni kinyozi 😅 nipeni kazi ya kuwanyoa 📍SINZA PALESTINA. #Homeservices available ☎️0623014682 @Hunaiya153989 ahsante kwa kufika mjengoni sis😅
11
33
59
4,528
spana😂😂😂
37
34
567
30,925
wanangu wamefika mjengoni kuzingatia engo @Alex_komba00 & @kishoka_ ahsanteni wakuu 📍Sinza 📞0623014682 #KakaKinyozi #KilaMtuApendeze
10
23
45
4,470
Halotel ukijichanganya kuangalia salio la kifurushi tu wanakuandikia 0Mb😂 wadada wanapendeza sana hapa mjengoni mikono salama ya #KaKa_Kinyozi @cyprothebarber 📍Sinza Makaburini ☎️0623014682
1
17
37
1,873
Jana mwanangu @Skygrapher_255 alifika mjengoni kuzingatia engo ikabidi anipe somo kidogo 😁 mwanetu ni photographer mnoma sana bila nyie kuja kunyoa january itaninyoosha sana simu ziite wakuu 📞0623014682 📍SINZA Kwa wakazi Wa DSM Home service ipo
20
50
80
4,090