Real estate/Business/Media IJ/Farmer/Agr Consultant based in cash crops/Land opportunist

Dar,Mbeya, Tanzania
Pinned Tweet
Kuna njia kuu 2 za kumuu nyoka mwenye madhara zaidi Duniani koboko
125
93
1,410
192,603
Matajiri wa geita wenye migodi wakija Mwanza hapa wanatafuta wajanja wa mji ili wasiaibike kwenye viwanja vya starehe, hela wanazo ila ushamba ni mwingi.
3
10
41
849
Ukishakua na pesa ushamba unaawachia masikini
35
Biashara sahivi ni ngumu kama Ndoa qmmke 🙌😂😂
5
17
40
730
Watu wanaloga kaka oh
1
13
Nakubali
8
🚨 JUST IN:Young Africans SC wanamtazama Fadlu Davids kama mtu sahihi kuongoza benchi la ufundi la timu hiyo As per my sources Yanga SC wanajiandaa kuachana na Manqoba Mngqithi Uongozi wa Yanga SC hauridhishwi na kiwango Cha timu uwanjani
31
12
230
10,732
Huyu wa kumpa mradi mzima kwa muda mrefu sio miezi 3 au 6
1
5
245
Yes na hua hataki kukimbizwa
1
77
Kama Afrika Mashariki tukiungana kuwa nchi moja, ni rais gani anafaa kuwa Rais wa kwanza wa United East Africa? 🇰🇪 Ruto 🇺🇬 Museveni 🇷🇼 Kagame 🇧🇮 Ndayishimiye 🇨🇩 Tshisekedi 🇸🇸 Salva Kiir 🇸🇴 Hassan Sheikh Mohamud 👇 Chagua wako na toa sababu! 🔥
45
24
76
7,993
Kagame
1
46
Wa hivi nazama uvinza bila mawazo
2
1
274
Utanukia kachumbari
1
1
25
TAARIFA KWA UMMA: Tarehe 27 Oktoba 2026 nitakuwa MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA- DAR ES SALAAM, kwa ajili ya KUFUNDISHA ELIMU YA MAADILI kwa KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI. Nataka TUHESHIMIANE bila SHURUTI 👇
5
18
172
3,916
Haya ndio majambo yako
142
Mwananchi kata tiketi yako mapema tukutane Azam Complex, chamazi Juamtano🔰👊🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
11
11
258
6,994
Juamtano hii kiturkii admin
52
Uzi unaotoa elimu kwa wote waliyokua na fikra za dini
MAANDAMANO YA VIJANA UFARANSA 🇫🇷 Ufaransa inakabiliwa na wimbi la maandamano ya vijana yanayohusishwa na malalamiko kuhusu elimu, gharama za maisha na sera za serikali Lakini nani alianzisha harakati hizi, wanadai nini, na kwa nini baadhi ya maandamano yameambatana na vurugu na uharibifu wa mali? NANI ALIANZISHA? Yalianza Septemba 21, 2026 katika eneo la Créteil karibu na Paris yakichochewa na malalamiko kuhusu hali ya elimu baadae wanafunzi na makundi mengine waliunga mkono madai hayo WANAPIGANIA NINI? ▪️ Walimu wa kutosha na elimu bora ▪️ Bajeti bora ya shule na fursa sawa ▪️ Kupinga sera zinazowaathiri vijana UHARIBIFU ULIOJITOKEZA Baadhi ya maeneo yaliripotiwa kukumbwa na uchomaji wa magari, majengo ya umma, mapipa ya taka na vizuizi, uharibifu wa mali, wizi na vurugu NANI ANAWASUKUMA KISIASA Chama cha mrengo wa kushoto, La France Insoumise kimeunga mkono baadhi ya madai ya vijana hao na kuwaasa waendele kudai mabadiliko mpaka serikali ifanyie kazi SERIKALI IMESEMA NINI? Jana Oktoba 18, Rais Emmanuel Macron alikiri kuwa vijana wana wasiwasi kuhusu maisha, elimu na mustakabali wao Alisema serikali inapaswa kusikiliza madai yao na kushughulikia chanzo cha hasira hizo huku akisisitiza kuwa wahusika wa uporaji na uharibifu watawajibishwa Waziri wa Elimu, Édouard Geffray naye alikuwa ametangaza mpango wa kupeleka walimu 3,000 katika shule zenye uhitaji mkubwa
1
1
2
128
Manqoba na Aziz K kuna mmoja ataondoka sababu ya mmoja na hasa kocha, Iko wazi kabisa Aziz K sio chagua kabisa la Manqoba ni uongozi tu unalazimisha hawa wawili kuwa timu moja.
9
6
337
15,362
Wote waondoke tu
1
13
🤣
10
Hoja ya Ali Kamwe imepokelewa na wenye kusimamia mpira wameipokea na kuifanyia kazi, Tuokoe mpira wetu tusiruhusu ikajirudia tena.
10
2
45
1,633
Itakua na wewe kichwani una mavi😀
1
77
Una tako zuri mzee acha kuvaa suruali za kubana
44
Mashabiki wa Simba na Yanga mnapeana muda tu wa kuruka na huyu mtu🤣
1
3
130
Aliemzalisha Rey akamalizane nae mapema kabla hajafa
Replying to @Mzungu_pori1
😁😁kwa msingi upi, nitamchoma maji ya moto Haki, nitesekee kulea mwenyewe halafu aje na makende yake et kuja kuona mtoto labda niwe nimekufa 😅
1
27
😅😅uzuri sijazaa na mwanaume bwege .
1
10
Hongera mwaya mana sio kwa huo ukali
1
6
1.Hamna gunia la mchele kuna kg za mchele anza na hii kwanza mkali, 2.Huwezi kufanya biashara ya 5M ya kununua mchele mkoani may b umeamua kuitupa iyo ela maana transport tu itakula faida yako yote na mtaji kiasi.
Pale Mbeya ukichukua gunia la mchele kwa Tsh 100,000/= unaenda kuuza Dar kwa Tsh 150,000/= kwa gunia. Faida ni Tsh 50,000/= kwa gunia. Magunia 100 = Tsh 5,000,000/= faida.
3
3
7
977
Kama mwanamke wako ameajiliwa wewe jua unagongewa
15
18
146
17,200
Jamaa una mawazo hatari sana wewe, au ulizali siku dabi inachezwa.
1
31
Streeet mega mzee
24
Replying to @masuba___
Maboga Mabichi inabidi aingie kwenye mfumo wa Aziz Ki,period 🙌🙌🙌😂😂😂
1
2
170
Ndio salama yake bt mjuaji
165
Kinachoendelea Ufaransa sasa hivi ni vichekesho sana. Utoke kwenu huko uende kwenye inchi za watu na kuanza kulazimisha tamaduni na sheria zenu zitambulike kwenye inchi yao. Huwezi fanya huo upuuzi china ndio maana Japan wamewakataza hakuna kuzikana kwenye Aridhi yao, ukifa mwili unapigwa moto au urudi kwenu wakakuzike.
30
21
160
11,370
Hata mtoto anajua kiwa we mtupu kwenye hizi mambo
1
4
542