politician|Social Entrepreneur|Agribusiness|Digital Marketing|Ex PS to the Lord Mayor DSM|

Kwilasa Emmanuel retweeted
Msikilize Mh. John Heche hapindishi maneno
6
145
720
13,151
Kwilasa Emmanuel retweeted
"Mwenye majibu na matatizo ya nchi ni Mhe. @TunduALissu, yupo gerezani, mtoe." Mhe. @HecheJohn
2
39
175
2,256
Kwilasa Emmanuel retweeted
Lt Mabonga says these are regime tactics to divert public attention from the reality of abductions, torture and violence against Ugandans. Don’t be diverted 📌
1
27
167
1,808
Kwilasa Emmanuel retweeted
🚨UPDATE: Former Kampala Lord Mayor and celebrated lawyer Salongo Erias Lukaago has been rushed to ICU in mulago hospital According to the family and sources in Murchison Bay Prison Hospital luzira, Erias Lukwago is critically ill and needs urgent treatment to save his life For 3 times now Erias Lukwago’s legal team has been trying to apply for bail on medical grounds unfortunately the judge keeps on disappearing on the bail hearing day hence frustrating his bail application
11
22
183
19,045
Kwilasa Emmanuel retweeted
Lukwago needs urgent medical attention! #FreeLukwago
3
78
267
3,147
Kwilasa Emmanuel retweeted
#BREAKING: LISSU AORODHESHWA KWA TUZO YA SAKHAROV NA BUNGE LA ULAYA Kamati za Mambo ya Nje na Maendeleo pamoja na Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu za Bunge la Ulaya leo zimeorodhesha wagombea wa Tuzo ya Sakharov ya 2026, ambapo kiongozi wa upinzani wa Tanzania Tundu Lissu amejumuishwa miongoni mwa walioteuliwa. Lissu, aliyependekezwa na Kundi la EPP, ametambuliwa kwa mchango wake katika kupigania marekebisho ya uchaguzi, usawa wa kisiasa na kurejesha demokrasia nchini Tanzania licha ya mateso ya muda mrefu. “Tundu Lissu amekuwa mstari wa mbele katika mapambano ya marekebisho ya uchaguzi, usawa wa kisiasa na kurejesha demokrasia nchini Tanzania. Licha ya mateso yasiyokoma, amebaki imara katika mapambano yake. Uteuzi wake unatuma ujumbe wenye nguvu wa mshikamano na watetezi wa demokrasia duniani na unathibitisha msaada wetu kwa ujasiri na uthabiti wao,” alisema MEP Reinhold Lopatka, aliyesimamia uteuzi huo. Tuzo ya Sakharov hutolewa kila mwaka na Bunge la Ulaya kwa watu binafsi au mashirika yanayojitolea kutetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo. Hadi kufikia sasa, Lissu bado anaendelea kusota mahabusu ikiwa ni zaidi ya miezi 18 akisubiri hukumu ya mwisho katika kesi ya uhaini inayoendelea.
2
22
112
2,369
Kwilasa Emmanuel retweeted
🚨BREAKING: Former Kampala Lord Mayor Erias Lukwago has been rushed to Mulago Hospital in critical condition while still remanded in the brutal custody of criminal Museveni's regime. He was Abducted from his home in a violent raid, allegedly tortured and humiliated, then slapped with bogus charges of misprision of treason designed only to silence a fearless voice. In court he laid bare the truth: Luzira’s poorly ventilated cells and harsh conditions amount to a death sentence. With permanent lung damage causing constant breathlessness, spinal complications including a dislocated disc, hypertension crises and unbearable pain, he pleaded desperately: “I am condemned to death… if no rescue comes, let me not die a very painful death.” He has also been repeatedly denied bail on the direct orders of criminal Museveni, who in his televised national address in early July 2026 openly declared that arrested opposition figures “may not get bail”. Reliable sources now confirm his health has collapsed under these deliberate conditions. This is not justice. This is the systematic destruction of opposition. Pray hard for Lukwago. Stand firmly with him in this dark hour. His fight is our fight. The struggle continues until freedom returns. #CriminalMuseveniMustGo
5
11
48
4,972
Naked truth,as well it is Tautology...
Inashangaza na kusikitisha kuona jinsi mlivyojaa unafiki wa kiwango cha juu. Leo hii, kaka @ComradeKawaida wewe wa kujilizaliza baada ya Waziri wa Serikali yenu wenyewe kuwalipua waziwazi kuwa UVCCM mmejaa wizi na rushwa! Huu ni ushahidi wa wazi kuwa chama chenu kimeoza kuanzia ndani. Badala ya kutumia nguvu zenu zote kujisafisha na uozo wa wizi na rushwa unaowala, mnahangaika kupoteza vijana innocent wanaopigania haki za Watanzania!!! Alichowakosea Waziri wenu ni kuwachambua nyie peke yenu miongoni mwa kundi zima lililooza,alipaswa kuchukua taasisi nzima ya CCM hivyo msituletee taharuki hapa,achieni vijana wenzetu mnaowapoteza kama mlivyoahidi kupitia Katibu Mkuu UVCCM na mnatekeleza hilo,na ukimya wenu unatuthibitishia kabisa kuwa ndo kazi yenu. Mliwahi kutuambia bila woga wala haya kuwa Jeshi la Polisi ni mali ya CCM. Kama kweli polisi ni mali yenu na mnawamrisha mtakavyo, tunawapa maagizo haya mafupi na yaliyo wazi: Shirikianeni na hiyo "mali yenu" (Jeshi la Polisi) mara moja na kuhakikisha vijana wetu wote waliotekwa na kupotezwa wanarudishwa wakiwa salama na wenye afya tele,acheni kucheza na haki za watu tutafika pabaya.
12
Kwilasa Emmanuel retweeted
TAARIFA JWA UMMA. #Updates juu ya Mhe. John Pambalu.
2
33
122
2,322
Kwilasa Emmanuel retweeted
Sad hearing that Hon. Erias Lukwago's health has further deteriorated. That a man who has spent a considerable part of his career fighting for the rule of law is caught in the same web of injustice is most unfortunate. #FreeEriasLukwago #FreeUgandaNow
48
259
1,766
20,381
Kwilasa Emmanuel retweeted
🚨 BREAKING SAD NEWS: Former Lord Mayor Erias Lukwago, who was r abducted, tortured and humiliated and later remanded, with pictures of him later shared online by CDF Museveni’s son , has reportedly been rushed to Mulago Hospital as concerns grow over his deteriorating health. More details to follow.
22
75
655
54,998
Kwilasa Emmanuel retweeted
HABARI: Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) Aisha Machano alipokuwa akizungumza katika Kongamano la Baraza hilo, jimbo la Kilombero mkoani Morogoro jana tarehe 17 Oktoba 2026.
3
30
295
3,780
Kwilasa Emmanuel retweeted
Tanzania’s Tundu Lissu deserves the Sakharov Prize. Facing a possible death sentence amid concerns over the fairness of his trial, the Tanzanian opposition leader remains a courageous symbol of the fight for democracy, human rights and the rule of law. Hear more from EPP Group MEP @ReinholdLopatka.
9
138
312
3,628
Kwilasa Emmanuel retweeted
Anasema” Tundu Lissu ni mtetezi wa haki za binadamu, mwanasheria na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA. Kwa miongo kadhaa, amekuwa akipigania demokrasia kwa njia za amani. Mwaka 2017, alinusurika katika jaribio la kumuua, na tangu Aprili 2025, amekuwa gerezani. Anakabiliwa na shtaka la uhaini ambalo linaweza kusababisha hukumu ya adhabu ya kifo. Bunge la Ulaya tayari limetaka aachiliwe huru, lakini bado anaendelea kushikiliwa gerezani. Kumpa Tundu Lissu Tuzo ya Sakharov kutawapa matumaini Watanzania na watu wengine kote Afrika ambao bado wana ujasiri wa kuzungumza na kutetea haki zao. Pia, itakuwa ishara kwamba Ulaya haitafumbia macho yanayotokea, kwa sababu ukandamizaji hustawi pale ambapo hakuna anayefuatilia au kuzungumzia kinachoendelea. Tusimame pamoja na Tundu Lissu.”
1
67
189
3,216
Kwilasa Emmanuel retweeted
📆 The EPP Group's priorities for the week ahead: 🔵EPP Group Presidency elections 🔵Russian strikes on EU territory must stop 🔵Defending justice requires more than words 🔵EU and Canada must strengthen their partnership 🔵Justice for Daphne cannot wait 🔵The Sakharov Prize should go to Tundu Lissu 🔗 Read more: epp.group/9denr4yj
4
12
30
2,493
Kwilasa Emmanuel retweeted
Today, the European Parliament’s Foreign Affairs and Development committees and its Subcommittee on Human Rights will shortlist candidates for this year’s Sakharov Prize. Among the nominees is Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, nominated by the EPP Group. "Tundu Lissu has been at the forefront of the struggle for electoral reform, political fairness and the restoration of democracy in Tanzania. Despite relentless persecution, he has remained steadfast in his fight. His nomination sends a powerful message of solidarity with democracy defenders around the world and reaffirms our support for their courage and determination," says @ReinholdLopatka MEP, who spearheaded his nomination. Read more: epp.group/9denr4yj
27
231
552
6,438
Absolutely true!
Mchina anaweza kuja na Zero cent na idea benki zetu zikapanga mstari kumkopesha. Ila kumkopesha mzawa wataka nyumba na biashara. Hatupendani tuu.
1
25
Kwilasa Emmanuel retweeted
#TANZANIA: WANANCHI NYIE NDIO MMEMSARITI LISSU, NA MIMI WANANIWINDA KWA KUSEMA UKWELI - HECHE Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Bara, @HecheJohn amesema @TunduALissu amesaritiwa na wananchi kwa sababu wameshindwa kumlinda na kumtetea kama yeye anavyowapigania hadi kuwekwa gerezani kwa ajili yao. Aidha, Heche amesema pamoja na Chama chao kuandwama kila siku, yeye nae anawindwa kwa sababu ya kusema ukweli juu ya maovu wanayoyafanya chama cha Mapinduzi kwa wananchi wake, amewataka wananchi kuacha kushabikiwa mambo yasiyo na msingi badala yake waungane na CHADEMA kupigania mabadiliko ya kweli kwenye mifumo ya nchi hiyo. Pia, Heche amekumbushia kutekwa kwa Balozi Polepole, Mdude, Soka na wengine ambao wametekwa kwa kuwapigania wananchi ili wapate mabadiliko lakini wananchi wameshindwa kuwapigania ili wapatikane. Zaidi: youtu.be/MavIevvqMzE
20
61
3,733
Kwilasa Emmanuel retweeted
Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limesema litaendelea kumlinda na kumtetea Rais wake, Wakili Boniface A.K. Mwabukusi, kwa hali na mali, kufuatia shauri la maadili lililofunguliwa dhidi yake na kuitwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano. Katika taarifa iliyotolewa Oktoba 17, 2026 na Makamu Rais wa TLS, Wakili Laetitia Petro Ntagazwa, chama hicho kimesema kinaendelea kufuatilia kwa karibu Shauri la Maombi Namba 4 la mwaka 2026, lililofunguliwa Mei 27, 2026 na Wakili Chacha Mwita Nashon dhidi ya Mwabukusi katika Kamati ya Kitaifa ya Maadili ya Mawakili. Kwa mujibu wa TLS, shauri hilo linatokana na kauli za Mwabukusi kuhusu kutoridhishwa kwa chama hicho na mwenendo wa Wakili Antiphas Mughwai Lissu, aliyekuwa akijadiliwa katika Mkutano Mkuu wa TLS uliofanyika Aprili 30, 2026. Suala hilo lilisisitizwa tena katika mkutano wa Baraza la Uongozi la TLS na waandishi wa habari uliofanyika Mei 11, 2026, jijini Dar es Salaam. TLS imesema kauli hizo zilitolewa katika utekelezaji wa moja ya maazimio ya Mkutano Mkuu wa mwaka 2026, ikieleza kuwa shauri dhidi ya Mwabukusi linahusiana na utekelezaji wa majukumu yake kama Rais wa chama hicho. Aidha, Baraza hilo limethibitisha kuwa Mwabukusi aliitikia wito wa Jeshi la Polisi Oktoba 14, 2026 na kufika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam, kwa ajili ya mahojiano, huku likieleza kuwa uchunguzi kuhusu masuala aliyoulizwa ukiendelea. TLS imekumbusha kuwa kifungu cha 4(d) cha Sheria ya Chama cha Wanasheria Tanganyika, Sura ya 307, kinaipa taasisi hiyo jukumu la kuwawakilisha, kuwalinda na kuwasaidia wanachama wake. Kwa msingi huo, imesema itaendelea kumsaidia Mwabukusi pamoja na wanachama wengine, huku ikifuatilia mwenendo wa shauri lililopo mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maadili ya Mawakili na masuala mengine yanayomhusu Rais huyo. Katika hatua nyingine, TLS imewasihi mawakili nchini kuendelea kushikamana na kusimama imara katika kutetea haki, heshima na utu wa kila wakili, ikisisitiza kuwa Mwabukusi anasimama katika nafasi tatu za taasisi hiyo, akiwa Rais wa TLS, Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi na msemaji mkuu wa chama hicho kwa mujibu wa sheria.
2
30
182
3,594
Kwilasa Emmanuel retweeted
na muda huu wapo kwenye mkutano wa Makam mwenyekit ambao unaendelea huko Tarakea. Naomba kila mtanzania Retweet 🙏
‼️ALERT‼️ Hawa watu ambao mnawaona kwenye hii picha ni watu wasiojulikana, wanafuatilia msafara wa Makam Mwenyekiti John Heche tangu ameanza ziara Kanda ya Kaskazini na msafara ukifika uwanjani wao wanafanyakazi ya kupiga picha ambazo hatujui wanaenda kuzifanyia nini👇🏻
1
17
40
1,067