Nguvu iliyotumika hailingani na tukio kwa kifupi walijiandaa kuua tu na mauaji yaliongozwa na Haji Omar Kheri na Abdul wakishirkiana na wakuu wa vyombo vya dola! Mungu amweke sana Mzee Warioba kasema kila ambacho wengine hata kunongoneza wameshindwa! #TanzaniaMassacre #NoJusticeNoPeace #SamiaMustGo #D25 #J1
15
228
857
16,271
UVCCM amkeniiiii,
64
253
1,819
153,461
MIMI HAPA retweeted
📌
26
118
597
24,357
MIMI HAPA retweeted
👇
56
332
10,047
6
61
356
5,317
kula darasa huru hapa kutoka kwa Jenerali Heche, Mbogamboga wtapita kama wanaaga maiti
3
44
160
3,174
MWABUKUSI
3
100
675
21,591
MIMI HAPA retweeted
Msikilize kwa makini huyu Dada maana ni mmoja kati ya watu ambao walienda kumpokea Miss Grand wenu.🥹
48
153
1,527
141,886
MIMI HAPA retweeted
Enyi wala nchi hii na wamwaga damu kutaneni na akili kubwa ,kwanza mwanaharamu Katuga uko wapi au ndo upo kwa Abduli unapapaswa? Mmeuza utu wenu kwa Lucifer Samia mtakoma
8
111
501
19,743
MIMI HAPA retweeted
Replying to @HildaNewton21
Kwa haraka wataaanza kudeal na mikoa ya mipakan maiti zitaokotwa nyingi pia kwa dreva waendao kongo watakua ktk changamoto cha msingi ni KUCHUTAMA TU TUACHE KUSHUPAZA SHINGO tkumbuken oct 29 watu wana uchungu ni swala la muda tu mambo hubadilika.
1
1
7
1,659
MIMI HAPA retweeted
Nduli Idd Amin Mama kayatimba huko naona Wakongo wameanza kumpelekea moto.🔥🔥🔥
23
110
761
62,047
President Trump, my friend Donald - thank you for your extraordinary endorsement. Israel has never had a greater friend in the White House. Together we will never let Iran's regime get nuclear weapons. Thank you for your clarity, courage and unwavering support. @realDonaldTrump
4,881
7,574
47,657
2,213,998
KWANINI KILA MGOGORO WA CONGO, BASI KAGAME NA MUSEVENI HUHUSISHWA? Msingi wa Jibu ni huu, Museveni na Kagame walisaidia kwa kiasi kikubwa kumwingiza Laurent Kabila (Baba wa Joseph Kabila) madarakani mwaka 1997. Lakini baada ya Kabila kuanza kuwataka wanajeshi wa Rwanda waondoke Kongo mwaka 1998, uhusiano wao ulivunjika na Vita vya Pili vya Kongo vikaanza. Hata hivyo, vita hivyo vilikuwa na sababu nyingi kuliko ugomvi wa viongozi hao watatu pekee. Tusome zaidi. Laurent Kabila aliingiaje madarakani? Mobutu Sese Seko alitawala Zaire kwa takribani miaka 32, kuanzia mwaka 1965 hadi 1997. Utawala wake ulijulikana kwa udhibiti mkubwa wa kisiasa, ufisadi na kudhoofika kwa uchumi na taasisi za serikali. Mwishoni mwa Vita vya ndani ya Nchi, misaada ya nje iliyokuwa ikisaidia kuimarisha utawala wake ilipungua, na upinzani wa ndani ukaendelea kukua zaidi. Wakati huohuo, mwaka 1994, mauaji ya kimbari nchini Rwanda yalisababisha mamilioni ya watu kukimbia makazi yao, wengi wao wakiingia mashariki mwa Zaire. Miongoni mwa wakimbizi hao walikuwapo pia wanachama wa Interahamwe na wanajeshi wa serikali ya zamani ya Rwanda walioshiriki katika mauaji hayo. Interahamwe lilikuwa ni kundi la wanamgambo wa Kihutu nchini Rwanda, lililohusika sana katika mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi mwaka 1994. Kundi hili lilikuwa na uhusiano na chama cha MRND kilichokuwa kinatawala Rwanda chini ya Rais Juvénal Habyarimana. Jina Interahamwe hutafsiriwa “wale wanaoshirikiana” au “wale wanaopambana pamoja.” Baadhi ya makundi hayo yaliendelea kuwa na silaha na kufanya mashambulizi kuelekea Rwanda kutoka eneo la Zaire. Serikali mpya ya Rwanda iliyoongozwa na Paul Kagame iliona hali hiyo kuwa tishio la usalama wa taifa. Laurent Kabila alikuwa mwanasiasa na mpigania mapinduzi wa muda mrefu kutoka Kongo. Mwaka 1996, akawa kiongozi wa muungano wa waasi uliojulikana kama Alliance of Democratic Forces for the Liberation of Congo-Zaire (AFDL). Muungano huo ulipata msaada mkubwa wa kijeshi na kisiasa kutoka Rwanda na Uganda, pamoja na ushiriki wa washirika wengine wa kikanda. Jeshi la AFDL lilianza kusonga kutoka mashariki mwa nchi kuelekea magharibi, likiteka maeneo muhimu na hatimaye mji mkuu, Kinshasa. Mnamo Mei 1997, Mobutu alikimbia nchi na kwenda uhamishoni Morocco. Kabila akaingia Kinshasa tarehe 17 Mei 1997 na kutangazwa kuwa rais. Kwa hiyo, Kabila hakupata madaraka kupitia uchaguzi wa kawaida. Aliingia madarakani baada ya ushindi wa kijeshi wa muungano wa waasi ulioungwa mkono na nchi jirani, ambazo ni Uganda na Rwanda, Na hivyo ndivyo Kabila aliingia Madarakani. Kwanza Akaanza na Kubadilisha jina la Nchi. Kabla ya 1997 nchi iliitwa Zaire, Mobutu alikuwa amebadilisha jina la nchi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuwa Jamhuri ya Zaire mwaka 1971, kama sehemu ya kampeni yake aliyooita “Authenticité” iliyolenga kusisitiza utambulisho wa Kiafrika zaidi na kuondoa baadhi ya majina yaliyohusishwa na ukoloni. Kuanzia 1997 nchi ikaitwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Hii ni Baada ya kumuondoa Mobutu, Laurent Kabila alirudisha jina la République démocratique du Congo (DRC), ambalo lilikuwa limetumika kabla ya nchi kuitwa Zaire. Pili, Akaanza Kuwageuka na Kuwafukuza Wanajeshi wa Kagame na Museveni. Hapa ndipo chanzo kikuu cha kuvunjika kwa uhusiano wao kulipoanza Hatua kwa hatua, mambo yalibadilikaje? Rwanda na Uganda zilipomsaidia Kabila Wakati wa vita vya 1996–1997, Kagame alikuwa kiongozi mkuu wa kijeshi wa Rwanda Patriotic Front (RPF), na Museveni alikuwa rais wa Uganda. Serikali zao zilitoa msaada muhimu kwa mapambano yaliyomuondoa Mobutu madarakani na kumuingiza Kabila madarakani, hivyo Kabila alikuwa na madeni makubwa ya kisiasa na kijeshi kwa washirika wake wa kikanda, Ilikua lazima awapooze kwa kuwapa “Chochote kitu”. 👇👇👇👇
7
27
143
15,522
MIMI HAPA retweeted
I have watched this video more than 20x in just 2mins 🤣🤣
245
2,455
9,460
436,842
MIMI HAPA retweeted
Wakili Jebra Kambole ameeleza sababu zilizofanya Rais wa Chama cha Mawakili kuitwa Polisi leo Oktoba 15, 2026, ambapo amefafanua kuwa Mwabukusi alihojiwa kama shahidi huku akihojiwa kuhusu kufanya harakati, na kuibuliwa madai kuwa fedha zimeingizwa kwenye akaunti ya TLS kwa ajili ya kufadhili maandamano, jambo ambalo mawakili wameeleza kushangazwa nalo.
11
44
188
54,597
MIMI HAPA retweeted
They Threw Him Into a Den Full of Lions... But God Had Other Plans 🦁 🙏
792
5,322
68,512
12,231,580
MIMI HAPA retweeted
Rais haramu ,muuaji ,ibilisi anayevaa hijab
35
352
1,227
61,867
RT @AvolettiShop: A digital angle finder with a laser line
336
MIMI HAPA retweeted
125
1,007
8,537
194,881