Real estate/Business/Media IJ/Farmer/Agr Consultant based in cash crops/Land opportunist

Dar,Mbeya, Tanzania
Pinned Tweet
Kuna njia kuu 2 za kumuu nyoka mwenye madhara zaidi Duniani koboko
125
93
1,410
192,603
Uzi unaotoa elimu kwa wote waliyokua na fikra za dini
MAANDAMANO YA VIJANA UFARANSA 🇫🇷 Ufaransa inakabiliwa na wimbi la maandamano ya vijana yanayohusishwa na malalamiko kuhusu elimu, gharama za maisha na sera za serikali Lakini nani alianzisha harakati hizi, wanadai nini, na kwa nini baadhi ya maandamano yameambatana na vurugu na uharibifu wa mali? NANI ALIANZISHA? Yalianza Septemba 21, 2026 katika eneo la Créteil karibu na Paris yakichochewa na malalamiko kuhusu hali ya elimu baadae wanafunzi na makundi mengine waliunga mkono madai hayo WANAPIGANIA NINI? ▪️ Walimu wa kutosha na elimu bora ▪️ Bajeti bora ya shule na fursa sawa ▪️ Kupinga sera zinazowaathiri vijana UHARIBIFU ULIOJITOKEZA Baadhi ya maeneo yaliripotiwa kukumbwa na uchomaji wa magari, majengo ya umma, mapipa ya taka na vizuizi, uharibifu wa mali, wizi na vurugu NANI ANAWASUKUMA KISIASA Chama cha mrengo wa kushoto, La France Insoumise kimeunga mkono baadhi ya madai ya vijana hao na kuwaasa waendele kudai mabadiliko mpaka serikali ifanyie kazi SERIKALI IMESEMA NINI? Jana Oktoba 18, Rais Emmanuel Macron alikiri kuwa vijana wana wasiwasi kuhusu maisha, elimu na mustakabali wao Alisema serikali inapaswa kusikiliza madai yao na kushughulikia chanzo cha hasira hizo huku akisisitiza kuwa wahusika wa uporaji na uharibifu watawajibishwa Waziri wa Elimu, Édouard Geffray naye alikuwa ametangaza mpango wa kupeleka walimu 3,000 katika shule zenye uhitaji mkubwa
1
1
2
106
Mashabiki wa Simba na Yanga mnapeana muda tu wa kuruka na huyu mtu🤣
1
1
75
Hoja ya Ali Kamwe imepokelewa na wenye kusimamia mpira wameipokea na kuifanyia kazi, Tuokoe mpira wetu tusiruhusu ikajirudia tena.
10
2
41
1,512
Aliemzalisha Rey akamalizane nae mapema kabla hajafa
Replying to @Mzungu_pori1
😁😁kwa msingi upi, nitamchoma maji ya moto Haki, nitesekee kulea mwenyewe halafu aje na makende yake et kuja kuona mtoto labda niwe nimekufa 😅
1
25
1.Hamna gunia la mchele kuna kg za mchele anza na hii kwanza mkali, 2.Huwezi kufanya biashara ya 5M ya kununua mchele mkoani may b umeamua kuitupa iyo ela maana transport tu itakula faida yako yote na mtaji kiasi.
Pale Mbeya ukichukua gunia la mchele kwa Tsh 100,000/= unaenda kuuza Dar kwa Tsh 150,000/= kwa gunia. Faida ni Tsh 50,000/= kwa gunia. Magunia 100 = Tsh 5,000,000/= faida.
3
3
7
939
Miaka 20 wanajutia kupereka tamasha Zenj Wamekula za uso nadhani kuliko show yoyote since wameanza.
2
2
119
Wachambuzi wanasema anacheza kibishoo sana 🤣 Jama kazima dk 60+ kafunga na kutoa assist katengeneza nafasi 6 ndani ya 18, Hii ndiyo best sajili ya Yanga kwa hii season, Ni bongo tu mpira umeachiwa wajuaji kuuchambua.
3
2
14
967
Kocha tumepata 🙌
• Bournemouth’s first home defeat since January. • Brentford’s first home defeat since February. Not easy and absolutely huge. Andoni Iraola 👏 👏
1
1
110
Ni ni suala la muda tu humu tutavunjiana sana heshima
Playmaking brilliance from Florian Wirtz 🪄 🔴 @LFC
1
3
179
Game Yanga inashinda goli 4 ila uongozi,mashabiki na wachezaji wote hawana furaha, Kuna kitu pale Yanga hakipo sawa, Wachezaji hawana tena mapenzi na kocha, Au kocha uwezo wake umeishia hapa. Si muda mrefu majibu yatapatikana.
4
3
35
2,597
Jamaa bado hana game composure Aziz siyo yule, Namuelewa kocha Manqoba anavompa muda mchache.
2
29
669
Wachezaji wa 3 wa Yanga game moja wametoka nje wameshindwa kuendelea na mchezo sababu ya majeruhi, Hii inaashiria kitu.
1
2
8
329
Manqoba na Aziz K kuna mmoja ataondoka sababu ya mmoja na hasa kocha, Iko wazi kabisa Aziz K sio chagua kabisa la Manqoba ni uongozi tu unalazimisha hawa wawili kuwa timu moja.
9
6
337
15,250
MSB retweeted
Sisi Wanaume wa ki kristo tunaongoza kubadili dini kisa wanawake wa kiislam Wanaume wa kiislam ni nadra na ngumu kubadili dini kisa mwanamke wa kikristo kwanini.....?
20
25
157
11,709
Aziz K kaanzia nje fans wake wanavojiandaa na nongwa
1
2
9
283
Mmiliki wa basi za intercape tajiri Ferreira Jnr, kashusha megaliner new Marcopolo Paradiso G8 1800 DD twin steer buses 16, Anakua tajiri wa kwanza Africa kununua G8 1800 megaliner buses 16 zero Km kutoka kiwandani.
2
3
10
498
Huu ndiyo wivu sasa wa mapenzi
2
3
7
145
Bila 🥗 hailili bt umenyoosha
1
83
Mtalaam kagoma kabisa
1
1
3
118
Yanga walimuamini Manara
Kuna kipindi humu tuliambiwa Mwabukusi amelamba asali tayari.
96