Nothing new here, just an admin behind the scenes๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ’ป

Tanzania
FAHAMU LIST YA WATU (10) DUNIANI WANAOFANANA NA MAREHEMU. [List of (10) people who have same faces as some people who died ] Uzi (Thread) ๐Ÿงต 1. Steven Kanumba & Shifta
61
129
1,446
232,418
TANZANIA IMEPIGA HATUA SANA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU SDGโ€™s Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani IPU, Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa eneo la Malengo ya Maendeleo Endelevu Tanzania imepiga hatua kwa kuangalia mafanikio yaliyopatikana kwenye sekta mbalimbali ikiwemo nishati, maji, afya, elimu, Mawasiliano pamoja na uchukuzi ambapo ni miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa katika mkutano huo na kuifanya Tanzania kuwa kinara na mfano kwenye maeneo hayo.
7
10
753
Rezam Six retweeted
Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaoendelea jijini Dar es Salaam
1
3
8
2,193
Rezam Six retweeted
Suits with unique material from Turkey utazipata hapa @suitmseleleko >Two pieces(koti Shirt: 30,000 >Chain: 10,000 Ua: 10,000 >Tie and a pocket square: 15,000 >Complete set (kila kitu kama ilivyo): 235,000 Location: Msimbazi kariakoo. Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba) Delivery: Mikoani tunatuma na Dar es salaam tunakuletea ulipo kwa uharaka na kuokoa mda kwa gharama nafuu. ๐Ÿ“žCall/WhatsApp: 0762617089
1
12
14
266
Rezam Six retweeted
Biblia unasema "Hakuna mtu awezae kutumikia mabwana wawili ;kwa maana atamchukia huyu na kumpenda huyu ,ama atashikamana na huyu na kumdharau huyu. Hamuwezi Kumtumikia Mungu na mali." Mathayo 6:26 โ€ข Dunia ya sasa watu wengi wanaogopa kutokua na mali (Umasikini)
1
2
9
200
Tanzaniaโ€™s Universal Health Insurance (UHI) proves that writing health rights into law is just the first step. If the funding gap for the poorest citizens isn't closed, UHI will fail those who need it most. #IPU153 | #Act4WCA | #UHC2030
8
8
183

13
10
379
Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaoendelea jijini Dar es Salaam
11
13
282
Rezam Six retweeted
#DjSelection "Dopamine - Fireboy" ๐Ÿ”ฅ
1
5
212
Rezam Six retweeted
Moka za ngozi laini zisizoshika vumbi kirahisi. Ukivaa hii, hata ukitoka kwenye vumbi unaonekana umeandaliwa vizuri na wife home. Mcheki @suma_clever upate yako sasa Saizi 40-45 zipo ready. 135,000 Tsh
1
9
17
404
Rezam Six retweeted
Kitaa kimehama! Na mkwanja umeingia! Fursa Hub hatuna mchezo wewe post na pata followers, alaf kazi ya kukulipa tuachie sisi. Download Fursahub kupitia Play Store au App Store. AppsStore: apps.apple.com/gb/app/fursahโ€ฆ PlayStore: play.google.com/store/apps/dโ€ฆ #fursahub #kitaakimehamia #tumehamiafursahub #FursaYako
2
2
923
MJUMBE WA THAILAND AVUTIWA NA UKARIMU WA TANZANIA. Mjumbe kutoka nchini Thailand, anayeshiriki katika Mkutano wa Kimataifa unaoendelea jijini Arusha, Chatcha Pooluea ameipongeza Tanzania kwa mapokezi mazuri na ukarimu alioupata tangu alipowasili nchini ambapo amesema Tanzania ni nchi ya kwanza katika bara la Afrika kuitembelea, akieleza kufurahishwa na mazingira, chakula pamoja na namna Watanzania walivyompokea kwa uchangamfu na kumsaidia katika kipindi chake cha kwanza nchini. Amesema kupitia Mkutano wa Jukwaa la wanawake Wabunge alioshiriki umempa fursa ya kushuhudia nguvu ya wanawake kutoka mataifa mbalimbali wanapokutana kujadili changamoto, uzoefu na namna ya kuimarisha uwezeshaji wa wanawake.
14
14
449
Rezam Six retweeted
Traditional vibes, but make it classy! This shirt is giving I came to look expensive without spending expensive money ๐Ÿ’ฐ Price: TSh 32,000 only ๐Ÿ“ Mwenge. ๐Ÿ“ž WhatsApp/Call: 0612463635. ๐Ÿ“ฒ IG: @tamaduni_touch. Look good, represent culture, and save your pocket! @blackmellanin
1
14
15
558
Rezam Six retweeted
๐Ÿ“ธ
6
9
31
3,142
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifanya mahojiano maalum na Azam Tv katika viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nverere (JNICC) Dar es Salaam ambako kunafanvika mkutano huo utawakutanisha washiriki zaidi ya 1460 kutoka nchi 10 wanachama wa Mkataba wa Nairobi.
7
10
521
Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaoendelea jijini Dar es Salaam
7
12
644
Rezam Six retweeted
Dukani nimebakiwa na hizi shuka tu.. ๐Ÿ“ŒNjoo na 45,000 badala ya 50,000 Shuka 2, foronya 4 0755693113 Naombeni RT, mteja wangu yupo kwako๐Ÿฅน
1
32
35
577
Rezam Six retweeted
Mcheki @suma_clever Upate huu unyama ๐Ÿ”ฅ agiza saizi yako hapa. 95'000
10
15
294
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifanya mahojiano maalum na Azam Tv katika viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nverere (JNICC) Dar es Salaam ambako kunafanvika mkutano huo utawakutanisha washiriki zaidi ya 1460 kutoka nchi 10 wanachama wa Mkataba wa Nairobi.
1
9
11
240
Rezam Six retweeted
Utupe leo riziki yetu๐Ÿ™
1
34
56
848